Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
- Thread starter
-
- #21
AM siku hizi deal za viwanja na manyumba kamuachia mkwe wake kijana mmoja wa makumbusho anaitwa Adolph.R
Rafiki yake wa siku zote Alex Massawe hayuko nae huyo Papaa Msofe?
Au lucas mwashambwa aongee na mshua.
dokezo hili muhimu limechukuliwa, na niwahakikishie linafanyiwa kazi, halitaachwa kama taarifa za mitandaoni tu, linafuatiliwa na kushughulikiwa...
Na hapa ndipo unapojiuliza swali la msingi, hivi namba moja na ccm yake huo wana nia ya dhati ya kuwasidia wananchi kutatua shida zao kweli? au kwao vyeo ni kwa maslahi yao binafsi na ya kichama! unaanzaje kumtoa kiongozi makini ktk wizara inayotesa mamilioni ya watanzaniaKwa vile waziri wa sasa ni mtu wa hovyo, lazima msofe atashinda tu kesi. Ila kama waziri angeendelea kuwa Jerry Silaa nakuhakikishia kuwa jamaa angeshindwa kesi kabla hata ya kuanza kusikilizwa.
Jamaa miaka nenda rudi yeye anaishi kwa migogoro ya Ardhi..hapo ujue pana mtu wa ndani kampa taarifa kuhusu hicho kiwanja basi watatoka hao hata wawe 100...huyo Mzala ana taarifa za viwanja vingi ukanda huo ukikosea timing tu anakupeleka mahakamani na kiwanja ni chako hao wanajua kuzighiribu mahakama zetu..
Kweli jasiri haachi asili? Papas Msofe tena?Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu.
Papa Msofe anadai anamiliki ardhi yapata miaka 7 hajawai kwenda wala serikali ya mtaa haimtambui kama ni mmiliki na ardhi hiyo karibu square meter 6000 ambayo wananchi wamejenga na wanaishi wengine wakiwa na miaka zaidi ya 20 mahali hapo Salasala Big D au Mbezi Rafia kwa juu kwenye bomba kubwa la DAWASCO.
Papa Msofe amefika eneo hilo na hati haijajulikana kama ni halali au sio halali bado mpaka mamlaka zithibistishe.
Wananchi wanadhani Papa Msofe ameona Waziri Jerry Silaa hayupo basi amekuja kuwaghiribu wananachi wampe ardhi hiyo maana waziri Jerry Silaa alikuwa mwiba kwa matapeli wa ardhi kama akina msofe kama vile mzee Mushi.
Msofe anasifika kwa issue za kufoji, upigaji wa copper, na kudhulumu nyumba na ardhi za watu.