huku mtaani wameanza kukusanya kadi za kupiga kura, sijui wanataka wakazifanyie nini
Safi kabisa! Mungu ambariki sana askofu!Serikali ya CCM haipoi na haijawahi kupoa. Ndivyo unavyoweza kusema. Baada ya serikali kulifuta kanisa la Gwajima kwa kuhoji kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini kila kukicha, kanisa la KKKT nalo limeanza kuleta chokochoko kwa kutetea usawa, haki na uwazi kwenye uchaguzi, kutungwa kwa katiba mpya na kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi. Hebu msikilize wewe mwenye askofu huyu wa KKKT jinsi anvyotetea jambo ambalo serikali hailitaki mkuu.
View attachment 3360803
MAONI YANGU
Kwa kuwa serikali inapinga vikali mtu au taasisi yoyote inayoikosoa, sioni ni namna gani kanisa la KKKT litanusurika kufutwa kwa kufanya kitu kilekile ambaco Gwajima alifanya na kupelekea kanisa lake kufutwa. Nina uhakika na imani kuwa serikali yetu tukufu ni sikivu na kwamba italifuta kanisa la KKKT haraka iwezekanavyo, hata kama mwenye kanisa (Askofu Malasusa) ni kada maarufu wa CCM.
Endapo kanisa hili litanusurika kufutwa, basi huyu askofu aliyetetea haki akiwa madhabahuni, huku akifahamu fika kuwa utetezi wa aina hiyo ni masuala ya kisiasa, basi tutarajie askofu huyu kupotezwa huku kanisa likipewa onyo na karipio kali. Stay tunded and informed.
Ufute KKKT? Wewe ni kima na nguruwe pori mkubwa sana! Hujitambui kabisa!Mkuu nani kakudanganya kuwa KKKT hawafutiki? Subiri kidogo uone.
Nyuki hapigwi busu.Hata kama watashindwa kufuta kanisa la kada wao wa CCM, basi wampoteze huyo askofu. Vinginevyo walirudishe kanisa la Gwajima. Ikiwa Gwajima ni kada na wamefuta kanisa lake wanashindwaje kufuta hili kanisa la Malasusa hata kama ni kada wa CCM? This is double standard.
Madaktari wa binadamu au madaktari kama sa100KKKT Maaskofu wote ni Madaktari 😁
Kwani KKKT limejisajili lenyewe?Kama ni mwana ke na ana ubavu athubutu hata kunyanyua kinywa chake ndio atajua kuwa kkkt ni taasisi yenye mifumo
Unayetaka afukuzwe shuleNani huyo mkuu?
Waambie wajaribu tuone.Mkuu nani kakudanganya kuwa KKKT hawafutiki? Subiri kidogo uone.
Wajaribu wakutane na kitu kizitoSerikali ya CCM haipoi na haijawahi kupoa. Ndivyo unavyoweza kusema. Baada ya serikali kulifuta kanisa la Gwajima kwa kuhoji kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini kila kukicha, kanisa la KKKT nalo limeanza kuleta chokochoko kwa kutetea usawa, haki na uwazi kwenye uchaguzi, kutungwa kwa katiba mpya na kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi. Hebu msikilize wewe mwenye askofu huyu wa KKKT jinsi anvyotetea jambo ambalo serikali hailitaki mkuu.
View attachment 3360803
MAONI YANGU
Kwa kuwa serikali inapinga vikali mtu au taasisi yoyote inayoikosoa, sioni ni namna gani kanisa la KKKT litanusurika kufutwa kwa kufanya kitu kilekile ambaco Gwajima alifanya na kupelekea kanisa lake kufutwa. Nina uhakika na imani kuwa serikali yetu tukufu ni sikivu na kwamba italifuta kanisa la KKKT haraka iwezekanavyo, hata kama mwenye kanisa (Askofu Malasusa) ni kada maarufu wa CCM.
Endapo kanisa hili litanusurika kufutwa, basi huyu askofu aliyetetea haki akiwa madhabahuni, huku akifahamu fika kuwa utetezi wa aina hiyo ni masuala ya kisiasa, basi tutarajie askofu huyu kupotezwa huku kanisa likipewa onyo na karipio kali. Stay tunded and informed.
Unapongumzia lutheran na catholic is taasis zilipofikia si tu ni kanisa ni taasis kubwaHata kama watashindwa kufuta kanisa la kada wao wa CCM, basi wampoteze huyo askofu. Vinginevyo walirudishe kanisa la Gwajima. Ikiwa Gwajima ni kada na wamefuta kanisa lake wanashindwaje kufuta hili kanisa la Malasusa hata kama ni kada wa CCM? This is double standard.
Hapa hatuongei kuhusu ukubwa wa taasisi bali tunaongea kuhusu sababu zilizopelekea kanisa la Gwajima kufutwa. Je, wewe unaona ni haki Gwajima kufutiwa kanisa kwa kukemea mauaji? Je, wewe ungependa kuuliwa au ndugu yako kutekwa na kutupwa mtoni aliwe na mamba akiwa hai?Unapongumzia lutheran na catholic is taasis zilipofikia si tu ni kanisa ni taasis kubwa
Haziongozwi na mtu mmoja kama akina gwajima. Hizo ni established system dunia nzima.
Ni rahis kumdhibit gwajima lakin si taasis kubwa kama hizo
Sion haya kukemea mauaji yanayoendelea, tena ni jambo jema na ni kazi ya kanisa kukemea maovu kwenye jamiiHapa hatuongei kuhusu ukubwa wa taasisi bali tunaongea kuhusu sababu zilizopelekea kanisa la Gwajima kufutwa. Je, wewe unaona ni haki Gwajima kufutiwa kanisa kwa kukemea mauaji? Je, wewe ungependa kuuliwa au ndugu yako kutekwa na kutupwa mtoni aliwe na mamba akiwa hai?
Ikitokea chance ya kulifuta lisifanyike kosa.... hilo kanisa la kina Kimaro limezidisha kupenda hela. Wana harambee kama zote.. Mama Samia zishamtoka sio chini ya 300m kuchangia kina Kimaro.MamaSamia2025 wewe unasemaje kuhusu hili la kufutwa kanisa la KKT?