Uchaguzi 2020 Baada ya Kamati Kuu CHADEMA kumpitisha Alinanuswe Mwalwange kugombea Ubunge Kyela, wananchi walipuka kwa Shangwe, vifijo vyatawala

Hii ni kwa sababu kwa miaka mingi sana , jimbo la Kyela limekosa mbunge ambaye ni Mkazi halisi wa Kyela , kwa zaidi ya miaka 15 Kyela imekuwa na mbunge mpita njia , Mwakyembe alikuja Kyela kuomba kura ama kuja kuzika ndugu zake na kujiondokea zake , akirudi tena basi labda kuna ziara ya Waziri Mkuu au Rais...
Atawezana na Mwakyembe?
 
Huyu labda atapata kura za wapiga debe pale stendi ya Boda, Chadema kyela ishajifia siku nyingi. Huyo Alinanuswe labda wewe ndie unayemjua. Acha masikhara atamuweza Kipineapple? yetu macho.Ni heri mngemwangukia kijana wa Nsesi.
 
Ukamanya nafimo khangi
 
Ukamanya nafimo khangi
Hah hah sawa lakini ukweli ndio huo,nimeona leo ndio mumefungua ofisi yenu baada ya kuwa makazi ya kupumzikia mbuzi wa Kalumburu kwa muda mrefu sana ,kidogo nilitaka nikapange hicho kiofisi niwe nawekea mpunga wangu baada ya kuona pamekuwa makazi ya mbuzi .
 
Huyu ni mjomba/ndugu yenu huko Nsasa kwa mzee Said right?!
Leo nafichua Siri nimesoma shule ya msingi Nsasa japo kwetu ni Kajunjumele , Nsasa nina shangazi yangu , watoto wake nimekua nao na nikalazimika kusomea kule kwa ajili ya ile kampani yao , usimwambie mtu
 
Alinanuswe alisoma Kabale s/m na baadae Sama s/m then Kibaha 1-6 baada ya hapo SUA. Ni mtoto wa Kyela halisi.
 
Asante sana
Alisoma kipindi mwalimu mkuu akiwa Mwambene pale Kabale then shule ilifungwa kwajili ya kuigeuza kuwa secondary 1992 wanafunzi waliamishiwa shule jirani ili kuendelea na masoma. Vijiji vya Nyibhuko, Busale, Ibanda na Nkokwa ndivyo vijiji jirani hapo.

Malawi wamefanya vizuri Kyela watafuata maamuzi ya jirani
 
ubarikiwe sana mkuu
 
Utashangaa pamoja na heshima waliyompa ,kuwakata wenzake , katikati ya kampeni anaunga juhudi, wapinzani hawainiki katika zama hizi
 
Back
Top Bottom