Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House

Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa Ulaya baada ya mzozo wake wa ajabu na kiongozi wa Marekani Donald Trump, wakimwambia: "Kamwe hauko peke yako." "Iweni hodari, kuwa jasiri, msiwe na woga," wameandika tume ya Ulaya na marais wa baraza katika taarifa ya pamoja kwenye mitandao ya kijamii, wakimwambia Zelensky: "Tutaendelea kufanya kazi nanyi kwa ajili ya amani ya haki na ya kudumu."

you’ll never walk alone.”
February 28, 2025

EU chiefs tell Zelensky ‘you are never alone’ after he is berated by Trump at White House

EU chiefs Ursula von der Leyen and Antonio Costa assure Ukrainian leader Volodymyr Zelensky of Europe’s unwavering support after his extraordinary clash with US leader Donald Trump, telling him: “You are never alone.”

“Be strong, be brave, be fearless,” write the European commission and council presidents in a joint statement on social media, telling Zelensky: “We will continue working with you for a just and lasting peace.”
 
Usalama wa Ukraine ndio Usalama wa bara lote la Ulaya, hususani Ulaya Magharibi.

Ukraine ikishindwa Vita maana yake ni kwamba Ulaya yote kabisa itakuwa imetekwa na Urusi. Hili litakuwa jambo baya sana tena ni jambo la hatari kubwa sana kupita kiasi kwa maisha ya Watu wote kabisa wa bara la Ulaya.

Kwa hali kama hiyo, ni Bora Watu wa Ulaya waingie katika Vita ya Tatu ya dunia kuliko kuruhusu Urusi ishinde Vita hiyo.

Kwanza kabisa, lengo Kuu mojawapo la kuanzishwa kwa NATO ilikuwa ni kupambana na Udikteta wa Watawala wababe wa Urusi.

Urusi ikishinda Vita hii, bado ataendelea kuteka maeneo mengine zaidi na zaidi hadi Ulaya yote kabisa iwe chini ya Utawala wa Urusi, Putin hataishia kuiteka Ukraine peke yake.
 
Zelensky ameishashindwa vita na Nchi imeshamegwa hao EU ni maboya waliomlaghai Zelensky na magobole ya misaada aibu inawakumba🤣🤣 lazima wajitoe kimasomaso sasa hivi Hangary anawacheka tu hao EU kwa kuangukia pua
 
Hawana lolote wanampotosha
hao.
viinchi vingi vidogo vidogo vya ulaya masikini tuu
Wakati Russia anamchapa Zelensky hakuna hata mmoja aliyesema nywee na Putin aliwaonya aliwaambia yeyote atakayeingilia nayeye atachapwa pia!
Sasa kaka mkuu alikuwa anampa hela na vifaa, Trump kamwambia bila mabomu yetu na pesa yetu Ukraine ingekuwa under Russia in 2 weeks time
Comedian Zelensky alitakiwa awe mpole tuu, vinchi vya ulaya ni kama wale majirani umefiwa wanakupa moyo ila hawaleti hata unga wa kupika ugali
Na Trump kamwambia hizo pesa zote zilikuwa mkopo
 
Usalama wa Ukraine ndio Usalama wa bara lote la Ulaya, hususani Ulaya Magharibi.

Ukraine ikishindwa Vita maana yake ni kwamba Ulaya yote kabisa itakuwa imetekwa na Urusi
Russia haina capabilities wala nia ya kupigana na kuitawala Europe, hii ni propaganda kina Zelensky wanatumia kuendelea kujistify hiyo vita
 
Trump atakuja kufa vibaya sana hajui mifumo mingi ya Dunia kumbe kweli Kuna wazungu wajinga sana.
Kwamba wewe mswahili wa Tanzania unaijua mifumo vizur kuliko Rais wa Marekani aliyeshinda urais mara mbili?

