Teuzi zimekaa kiukoo tupuNo reforms No election, ndiyo malengo yake. Tutengeneze mifumo imara. Watu wapewe wizara, idara na taasisi za umma kuziongoza based on merits, siyo kuteuana kama bila vivezo.
Nasoma maandishi Yao na kufikiri akili zao, nakosa majibu kwamba Hawa wanao andika ni watanzania?Tanzania inawatu wanyonge sana kila jambo ni kuogopa ogopa tu yn ht mkionewa mnakubaligi tu ww hujaona wafanyabiashara wetu walivyopata hasara
Hivi kweli inawezekana, akafanya peke yake bila hili jambo kujadiliwa na baraza la mawaziri?Tena anakurupuka peke yake, waziri wa viwanda na biashara, waziri wa fedha, waziri wa mambo ya nje na waziri wa katiba na sheria wanapaswa kuhusishwa kwenye mambo mtambuka kama hayo.
Lakini inawezekana ndio namna serikali ya SSH inavyofanya kazi. Anawaacha wafanye wenyewe ili mambo yakiharibika yeye ajivue kuwa waziri wake alikurupuka bila baraka za baraza la mawaziri.
Kama ww ulivo empty hakuna mkataba unaitwa international relation kuna mikataba ya nchi nachi na nchi na ncgi mbli au zaidnza kikanda rudi tenaaaaaaUkiwa pale tunduma magari ya apple uwa yapo busy Sana na Kuna ajira kibao za hizi apple
Aise bashe angejuwa anavyoenda kuua ajira za vijana pale angetulia tu!!
Halafu Tanzania hatujawai kuwa na mgogoro wa kidiplomasia na south Africa since independence I think huu utawala ndio utawala wa ovyo kabisa kuwai kuwepo toka tupate Uhuru!!
Vip mikataba ya international relations ?
Bashe na Samia inaonyesha ni empty set kabisa
KUzuia transit goods ni kosa kisheria na linakiuka mikataba ya kimataifa, unaweza kuzuia importation to your country onlyWanabodi
Jana nilimsikia Waziri wa Kilimo。Mhe。 Hussen Bashe akitangaza vita vya kibiashara ya vyakula kati ya Tanzania,Malawi na Afrika Kusini,
Bashe wakati akitangaza vita hiyo,sauti yake ilikuwa firm na authoritative as if he is CinC!kwa tone kama ya ki Magufuli Magufuli! Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania.
Kwenye tangazo hilo,Waziri Bashe ametangaza kuzuia hadi transit goods!zisipite nchini kwetu!, hivi Bashe anauwezo wa kuzuia transit goods?。Mbona viongozi wetu wanakurupuka hivi?
Soma Pia: Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini
Enzi Waziri Prof。 Adolf Mkenda akiwa waziri wa kolimo aliwahi kupigwa nonsense ya sukari Kwa “nonsense” ya Sukari, Rais Samia anastahili pongezi. Je, tuishie kwenye "nonsense" ya Sukari tu au tuangazie na "nonsense" nyingine zote?
Baada ya Ile Nonsense ya Sukari, sasa nasubiria kwa hamu kuisikia hii nonsense ya tangazo la Mhe。 Bashe kuzuia transit goods za Malawi na SA!,Hivi Hakunaga Wanasheria Huko Mawizarani?!Tunao uwezo huo?!。
Wangapi humu wanajua kuwa wale samaki wa Magufuli tulishitakiwa na kulipa fidia hadi kuilipa ile meli?。
Huwezi kukurupuka kusitisha goods on transit kama kwenda msalani!。Tunauwezo wa kulipa fidia ya perishables zitakazo perish hapo border?
Tanzania ni signatory wa bilateral na multilateral trade treaties zinazoongoza transit goods, Bashe alijiridhisha au anataka kujifanya Magufuli?。
Land-locked States shall have the right of access to and from the sea for the purpose of exercising the rights provided for in this Convention including those relating to the freedom of the high seas and the common heritage of mankind...
Karibu mitaa hii
part x. right of access of land-locked states to and from the sea and
Mimi nimekaa pale nasubiri,
mtaniambia msije kusema hatukusema!
