Shida ya vyeo vya kupeana kenya kikabila bila kuzingatia sifa.Jaji mkuu mstaafu aliyepewa cheo kihalali sio kikabila hujua vizuri protocol na how to behave
Yeye akisafiri nje kwa shughuli yeyote alitakiwa kuwasiliana na wizara ya mambo ya nchi za nje ya kenya kuwa asafiri Tanzania kisha wizara ya mambo ya nje ya Kenya iwasiliane na Tanzania ili mtu wao apokelewe kama VIP ,apewe hata escort
Shida ya vyeo vya upendeleo Kenya ndiyo hiyo ona sasa majaji wakuu wao wastaafu wanawasili kinyemela utafikiri wamekimbia kenya kwa kufumaniwa na wake za watu
Ujaji mkuu kenya wameushusha hadhi sana
Mahakama ya Kenya iwajadili kwa kweli wameshusha hadhi ya ujaji mkuu mstaafu kenya na kuufanya udhalilike nje ya nchi
They have set a vey bad precedence
Mahakama ya kenya ijitathimini na kujitafakari