Ukitafakari kwa kini utaamini kuwa "people are hated when they are real and loved when they are Fake!"
Watu Tumezoea uongo uongo na unafiki wa Akina Samia, January Makamba na CCM.
Trump is real! ni Kawaida kwake kuchukiwa na wasiotafakar kwa kina yaani Bandera fuata Upepo.

Yaani Taifa litafute Na kulinda mali zake kwa Jasho la walipa Kodi wake na Damu za wanajeshi wake halafu wapuuz fulani waje wapewe BURE!!!!

Brother TuJITEGEMEE.
 
Usalama wa Ukraine ndio Usalama wa bara lote la Ulaya, hususani Ulaya Magharibi.

Ukraine ikishindwa Vita maana yake ni kwamba Ulaya yote kabisa itakuwa imetekwa na Urusi. Hili litakuwa jambo baya sana tena ni jambo la hatari kubwa sana kupita kiasi kwa maisha ya Watu wote kabisa wa bara la Ulaya.
Kwa hali kama hiyo, ni Bora Watu wa Ulaya waingie katika Vita ya Tatu ya dunia kuliko kuruhusu Urusi ishinde Vita hiyo.
Kwanza kabisa, lengo Kuu mojawapo la kuanzishwa kwa NATO ilikuwa ni kupambana na Udikteta wa Watawala wababe wa Urusi.

Urusi ikishinda Vita hii, bado ataendelea kuteka maeneo mengine zaidi na zaidi hadi Ulaya yote kabisa iwe chini ya Utawala wa Urusi, Putin hataishia kuiteka Ukraine peke yake.
Sasa mkuu hawawezi kuruhusu Urusi ishinde wakati mkapa sasa ina beba maeneo karibia kila siku pamoja na misaada yao yote.
Sasa jiulize pamoja na misaada yao ikuwemo ile ya Marekani bado Urusi alikuwa anasonga mbele je Marekani akikata musaada?
Alafu usije kujidanganya ya kwamba nchi za Ulaya zinaipenda Ukraine bali zimekasirishwa na hatua ya Trump kuwageuka na kutaka kupora utajiri ya Ukraine peke yake na wao kuambulia kapa hilo ndo lina watoa mapovu, lakini Marekani angewashirikisha nao katika huo uporaji unaotakwa kufanywa na Marekani hizi kelele usinge kuwa unazisikia.
 
Usalama wa Ukraine ndio Usalama wa bara lote la Ulaya, hususani Ulaya Magharibi.

Ukraine ikishindwa Vita maana yake ni kwamba Ulaya yote kabisa itakuwa imetekwa na Urusi. Hili litakuwa jambo baya sana tena ni jambo la hatari kubwa sana kupita kiasi kwa maisha ya Watu wote kabisa wa bara la Ulaya.
Kwa hali kama hiyo, ni Bora Watu wa Ulaya waingie katika Vita ya Tatu ya dunia kuliko kuruhusu Urusi ishinde Vita hiyo.
Kwanza kabisa, lengo Kuu mojawapo la kuanzishwa kwa NATO ilikuwa ni kupambana na Udikteta wa Watawala wababe wa Urusi.

Urusi ikishinda Vita hii, bado ataendelea kuteka maeneo mengine zaidi na zaidi hadi Ulaya yote kabisa iwe chini ya Utawala wa Urusi, Putin hataishia kuiteka Ukraine peke yake.
Hizi propaganda na uongo hatari sana, mnajazaa watu hofu hili Urusi ionekane tatizo kw ulaya kiti amabcho sio cha kweli.

Mamarekani ndio aliyeleta hito vita.
 
Kwamba wewe mswahili wa Tanzania unaijua mifumo vizur kuliko Rais wa Marekani aliyeshinda urais mara mbili?

Ukitafakari kwa kini utaamini kuwa "people are hated when they are real and loved when they are Fake!"
Watu Tumezoea uongo uongo na unafiki wa Akina Samia, January Makamba na CCM.
Trump is real! ni Kawaida kwake kuchukiwa na wasiotafakar kwa kina yaani Bandera fuata Upepo.

