mungita
Member
- Mar 8, 2017
- 63
- 39
Huwa nnashangaa sana jambo moja, wakati wa kampeni mbunge anatoa ahadi lukuki, akishapata akiulizwa yeye au mashabiki zake watasema ni serikali ndo yenye wajibu wa kutekeleza ahadi zile, muda wake ukiisha anarudi tena kutoa ahadi, mfano ujenz wa barabara au vituo vya afya