Kuna vitu serikali yetu inafanya, watu wanashangilia sana,, sisi wenye jicho la tatu kazi yetu ni kiangazia na kuuliza je tunaweza?。
JPM alipobadili sheria ya madini,niliuliza humu Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts? tuliweza kumlinda?,Saa hizi yuko wapi?。Bashe akifaulu kwenye hili,2025 awe Naibu Waziri Mkuu!。
JPM alizuia makinikia yasitoke,akajiapiza hakitoki kitu!,aliweza?。Je wajua kuwa makinikia yanaendelea kupelekwa nje,hatuna kinu cha kuchenjulia makinikia!。Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!
Paskali
Kutoa tamko huku mazungumzo yakiendelea (kama alivyosema) amekosea.Hivi kweli inawezekana, akafanya peke yake bila hili jambo kujadiliwa na baraza la mawaziri?
Hili ni jambo lilioamuriwa na wote ila kwa sababu ni mambo ya kilimo ndio waziri mwenye dhamana akatoa tamko
Binafsi naona bashe amekurupuka kwanini vyombo vya nchi zetu 3,visikae pamoja kujadili,na kupata muafaka.Wanabodi
Jana nilimsikia Waziri wa Kilimo。Mhe。 Hussen Bashe akitangaza vita vya kibiashara ya vyakula kati ya Tanzania,Malawi na Afrika Kusini,
Bashe wakati akitangaza vita hiyo,sauti yake ilikuwa firm na authoritative as if he is CinC!kwa tone kama ya ki Magufuli Magufuli! Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania.
Kwenye tangazo hilo,Waziri Bashe ametangaza kuzuia hadi transit goods!zisipite nchini kwetu!, hivi Bashe anauwezo wa kuzuia transit goods?。Mbona viongozi wetu wanakurupuka hivi?
Soma Pia: Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini
Enzi Waziri Prof。 Adolf Mkenda akiwa waziri wa kolimo aliwahi kupigwa nonsense ya sukari Kwa “nonsense” ya Sukari, Rais Samia anastahili pongezi. Je, tuishie kwenye "nonsense" ya Sukari tu au tuangazie na "nonsense" nyingine zote?
Baada ya Ile Nonsense ya Sukari, sasa nasubiria kwa hamu kuisikia hii nonsense ya tangazo la Mhe。 Bashe kuzuia transit goods za Malawi na SA!,Hivi Hakunaga Wanasheria Huko Mawizarani?!Tunao uwezo huo?!。
Wangapi humu wanajua kuwa wale samaki wa Magufuli tulishitakiwa na kulipa fidia hadi kuilipa ile meli?。
Huwezi kukurupuka kusitisha goods on transit kama kwenda msalani!。Tunauwezo wa kulipa fidia ya perishables zitakazo perish hapo border?
Tanzania ni signatory wa bilateral na multilateral trade treaties zinazoongoza transit goods, Bashe alijiridhisha au anataka kujifanya Magufuli?。
Land-locked States shall have the right of access to and from the sea for the purpose of exercising the rights provided for in this Convention including those relating to the freedom of the high seas and the common heritage of mankind...
Karibu mitaa hii
part x. right of access of land-locked states to and from the sea and
Mimi nimekaa pale nasubiri,
mtaniambia msije kusema hatukusema!
Kuna vitu serikali yetu inafanya, watu wanashangilia sana,, sisi wenye jicho la tatu kazi yetu ni kiangazia na kuuliza je tunaweza?。
JPM alipobadili sheria ya madini,niliuliza humu Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts? tuliweza kumlinda?,Saa hizi yuko wapi?。Bashe akifaulu kwenye hili,2025 awe Naibu Waziri Mkuu!。
JPM alizuia makinikia yasitoke,akajiapiza hakitoki kitu!,aliweza?。Je wajua kuwa makinikia yanaendelea kupelekwa nje,hatuna kinu cha kuchenjulia makinikia!。Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!
Paskali
Niambie maana Sadc, EAC na Ecowas na objective zakeKama ww ulivo empty hakuna mkataba unaitwa international relation kuna mikataba ya nchi nachi na nchi na ncgi mbli au zaidnza kikanda rudi tenaaaaaa
Alokifanya hapo Bashe kwa wataalam yasemwa ni "escalation" yaani kuundeleza mgogoro.Kwa matukio ya jana pale Kisutu ukiunganisha na hili la Bashe na mengine mengi ya hivi karibuni yanayofanywa na kutendwa....
Yanathibitisha kuwa Tanzania ina viashiria vyote vya kuwa Banana 🍌 Republic...
A fail state of its own make!!😭