Yaani Taifa litafute Na kulinda mali zake kwa Jasho la walipa Kodi wake na Damu za wanajeshi wake halafu wapuuz fulani waje wapewe BURE!!!!

Brother TuJITEGEMEE.
Mkuu wewe ndiyo hujui how the rules work, Eastern block na Western block hazijawahi kufa Wala kuanguka US ni mshirika wa ulaya na usitegemee ulaya itashindwa kuingia mzigoni kutetea raia wake. Hivi unajua kuitelekeza Ukraine ni sawa na kuwaweka mashakani raia milioni 700 wa ulaya? Unajua dhima ya kuundwa kwa NATO? Unajua Poland na nchi jirani ya Ukraine zinapambana kupigania masilahi yao dhidi ya Urusi!
 
Dunia hi buana we Mtazania wa Ikwiriri unajua dunia kuliko Raisi wa marekani anae ushi Washington DC, loh!!!!!!
Kama wewe upeo wako ni mdogo huwezi kweli kuelewa yanayotokea nje ya familia yenu.
 
Hizi propaganda na uongo hatari sana, mnajazaa watu hofu hili Urusi ionekane tatizo kw ulaya kiti amabcho sio cha kweli.

Mamarekani ndio aliyeleta hito vita.
Urusi ni hatari na huo ndiyo ukweli labda tu nimwambie ulaya hazijawahi kushindwa vita na nchi yoyote tangu kuumbwa kwa ulimwengu na ninaona ni wakati wao kujitetea Sasa.
 
Hivi unajua kuitelekeza Ukraine ni sawa na kuwaweka mashakani raia milioni 700 wa ulaya? Unajua dhima ya kuundwa kwa NATO? Unajua Poland na nchi jirani ya Ukraine zinapambana kupigania masilahi yao dhidi ya Urusi!
Kuitetea Ukraine ni kiherehere tu, nchi haipo hata NATO mnahangaika nayo ya nini? Na njia pekee ambayo Putin ata justify all out war na Europe ni ikiwa Ukraine itaingizwa NATO
 
miluzi mingi humpoteza mbwa. tatizo la zelensky anaokoteza sana Ushauri. hadi inafikia muda anamuona trump boya tu. ni kweli zelensky amepigana vita miaka mitatu kwa msaada. lakni asipo kaa sawa anaweza kuipoteza nchi kwa siku moja tu.
 
Urusi ni hatari na huo ndiyo ukweli labda tu nimwambie ulaya hazijawahi kushindwa vita na nchi yoyote tangu kuumbwa kwa ulimwengu na ninaona ni wakati wao kujitetea Sasa.
Nikuambie hizi ni nyakati tofuati, Ulaya na marekani ndio wanataka kumuondoa Urusi kumtoan Putin kwa kuitumia Ukraine.

Urusi sio hatari marekani ndio hatari, anataka dominance ya uchumi, military, politically Ulaya na mrusi ndio kikwazo.
 
Kwamba wewe mswahili wa Tanzania unaijua mifumo vizur kuliko Rais wa Marekani aliyeshinda urais mara mbili?

Ukitafakari kwa kini utaamini kuwa "people are hated when they are real and loved when they are Fake!"
Watu Tumezoea uongo uongo na unafiki wa Akina Samia, January Makamba na CCM.
Trump is real! ni Kawaida kwake kuchukiwa na wasiotafakar kwa kina yaani Bandera fuata Upepo.

Yaani Taifa litafute Na kulinda mali zake kwa Jasho la walipa Kodi wake na Damu za wanajeshi wake halafu wapuuz fulani waje wapewe BURE!!!!

Brother TuJITEGEMEE.
Msamehe tu huyo ni ARV zimepungua kwenye damu 😁
 
Back
Top Bottom