Baada ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kufutwa, kituo kifuatacho ni KKKT? Ushahidi huu hapa

Usilinganishe KKKT na vikanisa vya kwenye briefcase! Kama ana ubavu ajaribu kulifuta aje aone moto wake. KKKT ni next to RC mkuu kama umesahau!
Mkuu nani kakudanganya kuwa KKKT hawafutiki? Subiri kidogo uone.
 
Safi kabisa! Mungu ambariki sana askofu!
 
Nyuki hapigwi busu.
 
Wajaribu wakutane na kitu kizito
 
Unapongumzia lutheran na catholic is taasis zilipofikia si tu ni kanisa ni taasis kubwa

Haziongozwi na mtu mmoja kama akina gwajima. Hizo ni established system dunia nzima.
Ni rahis kumdhibit gwajima lakin si taasis kubwa kama hizo
 
Unapongumzia lutheran na catholic is taasis zilipofikia si tu ni kanisa ni taasis kubwa

Haziongozwi na mtu mmoja kama akina gwajima. Hizo ni established system dunia nzima.
Ni rahis kumdhibit gwajima lakin si taasis kubwa kama hizo
Hapa hatuongei kuhusu ukubwa wa taasisi bali tunaongea kuhusu sababu zilizopelekea kanisa la Gwajima kufutwa. Je, wewe unaona ni haki Gwajima kufutiwa kanisa kwa kukemea mauaji? Je, wewe ungependa kuuliwa au ndugu yako kutekwa na kutupwa mtoni aliwe na mamba akiwa hai?
 
Sion haya kukemea mauaji yanayoendelea, tena ni jambo jema na ni kazi ya kanisa kukemea maovu kwenye jamii

Kufungwa kwa kanisa ilikuwa kukurupuka, atleast wangeenda mahakaman kwanza for that.
 
Kila mtu na maslahi yake. Uzuri sisi wana CCM tumeshikilia mfumo hamna wa kutufanya kitu! Mtalia lia ila wapi mjue lazima tuwanyooshe tu
 
MamaSamia2025 wewe unasemaje kuhusu hili la kufutwa kanisa la KKT?
Ikitokea chance ya kulifuta lisifanyike kosa.... hilo kanisa la kina Kimaro limezidisha kupenda hela. Wana harambee kama zote.. Mama Samia zishamtoka sio chini ya 300m kuchangia kina Kimaro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…