Tegemeo letu ni wananchi .Mkurugenzi yupi atamtangaza?
Wananchi waoga balaaTegemeo letu ni wananchi .
Sasa baaaasiiiWananchi waoga balaa
Taarifa unajua kuzitafutaHuyu aligombea Rungwe akapigwa chini!
Mkuu umeshikwa KigugumiziOhoooooo!!!
johnthebaptist kanusha na leta ushahidi kuwa aligombea Rungweuongo utakusaidia nini ?
Hawezi kuthibitisha mkuu , na si mara ya kwanza kunisingizia , lakini dawa yake inachemkajohnthebaptist kanusha na leta ushahidi kuwa aligombea Rungwe
Yeye ndio athibitishe kama hakugombea.johnthebaptist kanusha na leta ushahidi kuwa aligombea Rungwe
He who alleges must prove!Yeye ndio athibitishe kama hakugombea.
Naripoti kutoka Kajunjumele, Kyela!
hana majibuKwani umemjua?
AmiinYa Rabi amsimamie katika kampeni zake na alitwae hilo jimbo la kyela inshallah
Kumbe ndio maana mwaka huu hata wajumbe wamemkataa MwakyembeUchaguzi uliopita CHADEMA walishinda ila ubabe tu ulitumika.....
Sasa malofa hawatakubali tena wanasema SASA BAAAASI!
tumemleta hapa Rabininsia. hypertension nadhani!Mwenye digirii nne ana hali gani.
Mbona makambako Chadema Kama Haina nguvu na wakati wakinga wapoKyela huwa kuna upinzani sana pia nadhani imechangiwa na wakinga make ndo wameshikilia uchumi wa pale mjini.Na wakinga wengi ni Chadema wanyakusa wamebakia vijijini na huko CCM ndo huwa wanafanyia mipango.
nani kasema Makambako hatuna nguvu?Mbona makambako CDM Kama Haina nguvu na wakat wakinga wapo
Wajumbe sio watu!Mwenye digirii nne ana hali gani.
Acha uongo mkuu siyo huyu ni mkazi wa Kyela pale simsokwaHuyu aligombea Rungwe akapigwa chini!