Baada ya Injinia Hersi Said kuchukua Fomu Yanga SC taratibu 'ANGUKO' la Yanga SC naanza kuliona kwa mbali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GSM ndiyo wamesimamia huu Mchakato mzima. GSM hawa hawa ndiyo kwa 99% wanaendesha 'Operations' zote za Yanga SC na cha Kushangaza tena Mmoja wa Watendaji Wakuu wa GSM Injinia Hersi Said nae amechukua Fomu Kugombea Urais Yanga SC.

Je, kwa Kitendo hiki ( hatua hii ) ya Injinia Hersi Said nae kuingiwa na Tamaa ya Kuutaka Urais kutakuwa na Uchaguzi wa Uhuru na Haki kwa wana Yanga SC wote?

Je, mfano ikitokea Injinia Hersi Said akaukosa huo ( huu ) Urais ndani ya Yanga SC hawezi akaishawishi GSM iachane na Kuidhamini Yanga SC na Yanga SC warudi tena katika zile zama zao walizozizoea za Umasikini, Shida, Taabu na kutembeza Bakuli huku wakichapana Bakora?

Hata hivyo wenye Akili Kubwa tulishajua tu tokea zamani kuwa GSM ilikuwa inamuandaa Injinia Hersi Said kuja kuwa Kiongozi wa Yanga SC na ndiyo maana ikaanza Kwanza kwa 'Kuwalainisha' Kifikra na Kimtizamo wana Yanga SC wote duniani ambao ukitaka Ugombane nao Wewe iseme GSM au Injinia Hersi Said kwani Kwao huyu Injinia Hersi na Gharib wameshawageuza kuwa ni Mungu na Kimbilio Kuu la Kiuchumi kwa wana Yanga SC 'Njaa Njaa' wengi waliopo Tanzania.

'Mission Accomplished' tu kwa GSM.
 
Funga domo lako, mambo ya Yanga yanakuhusu nini. Nenda kwenu musoma ukeketwe
 
Naelewa hofu yenu wanasimba juu Uwepo Wa Eng.Hersi Said pale Yanga kwani yeye ndo kasababisha leo hii maumivu mnayopata

Labda tu niwaambie Eng.Hersi ni chambo tu pale Yanga kupitia GSM ila anayecontrol kila kitu from Behind ni Born Town mwenyewe......Mzee Wa Msoga
 
Naaaaaam
 
Hakuna wakutusumbua sasahivi nchi ipo chini ya Born Town

Kupitia GSM.......Born town ana pesa chafu sana na ndio zinazunguka pale Yanga

Wanasimba andaeni Pain killers za kutosha na maji mengi sana coz vichwa vitawauma sana
 
GSM ndiyo wamesimamia huu Mchakato mzima. GSM hawa hawa ndiyo kwa 99% wanaendesha 'Operations' zote za Yanga SC na cha Kushangaza tena Mmoja wa Watendaji Wakuu wa GSM Injinia Hersi Said nae amechukua Fomu Kugombea Urais Yanga SC.

Je, kwa Kitendo hiki ( hatua hii ) ya Injinia Hersi Said nae kuingiwa na Tamaa ya Kuutaka Urais kutakuwa na Uchaguzi wa Uhuru na Haki kwa wana Yanga SC wote?

Je, mfano ikitokea Injinia Hersi Said akaukosa huo ( huu ) Urais ndani ya Yanga SC hawezi akaishawishi GSM iachane na Kuidhamini Yanga SC na Yanga SC warudi tena katika zile zama zao walizozizoea za Umasikini, Shida, Taabu na kutembeza Bakuli huku wakichapana Bakora?

Hata hivyo wenye Akili Kubwa tulishajua tu tokea zamani kuwa GSM ilikuwa inamuandaa Injinia Hersi Said kuja kuwa Kiongozi wa Yanga SC na ndiyo maana ikaanza Kwanza kwa 'Kuwalainisha' Kifikra na Kimtizamo wana Yanga SC wote duniani ambao ukitaka Ugombane nao Wewe iseme GSM au Injinia Hersi Said kwani Kwao huyu Injinia Hersi na Gharib wameshawageuza kuwa ni Mungu na Kimbilio Kuu la Kiuchumi kwa wana Yanga SC 'Njaa Njaa' wengi waliopo Tanzania.

'Mission Accomplished' tu kwa GSM.
Unaionea huruma Yanga kwa anguko litakaikuta au wivu tu,maana kama hersi atakua ndio chanzo Yanga kuanguka makolo ilibidi mfurahi,hivi mlianza lini kuionea huruma Yanga hii ikawa mara ya pili!amkuionea huruma wakati inatembeza eti leo muionee huruma kwa hersi kugombea urais!🤷‍♂️
 
Mbona wanasimba huwa wakali Sana pale MOHAMED DEWJI akisemwa

Ndvyo ilivyo kwa yanga unamkumbuka SWED NKWABI unadhan kwann alijitoa?
 
Back
Top Bottom