Baada ya Irani kutangaza kuwa Itajibu mapigo yoyote ya Israel nchini Syria, yagongwa tena

Baada ya Irani kutangaza kuwa Itajibu mapigo yoyote ya Israel nchini Syria, yagongwa tena

Najaribu tu kupiga picha kama Iran ndio ingeishambulia Israel hivyo sasa hivi tungekuwa tunazungumza lugha gani.

So long as Iran are in Syria they must tread very carefully otherwise they might live to regret.
So long as Iran are in Syria they must tread very carefully otherwise they might live to regret.**

Mkuu Iran si nchi ya mchezo mchezo..
ina ina history kubwa na wana uzoefu mkubwa mno katika medani ya kivita.
Iran iliwai tawala dunia, Israel hiyo historia hana.
 
saying the era of “hit and run” attacks by Israel there was over,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

nimekumbuka vile ndege za Israel zilivyojificha nyuma ya ngege ya Urusi, dege la Urusi likatunguliwa, wao wakala kona.

hawa jamaa hawana IQ Kubwa, ila dunia nzima hakuna Race inayojua ulaghai na ujanja mwingi Kama Wayahudi.
Kwa hiyo waajemi ndio wana akili kubwa ewe abdool?
 
So long as Iran are in Syria they must tread very carefully otherwise they might live to regret.**

Mkuu Iran si nchi ya mchezo mchezo..
ina ina history kubwa na wana uzoefu mkubwa mno katika medani ya kivita.
Iran iliwai tawala dunia, Israel hiyo historia hana.
Iran ilitawala dunia mwaka gani? Na wakati ina tawala watu wake walikuwa na imani gani?

Israel haina hiyo historia ila ina historia ya kuwa taifa la kwanza na pekee kuabudu Mungu aliyejuu, watu wake kubarikiwa, Mungu kujidhihirisha kwao n.k
 
Yule Myahud alietemea mate picha za Yesu wenu yupo BADO??
 
Kwa hiyo waajemi ndio wana akili kubwa ewe abdool?
I'm not Abdool(in Christian Prince voice).

Nb: rudia kusoma nilichokiandika ikiwa ujaelewa.
Kama kuna sehemu nimeja waajemi wana akili kubwa, nionyeshe.
 
Yule Myahud alietemea mate picha za Yesu wenu yupo BADO??
Wewe ni muamini wa dini gani?
Nauliza hivi kwa sababu bila Kristo hakuna Uislamu wala Ukristo!

Hakuna picha za Yesu Kristo duniani ila kuna michoro ya picha za Yesu Kristo aliitemea mate hiyo michoro?
 
Iran ilitawala dunia mwaka gani? Na wakati ina tawala watu wake walikuwa na imani gani?

Israel haina hiyo historia ila ina historia ya kuwa taifa la kwanza na pekee kuabudu Mungu aliyejuu, watu wake kubarikiwa, Mungu kujidhihirisha kwao n.k
Umehoji uku ukihisi nilichokiandika kinadosari, ukuhoji kwa kutaka kujua.

basi, ni sahihishe wewe, inaonekana unauulizwa swali uku unajibu lako kichwani.
 
Mwanzo 27:29, Hesabu 24:8-9

Alafu kasome na Waebrania 13:5 Mungu anasema hatoiacha Israel.
Pole sana Uthman wakati anakopi haya hakuyapenda akayaacha.
kwanini nikasome hicho kitabu na sio things fall apart?.
 
Syria kila mwenye nguvu anashusha mabomu.
Israel anamgusa Iran pembeni pembeni uko.akite pale Tehran kwa Mzee Hayatollah kama kweli anajiamini.
 
I'm not Abdool(in Christian Prince voice).
You are Abdool! The grandson of Muddy the warlord.
Nb: rudia kusoma nilichokiandika ikiwa ujaelewa.
Kama kuna sehemu nimeja waajemi wana akili kubwa, nionyeshe.
Umejaribu kuweka ulinganifu wa IQ za waajemi na Waisrael kwa kutumia incidence ya tukio la kudunguliwa ndege ya Urusi.
 
Syria kila mwenye nguvu anashusha mabomu.
Israel anamgusa Iran pembeni pembeni uko.akite pale Tehran kwa Mzee Hayatollah kama kweli anajiamini.
Kwanini huyo ayatollah asianze kupita Tel aviv?
 
Hahaha israel ile ya gay city of telaviv?,
Iran ile ya Tehran ya magaidi, wafuga midevu, wauwaji watu, wasiotoa usawa kwa wanawake?
[emoji1787]kweli kama ndo mungu huyu wa juu hapana labda awe mungu wenu nyie
Ni kweli Mungu wetu si wenu, yupo siku nyingi sana, hivi ilikuwaje hadi akaanza kuvikosoa vitabu vya Biblia ina maana alivisoma?

Na kwanini hakuwafundisha watu wake mambo mengine kabisa hadi akakopi ambavyo vilikwisha andikwa miaka zaidi ya elfu 3 kabla ya Ujio wa Kristo?
ila mungu ninayemuamini mimi hawezi kuwalinda machoko kama wale otherwise na wewe utakua choko
Kweli Allah anawachukia Waisrael toka alivyombumbuliwa na Muddy.
Hana uwezo wa kuwalinda kwa sababu hawamuabudu na wala sisi hatumuabudu.

Biblia inasema Mungu wetu yu hai, yupo sasa, kesho na hata milele.
 
You are Abdool! The grandson of Muddy the warlord.

Umejaribu kuweka ulinganifu wa IQ za waajemi na Waisrael kwa kutumia incidence ya tukio la kudunguliwa ndege ya Urusi.
Nimeandika hawana IQ Kubwa, sijaandika Waisrael wana IQ ndogo kulinganisha na Wairan.
iki unachokisema hapa ni kunilisha maneno ambayo sijayaandika popote.
kinyume na dai langu kwamba sijasema unachokisema wewe, nionye ni wapi nimeandika hivyo.

hayo mengine uliyoyaandika hapo juu ni speculation tu, huna unachojua.
 
Back
Top Bottom