Baada ya Injinia Hersi Said kuchukua Fomu Yanga SC taratibu 'ANGUKO' la Yanga SC naanza kuliona kwa mbali

Je, mfano ikitokea Injinia Hersi Said akaukosa huo ( huu ) Urais ndani ya Yanga SC hawezi akaishawishi GSM iachane na Kuidhamini Yanga SC.


Hersi ni muajiriwa wa kawaida sana ndani ya Kampuni kubwa ya GSM.

Kampuni ya GSM ina board members ambao hufanya maamuzi makubwa.

Eng HERSI SAIDI asiwatishe sana watani zangu.
 
Hata hivyo wenye Akili Kubwa tulishajua tu tokea zamani kuwa GSM ilikuwa inamuandaa Injinia Hersi Said kuja kuwa Kiongozi wa Yanga SC.

Inafaa kuupiga vita ubaguzi wa aina yeyote ile.

Kwanini Eng Hersi hafai kuwa kiongozi wa Klabu kama tu katiba inampa ruhusu ya kuwania nafasi?

Kila mwanachama, shabiki na mpenzi wa Yanga sasa amefurahi kuona GSM inajisogeza karibu na klabu ili kupata fursa ya kuwa na maamuzi makuu.
 
Injinia Hersi na Gharib wameshawageuza kuwa ni Mungu na Kimbilio Kuu la Kiuchumi kwa wana Yanga SC 'Njaa Njaa' wengi waliopo Tanzania.

'Mission Accomplished' tu kwa GSM.

Klabu zote za SIMBA SC na YANGA SC ni klabu za njaa njaa.

Ni lazima wanyenyekee hawa watu wanao jiita wawekezaji.

Mpaka leo hakuna mwenye uwezo wa kuhoji BIL 20 za Mo Zimewekwa akaunti gani!

Ukiwa na pesa lazima uwe na Umungu MTU ndani.
 
Je hii tuseme ni conflict of interest au plan nzuri ya maendeleo ya klabu? Muda utaongea!

Mtu akikuambia Conflict of Interest mwambie akupe maelezo kwa kina.


Mo Dewji aliiweka Simba Queens chini ya Dada yake.

Mo Dewji akampa Demu wake u C.E.O


Huko kote hatukusikia conflict of interest. [emoji23][emoji23]
 

Ni asilimia 3% ya watakao soma ndio watakao ng’amua ukimaanishacho.
 
Mimi ni yanga lakini la hersi kuchukua form nalipinga sana,kwasasa sina sababu ila baadae ntakuwa nazo
 
SAFARINI LEO USIKU✈️

Mkurugenzi wa uwekezaji Kutoka Gsm na mwenyekiti wa kamati ya Usajili leo usiku majira ya saa 8:15pm ataondoka nchini Tanzania sambamba na wakala wa Azizi ki kwenda nchini Ivory cost kukamilisha taratibu za uhamisho wa Stephanie Aziz ki.

Jana wakala wa Azizi ki alikutana na Eng hersi,Senzo mbatha, Dominic albinus walikamilisha taratibu zote za kimkataba na Azizi ki kwa kukubali kusaini Kandarasi ya miaka miwili.

Asec mimosas ndiyo wanamliki mchezaji Stephanie Aziz ki na ndio waliotoa kibari cha mchezaji kukutana na Yanga kufanya mazungumzo ya mwisho ya kimkataba kilichobaki kwa sasa ni Yanga sc na Asec mimosas kumalizana ada ya usajili kitu ambacho Yanga wamekubali kulipa na kumaliza biashara mapema ili waweze kupata ITC ya mchezaji mapema.

Safe travels

NB:Kweli mtu afanye yote haya halafu aukose urais.
 
Makonda alipofanikiwa kumfitinisha Manji na JPM Simba walivimba sana ila Kwa Sasa watalia na kusaga meno.
Na hapo ndipo walipotumia makolo Kupitia makonda kuihujumu Yanga kwa kudhoofisha kila alichokuwa nacho Yusuph Manji, leo hii ni kinyume chake, wao wako wapi na yanga iko wapi? Mungu Fundi kwelikweli.
 
Ma

Mama Esta sc mnateseka....!
 
Hivi kweli kama Yanga ilikuwa inashinda kwa kununua mechi aliyewauzia mechi yenu ni nani hadi mkafungwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Baada ya kufungwa niliamini msimu huu yanga wako vizuri niliyafuta hayo mawazo ya kufikiria yanga alikuwa ana nunua mechi
 
Umeandika ushuzi gani hapa
USISAHAU MNA MAKOCHA ZAIDI YA 100 WALIOOMBA KAZI HUKO UMAKOLONI, AKIWEMO KOCHA WA MAN U..!! Mmelichafua jina la Real Madridkwa kocha wenu mliyemtimua, sasa mnataka kuwachafua MAN U...
 
Nakazia
 
Kwakuwa wewe sio mwanayanga,acha ianguke maana ndio furaha yenu
 
Hivi ni Self Travel au ni Self Journey?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…