Baada ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kufutwa, kituo kifuatacho ni KKKT? Ushahidi huu hapa

Wata deal na Uyo Mmoja Mmoja ata yule aliepiga za Uso jana Kwenye Msiba Wa Mongela mwanza Mbele ya Spika, KM CCM na Viongozi wengine wataanza Kumsaka underdog mana amejua Kuwashona za Uso
 
Gwajima Hana Kanisa ile ni Huduma tu
Sasa kilichofutwa ni nini mkuu? Je, lile kanisa lake lililozingirwa na mabaunsa wa CCM kule Kilimanjaro hukuliona? Gwajima ana makanisa kila Mkoa, Wilaya na Kata mkuu. Usibeze.
 
KKKT hii hii ya Malasusa?
Ndio mkuu. Hata kama Malasusa ni kada maarufu na mNEC wa CCM, safari hii sidhani kama atapona. Kumbuka hata Gwajima naye ni kada lakini ndio hivyo amekwenda na maji.
 
Sasa kilichofutwa ni nini mkuu? Je, lile kanisa lake lililozingirwa na mabaunsa wa CCM kule Kilimanjaro hukuliona? Gwajima ana makanisa kila mkoa, Wilaya na Kata mkuu. Usibeze.
Gwajima hakuwa na usajili Kwahiyo hajafutiwa kitu chochote ila amezuiwa 😁
 
huku mtaani wameanza kukusanya kadi za kupiga kura, sijui wanataka wakazifanyie nini
 
MamaSamia2025, Lucas Mwashambwa njooni huku mumteke huyu Pastor
 
huku mtaani wameanza kukusanya kadi za kupiga kura, sijui wanataka wakazifanyie nini
Wanataka wazitumie kupiga kura kwenye uchaguzi wa mapema washinde 100%
 
Hesabu zinaongea, KKKT ni zao la RC jumlisha hapo uone majibu yake .
October utaiona kama July
Hata kama KKKT ni twai la RC, kwani matawi ya RC yana kinga ya kuikosoa seriklali mkuu? Hawa nao wafutwe na huyo askofu apotezwe kama wakosoaji wengine wanavyopotezwa.
 
Usilinganishe KKKT na vikanisa vya kwenye briefcase! Kama ana ubavu ajaribu kulifuta aje aone moto wake. KKKT ni next to RC mkuu kama umesahau!
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† mkuu hayo makanisa hata ya gusa kumbuka hili limetoka german so wanajua moto wake kuwa hawa kkkt na rc hawaguswi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…