Karibu tena na tena, formula yangu ni ile ile, I leave no stone unturned!
Kwanza nakubaliana na wewe msimamo wa mtu yoyote kuhusu jambo lolote is not necessarily awe right, sometimes I might be wrong, na kuambiwa I'm wrong, nakupokea very positively.
Dini ni imani, hivyo viongozi wa kiimani wanaaminika zaidi na waumimi wao kuliko viongozi wa siasa. Tamko la TEC, japo limekuwa formulated na Maaskofu, tamko hilo lilivalishwa Umungu kwa kufanywa ni kauli ya wengi, " Vox Populi is Vox Dei" na kitendo cha kulisoma tamko hilo mimbarini, madhabahuni, altareni, kumelifanya tamko hilo kuwa ni sehemu ya ibada!. Wakatoliki wanawaamini sana viongozi wao wa dini wakiamini hiyo ni sauti ya Mungu. Hivyo Wakatoliki wote waliopo CCM na serikalini wanao ikubali DPW, tamko hilo la TEC linatuweka katika wakati mgumu!. Vivyo hivyo tamko la Sheikh Mkuu ni tamko la Waislamu wote!. Kuna wakati wa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, siku ya mfungo 29, mwezi ulionekana Mombasa, huku haukuonekana, Sheikh Mkuu kupitia Bakwata akasema mwezi haujaandama, hivyo Tanzania sio Iddi, watu wa Answar Sunna walikaidi wakaswali Eid el Fitri. Kesho yake mfungo 30, mwezi mwandamo ukaonekana ni mkubwa kabisa!, hivyo waliswali Iddi jana yake they were right!, serikali ikawataka Waislamu wote wa Tanzania kuifuata Bakwata, even if they are wrong!, hivyo Wakatoliki wa Tanzania watafuata msimamo wa TEC hata kama Maaskofu wa Katoliki are wrong!. Niliwahi kutoa angalizo hili humu kuhusu kuabudu
Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
Rais ni mamlaka halali au serikali ni mamlaka halali, ikitoa tamko ni amri halali inafuatiwa na utekelezaji
Tamko la TEC ni tamko la Wakatoliki wote!, kitu ambacho sio kuwatendea haki Wakatoliki wanao ikubali DPW!. Serikali yetu ikiwapuuza Wakatoliki, mwaka 2025 wanaweza kutoa waraka wa kuwatakia Wakatoliki wasikichague chama kinacho puuza Vox Populi is Vox Dei!.
It's true kuna vitu tunaahidiwa na havitekelezwi, ila Watanzania hivi ndivyo tulivyo tunaishi kwa matumaini, hili dubwana ni li zimwi ila ni zimwi likujualo halikuli likakwisha, hivyo licha ya kututenda yote haya ukifika wakati wa uchaguzi, tunalichagua tena na tena!.
We are living in a jungle, the law of the jungle applies, it's a constant struggle for existence, survival for the fittest, to be fit, one has to be adaptive to the changing environments, be adaptive and survive, if you can't adapt you just perish!. Angalia tarehe ya bandiko hili
Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! na sasa Mama huu ukimya wake na kuna vitu anavisema kwa sisi wa jicho la tatu vinatuogopesha hivyo tumejisalimisha mapema
Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...
Kwa urefu wa tamko lile hakuna media angeweza kulitangaza lote kwa ufasaha, makanisa ya wenzetu wanapotoa public information announcements, Padri anashuka kutoka mimbarini, altareni na madhabahuni anakuja kwenye podium ya Walei, na kutoa tangazo hilo, hivyo kutenganisha tangazo la kumwabudu Mungu na tangazo la kawaida.
Pia wanafanya makosa, mimi ni muumini wa Parokia ya St .Peters, ndipo nimepatia Komunio, nikatumikia, nikapatia Kipaimara, nikafungia ndoa na ile sherehe yangu ya mwisho pia itakuwa hapo!, enzi za Mwalimu Nyerere alikuwa anasali bila kupanda altareni kusalimia!.
Kwenye hili naendelea kusisitiza tusichanganye dini na siasa!.
P