Baada ya Ile Nonsense ya Sukari, Nasubiria kwa hamu nonsense ya Bashe kuzuia Transit Goods za Malawi na SA, Hivi hakunaga Wanasheria huko Mawizarani?!

Baada ya Ile Nonsense ya Sukari, Nasubiria kwa hamu nonsense ya Bashe kuzuia Transit Goods za Malawi na SA, Hivi hakunaga Wanasheria huko Mawizarani?!

CCM na Serikali yake wanapenda kusikia mapambio ya machawa lakini Ukweli wanakoelekea siyo. Wametiwa upofu kila move wanachemsha. They no longer behave like a political party, unless there's a painfull change, power shift is inevitable.
 
25 April 2026
Lusaka Zambia

Usafirishaji wa unga wa mahindi kwenda DR CCongo umeanza rasmi chini ya mpango wa kitaifa uliopangwa


View: https://m.youtube.com/watch?v=mBFS8aT15LA
Usafirishaji wa unga wa mahindi kwenda DRC umeanza rasmi chini ya mpango wa kitaifa uliopangwa.

Naibu Katibu mkuu wa Baraza la Mawaziri (Fedha na Maendeleo ya Uchumi), Bw. Siazongo Siakalenge, alizindua mpango huo huko Nkana Milling katika Ukanda wa Shaba Copper Belt , akiashiria mabadiliko kutoka kwa sera hadi utekelezaji kamili wa kimatendo.

Zambia sasa inasindika tani 600,000 za mahindi, kuwa tani 480,000 za unga wa mahindi wa kifungua kinywa yaani uji, kupitia mpango rasmi wa usambazaji unaoungwa mkono na Serikali na Wakala wa Hifadhi ya Chakula.

Hii inafuatia hali ya hewa kutoka kuisha kwa ukame wa mwaka 2024, hivyo uzalishaji mahindi ukiongezeka hadi zaidi ya tani milioni 3.6 na kuunda ziada akiba.

Rais Hakainde Hichilema aliagiza kufunguliwa kwa soko la mauzo ya nje ili kuweka kilimo kama biashara inayofanya kazi.

Wakulima sasa huzalisha huku kukiwa na soko la uhakika. Viwanda vya usagaji mahindi kuwa unga sasa vinaongezeka ndani ya nchi. Hivyo kutengeneza nafasi za Kazi za ajira na hivyo kuongeza thamani katika mnyororo wa wa sekta ya kilimo kutengeneza ajira zaidi. Fedha za kigeni zinakuja huku usambazaji wa ndani ukibaki imara

Source : Director Spokeperson
 
25 April 2026

Zambia and Zimbabwe have begun implementing key agreements reached in November 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=R8Kf9lRbRwU

Zambia and Zimbabwe have begun implementing key agreements reached in November 2025 when President Hakainde Hichilema and President Emmerson Mnangagwa co-chaired the Bi-National Commission, with early signs of progress now visible on the ground.

At Chirundu, one of the region’s busiest border posts, increased trade activity is supporting Zambia Revenue Authority targets of Kwacha 185 billion in 2026, as the corridor continues to handle high volumes of goods moving between the two countries.

This momentum is being reinforced by plans for major joint investments, including a new railway line aimed at easing congestion on existing routes and improving access to regional ports.

The developments reflect a deliberate push by both countries to deepen economic cooperation, expand regional trade and respond to President Hakainde Hichilema’s call for African countries to trade more with each other and take full advantage of shared market opportunities
Source : Director Spokeperson
 
At Chirundu, one of the region’s busiest border posts, increased trade activity is supporting Zambia Revenue Authority targets of Kwacha 185 billion in 2026, as the corridor continues to handle high volumes of goods moving between the two countries.
25 April 2026
Chirungu


View: https://m.youtube.com/watch?v=lIWBoOr44Bc
Chirundu is seeing a surge in local business activity as freight volumes increase, rising from an estimated 40,000 to 50,000 trucks annually about five years ago to over 67,000 trucks now moving through the border.

This growth is being driven by increased production in Zambia’s economy, from higher copper output to rising agricultural exports such as maize, which has led to more goods moving in and out of the country.

In response, local residents are turning land into organised truck ports offering paid parking, food, fuel and repair services to meet demand from drivers, showing how increased national output is now
Source : Director Spokeperson
 
Back
Top Bottom