Baada ya Ile Nonsense ya Sukari, Nasubiria kwa hamu nonsense ya Bashe kuzuia Transit Goods za Malawi na SA, Hivi hakunaga Wanasheria huko Mawizarani?!

Ndugu yangu Pascal naomba niseme kwa kienglish ili kusisitiza hili.

We don't have smart heads to deal with serious matters.

Tuna kazi kubwa sana kama Taifa, kusomesha watu na kuwapa exposure, kubana mifumo ili wajinga wasiwe sehemu ya mifumo,kuruhusu watanzania wengi kuweza kupata nafasi ya kutumia Taifa lao kwenye maeneo nyeti, Kura kwenye chaguzi zetu ziwe za haki ili wananchi waweze kupata nafasi ya kuchagua watu smart kwenye nafasi za kisiasa.
 
Tanzania inawatu wanyonge sana kila jambo ni kuogopa ogopa tu yn ht mkionewa mnakubaligi tu ww hujaona wafanyabiashara wetu walivyopata hasara
Nasoma maandishi Yao na kufikiri akili zao, nakosa majibu kwamba Hawa wanao andika ni watanzania?
Au Warundi kutoka kambi ya Nyarugusu.

Unajua mapato kiasi gani yatapotezwa kwa mahindi yaliyo pigwa vita yasiingie kusini mwa Afrika na Malawi?

Wafanyabiashara wetu waliopata hasara si chochote wala lolote?
Hata Uzi wa kuwalipa fidia haupo!

Bila kuidindia Kenya wangetusumbua mpaka leo.
Hata huyu Malawi, alianza ziwani Sasa kaja kwenye bidhaa, tunajua atakapo ishia?

Unawaza ajira za hapo Tunduma kuhusu Matofaa, vipi Afrika ya kusini kupoteza soko la uhakika la bidhaa Yao na hasara kwa wakulima kule kwao?

Madereva kupoteza hajira vile vile?
 
Tena anakurupuka peke yake, waziri wa viwanda na biashara, waziri wa fedha, waziri wa mambo ya nje na waziri wa katiba na sheria wanapaswa kuhusishwa kwenye mambo mtambuka kama hayo.

Lakini inawezekana ndio namna serikali ya SSH inavyofanya kazi. Anawaacha wafanye wenyewe ili mambo yakiharibika yeye ajivue kuwa waziri wake alikurupuka bila baraka za baraza la mawaziri.
 
Hivi kweli inawezekana, akafanya peke yake bila hili jambo kujadiliwa na baraza la mawaziri?

Hili ni jambo lilioamuriwa na wote ila kwa sababu ni mambo ya kilimo ndio waziri mwenye dhamana akatoa tamko
 
Kama ww ulivo empty hakuna mkataba unaitwa international relation kuna mikataba ya nchi nachi na nchi na ncgi mbli au zaidnza kikanda rudi tenaaaaaa
 
KUzuia transit goods ni kosa kisheria na linakiuka mikataba ya kimataifa, unaweza kuzuia importation to your country only
 
Hivi kweli inawezekana, akafanya peke yake bila hili jambo kujadiliwa na baraza la mawaziri?

Hili ni jambo lilioamuriwa na wote ila kwa sababu ni mambo ya kilimo ndio waziri mwenye dhamana akatoa tamko
Kutoa tamko huku mazungumzo yakiendelea (kama alivyosema) amekosea.

Ni kosa kubwa la kiufundi.
 
Binafsi naona bashe amekurupuka kwanini vyombo vya nchi zetu 3,visikae pamoja kujadili,na kupata muafaka.
 
Its absolutely nonsense! As if wakulima wa hayo mazao wamekosa soko Tanzania?!
Rubbish kabisa!
Mihemuko, kiherehere, kijifanyafanya tu!
Bogus huyu msonjo!
 
Kwa matukio ya jana pale Kisutu ukiunganisha na hili la Bashe na mengine mengi ya hivi karibuni yanayofanywa na kutendwa....

Yanathibitisha kuwa Tanzania ina viashiria vyote vya kuwa Banana 🍌 Republic...

A fail state of its own make!!😭
 
Alokifanya hapo Bashe kwa wataalam yasemwa ni "escalation" yaani kuundeleza mgogoro.

Bashe angeacha juhudi za kidiplomasia ziendelee kutumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…