Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Lissu karibu Kyela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atawezana na Mwakyembe?Hii ni kwa sababu kwa miaka mingi sana , jimbo la Kyela limekosa mbunge ambaye ni Mkazi halisi wa Kyela , kwa zaidi ya miaka 15 Kyela imekuwa na mbunge mpita njia , Mwakyembe alikuja Kyela kuomba kura ama kuja kuzika ndugu zake na kujiondokea zake , akirudi tena basi labda kuna ziara ya Waziri Mkuu au Rais...
Ukituletea Mwakyembe tunamaliza kazi mapema mno!Atawezana na Mwakyembe?
Mwakyembe tutampa ushindi kinguvu, mna ubavu wa kupambana?Ukituletea Mwakyembe tunamaliza kazi mapema mno !
Mwakyembe hatakiwi na wanakyela hata wasio chadema, hakuna namna yeyote ya kulazimisha awe mbungeMwakyembe tutampa ushindi kinguvu, mna ubavu wa kupambana?
Huyu labda atapata kura za wapiga debe pale stendi ya Boda, Chadema kyela ishajifia siku nyingi. Huyo Alinanuswe labda wewe ndie unayemjua. Acha masikhara atamuweza Kipineapple? yetu macho.Ni heri mngemwangukia kijana wa Nsesi.Hii ni kwa sababu kwa miaka mingi sana , jimbo la Kyela limekosa mbunge ambaye ni Mkazi halisi wa Kyela , kwa zaidi ya miaka 15 Kyela imekuwa na mbunge mpita njia , Mwakyembe alikuja Kyela kuomba kura ama kuja kuzika ndugu zake na kujiondokea zake , akirudi tena basi labda kuna ziara ya Waziri Mkuu au Rais...
Acha urongo weye ndivyo mnavyojidanganya.ccm haiminiki na wana kyela
Ukamanya nafimo khangiHuyu labda atapata kura za wapiga debe pale stendi ya Boda, Chadema kyela ishajifia siku nyingi. Huyo Alinanuswe labda wewe ndie unayemjua. Acha masikhara atamuweza Kipineapple? yetu macho.Ni heri mngemwangukia kijana wa Nsesi.
Hah hah sawa lakini ukweli ndio huo,nimeona leo ndio mumefungua ofisi yenu baada ya kuwa makazi ya kupumzikia mbuzi wa Kalumburu kwa muda mrefu sana ,kidogo nilitaka nikapange hicho kiofisi niwe nawekea mpunga wangu baada ya kuona pamekuwa makazi ya mbuzi .Ukamanya nafimo khangi
Acha uongo mkuu siyo huyu,ni mkazi wa Kyela pale simsokwa
Leo nafichua Siri nimesoma shule ya msingi Nsasa japo kwetu ni Kajunjumele , Nsasa nina shangazi yangu , watoto wake nimekua nao na nikalazimika kusomea kule kwa ajili ya ile kampani yao , usimwambie mtuHuyu ni mjomba/ndugu yenu huko Nsasa kwa mzee Said right?!
😆😆😆😆Mkuu kama ni wewe kila la heri
Asante sanaAlinanuswe alisoma Kabale s/m na baadae Sama s/m then Kibaha 1-6 baada ya hapo SUA. Ni mtoto wa Kyela halisi.
Alisoma kipindi mwalimu mkuu akiwa Mwambene pale Kabale then shule ilifungwa kwajili ya kuigeuza kuwa secondary 1992 wanafunzi waliamishiwa shule jirani ili kuendelea na masoma. Vijiji vya Nyibhuko, Busale, Ibanda na Nkokwa ndivyo vijiji jirani hapo.Asante sana
ubarikiwe sana mkuuAlisoma kipindi mwalimu mkuu akiwa Mwambene pale Kabale then shule ilifungwa kwajili ya kuigeuza kuwa secondary 1992 wanafunzi waliamishiwa shule jirani ili kuendelea na masoma. Vijiji vya Nyibhuko, Busale, Ibanda na Nkokwa ndivyo vijiji jirani hapo.
Malawi wamefanya vizuri Kyela watafuata maamuzi ya jirani
Si kwa alinanuswe , huyu ni aina ya akina John HecheUtashangaa pamoja na heshima waliyompa ,kuwakata wenzake , katikati ya kampeni anaunga juhudi, wapinzani hawainiki katika zama hizi