Hata kama watashindwa kufuta kanisa la kada wao wa CCM, basi wampoteze huyo askofu. Vinginevyo walirudishe kanisa la Gwajima. Ikiwa Gwajima ni kada na wamefuta kanisa lake wanashindwaje kufuta hili kanisa la Malasusa hata kama ni kada wa CCM? This is double standard.KKKT ipi ya kufutwa, ya malasusa huyuhuyu, subutu
Hesabu zinaongea, KKKT ni zao la RC jumlisha hapo uone majibu yake .Hata kama watashindwakufuta kanisa la kada wao wa CCM, basi wampoteze huyo askofu. Vinginevyo walirudishe kanisa la Gwajima. Ikiwa Gwajima ni kada na wamefuta kanisa lake wanashindwaje kufuta hili kanisa la Malasusa hata kama ni kada wa CCM? This is double standard.
Kanisa kuwa na madaktari ni kigezo cha kwenda kinyume na maelekezo ya CCM? Mbona hata Samia ni daktari lakini hajawahi kwenda kinyume na sheria za nchi?KKKT Maaskofu wote ni Madaktari 😁
Kwani RC na KKKT ni jumuiya za CCM? Dini pekee ambayo mama Samia hawezi kuifuta ni dini ya kiislamu. Dini nyingine zote zilizobaki ni dini za kikafir, so zinafutika vizuri tu.Hesabu zinaongea, KKKT ni zao la RC jumlisha hapo uone majibu yake .
October utaiona kama July
Wapi lilipoenda kinyume na chama dola CCM?Kanisa kuwa na madaktari ni kigezo cha kwenda kinyume na maelekezo ya CCM? Mbona hata Samia ni daktari lakini hajawahi kwenda kinyume na sheria za nchi?
CC
Lucas Mwashambwa
MamaSamia2025
Pascal Mayalla
ChoiceVariable
Tlaatlaah
Ndio maana nimekuhakikishia kwamba this time KKKT lazima waende na maji mkuu. Walichokisema ni zaidi ya alichosema Gwajima. Sioni namna watakavyonusurika kufutwa.Gwajima wamefungia sababu ni kukemea utekaji,
Mbona maaskofu kibao rc na kkt na mengine wanasema na wanaachwa
CCM wenyewe wanapinga mauwaji na utekajiLimeenda kinyume kwa kupinga utekaji na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia mkuu.
Iwapo wewe ndiye mfutaji futa yote uyabakize yale ya uchawa na ya kichawa.No reforms no electionSerikali ya CCM haipoi na haijawahi kupoa. Ndivyo unavyoweza kusema. Baada ya serikali kulifuta kanisa la Gwajima kwa kuhoji kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini kila kukicha, kanisa la KKKT nalo limeanza kuleta chokochoko kwa kutetea usawa, haki na uwazi kwenye uchaguzi, kutungwa kwa katiba mpya na kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi. Hebu msikilize wewe mwenye askofu huyu wa KKKT jinsi anvyotetea jambo ambalo serikali hailitaki mkuu.
View attachment 3360803
MAONI YANGU
Kwa kuwa serikali inapinga vikali mtu au taasisi yoyote inayoikosoa, sioni ni namna gani kanisa la KKKT litanusurika kufutwa kwa kufanya kitu kilekile ambaco Gwajima alifanya na kupelekea kanisa lake kufutwa. Nina uhakika na imani kuwa serikali yetu tukufu ni sikivu na kwamba italifuta kanisa la KKKT haraka iwezekanavyo, hata kama mwenye kanisa (Askofu Malasusa) ni kada maarufu wa CCM.
Endapo kanisa hili litanusurika kufutwa, basi huyu askofu aliyetetea haki akiwa madhabahuni, huku akifahamu fika kuwa utetezi wa aina hiyo ni masuala ya kisiasa, basi tutarajie askofu huyu kupotezwa huku kanisa likipewa onyo na karipio kali. Stay tunded and informed.
La Gwajiboy linadunda kama kawa.No reform no electionKKKT ipi ya kufutwa, ya malasusa huyuhuyu, subutu