DOKEZO Baada ya Jerry Silaa kuondoka Ardhi, Papa Msofe aibuka na kutaka kudhulumu ardhi Salasala

DOKEZO Baada ya Jerry Silaa kuondoka Ardhi, Papa Msofe aibuka na kutaka kudhulumu ardhi Salasala

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
R

Rafiki yake wa siku zote Alex Massawe hayuko nae huyo Papaa Msofe?
AM siku hizi deal za viwanja na manyumba kamuachia mkwe wake kijana mmoja wa makumbusho anaitwa Adolph.
Huwa ana cruise na ndinga za baba mkwe sana huyu Adolfe na pia inasemekana mambo yale ya kina chonji pia anazungusha.
 
Wameona waziri wa ardhi sahv dhaifu wanataka kupita humo humo...hii serikali ya huyu haieleweki ni kama wanakombatia wezi

Ova
 
It was a high time Deo ndejembi waziri wa ardhi angesimama na wananchi ili apate kiki na yeye. Najua unasoma hapa deo shughulikia changamoto hiyo fanya kama makonda ccm.inahitaji amplified gen z kama wewe.
 
Sasa waziri jerry hajaacha misingi imara hapo wizarani?, kwamba akitoka yeye jahazi linazama?
 
Hebu ongea nao wamrudishe
Silaa huko ardhi wezi wanarudi

Ova
Tlaatlaah
dokezo hili muhimu limechukuliwa, na niwahakikishie linafanyiwa kazi, halitaachwa kama taarifa za mitandaoni tu, linafuatiliwa na kushughulikiwa...

ni muhimu kijana waziri mchapakazi Jerry Sila akaendelea na majukumu muhimu alopangiwa na Rais, huku wale wa wizara husika wakadeal na dokezo hili muhimu pia...

ya maana zaidi,
ni kwamba changamoto na setbacks za kisekta zishughulikiwe kikamilifu na wahusika kisekta kulingana na kazi na majukumu walimopangiwa 🐒
 
Kwa vile waziri wa sasa ni mtu wa hovyo, lazima msofe atashinda tu kesi. Ila kama waziri angeendelea kuwa Jerry Silaa nakuhakikishia kuwa jamaa angeshindwa kesi kabla hata ya kuanza kusikilizwa.
Na hapa ndipo unapojiuliza swali la msingi, hivi namba moja na ccm yake huo wana nia ya dhati ya kuwasidia wananchi kutatua shida zao kweli? au kwao vyeo ni kwa maslahi yao binafsi na ya kichama! unaanzaje kumtoa kiongozi makini ktk wizara inayotesa mamilioni ya watanzania
 
Japo sijajua mamlaka ya mkuu wa wilaya lakini kama yupo ilibidi yeye ndio awe mtu wa kwanza kulifuatikia sakata hili akiwa na maafisa ardhi.

Yupo mkuu wa mkoa pia kama vile alivyofuatilia lile suala la petrol station pale mikocheni kwa mama tibaijuka au kwa shkuba basi na hili angejitum fasta.
Haya mengine ndio yanayofanya mtu kama makonda kukumbukwa kwa utayari w haraka kutatua changamoto.
Zile clinic za ardhi zakutatua migogoro za jerry silaa sijui ziliisha alipihamishwa wizara.
 
Jamaa miaka nenda rudi yeye anaishi kwa migogoro ya Ardhi..hapo ujue pana mtu wa ndani kampa taarifa kuhusu hicho kiwanja basi watatoka hao hata wawe 100...huyo Mzala ana taarifa za viwanja vingi ukanda huo ukikosea timing tu anakupeleka mahakamani na kiwanja ni chako hao wanajua kuzighiribu mahakama zetu..
 
Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu.

Papa Msofe anadai anamiliki ardhi yapata miaka 7 hajawai kwenda wala serikali ya mtaa haimtambui kama ni mmiliki na ardhi hiyo karibu square meter 6000 ambayo wananchi wamejenga na wanaishi wengine wakiwa na miaka zaidi ya 20 mahali hapo Salasala Big D au Mbezi Rafia kwa juu kwenye bomba kubwa la DAWASCO.

Papa Msofe amefika eneo hilo na hati haijajulikana kama ni halali au sio halali bado mpaka mamlaka zithibistishe.

Wananchi wanadhani Papa Msofe ameona Waziri Jerry Silaa hayupo basi amekuja kuwaghiribu wananachi wampe ardhi hiyo maana waziri Jerry Silaa alikuwa mwiba kwa matapeli wa ardhi kama akina msofe kama vile mzee Mushi.

Msofe anasifika kwa issue za kufoji, upigaji wa copper, na kudhulumu nyumba na ardhi za watu.
Kweli jasiri haachi asili? Papas Msofe tena?
 
Back
Top Bottom