zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
mkuu kwamba wewe uijue mifumo ila trump asiifahamu acha porojo basTrump atakuja kufa vibaya sana hajui mifumo mingi ya Dunia kumbe kweli Kuna wazungu wajinga sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kwamba wewe uijue mifumo ila trump asiifahamu acha porojo basTrump atakuja kufa vibaya sana hajui mifumo mingi ya Dunia kumbe kweli Kuna wazungu wajinga sana.
Trump ni mwehu tu huyo Wala usishangae haya mkuumkuu kwamba wewe uijue mifumo ila trump asiifahamu acha porojo bas
mkuu kwamba wamerekani walio mchagua hawana ufahamu wa hayaTrump ni mwehu tu huyo Wala usishangae haya mkuu
Mkuu hata kama ni kweli ARV zitapungua wewe unaona hii ni sawa kumtreat Rais wa nchi nyingine tena akiwa mgeni wako namna ile? Be humble dudeMsamehe tu huyo ni ARV zimepungua kwenye damu 😁
Mkuu unajua makubaliano waliyoingia Marekani, Urusi pamoja na Ufaranza katika mkataba wa Budapest?Kuitetea Ukraine ni kiherehere tu, nchi haipo hata NATO mnahangaika nayo ya nini? Na njia pekee ambayo Putin ata justify all out war na Europe ni ikiwa Ukraine itaingizwa NATO
Mpaka Sasa wamarekani wameshaanza kuogopa kuhusu hatima ya taifa lao kimataifa. Soma reactions zao mtandaoni baada ya uhuni wa viongozi wao wawili Trump na JD Vancemkuu kwamba wamerekani walio mchagua hawana ufahamu wa haya
Zelensky kwa namna Ukraine ilivyokuwa nzuri, viwanda vizuri, wananchi wasomi na wanaojituma alafu akaingiza nchi vitani dhidi ya Urusi ambayo mataifa zaidi ya 30 yenye viwanda vizito vya kijeshi yameungana kuikabili miongo mingi na bado inabaki imara huoni Zelensky anapaswa kunyongwa sio tu kudharauliwa?Mkuu hata kama ni kweli ARV zitapungua wewe unaona hii ni sawa kumtreat Rais wa nchi nyingine tena akiwa mgeni wako namna ile? Be humble dude
Hongera wewe unayeijua mifumo mingi kuliko Trump aliyeaminiwa na Wamarekani wenyewe....Sidhani kama umewahi kufika hata Somalia tu sijui uliijulia Google hiyo mifumoTrump atakuja kufa vibaya sana hajui mifumo mingi ya Dunia kumbe kweli Kuna wazungu wajinga sana.
So unataka akubali atoe madini yote kwa merekani?Hawana lolote wanampotosha
hao.
viinchi vingi vidogo vidogo vya ulaya masikini tuu
Wakati Russia anamchapa Zelensky hakuna hata mmoja aliyesema nywee na Putin aliwaonya aliwaambia yeyote atakayeingilia nayeye atachapwa pia!
Sasa kaka mkuu alikuwa anampa hela na vifaa, Trump kamwambia bila mabomu yetu na pesa yetu Ukraine ingekuwa under Russia in 2 weeks time
Comedian Zelensky alitakiwa awe mpole tuu, vinchi vya ulaya ni kama wale majirani umefiwa wanakupa moyo ila hawaleti hata unga wa kupika ugali
Na Trump kamwambia hizo pesa zote zilikuwa mkopo
Hivi Ukraine aliichokoza vipi Urusi?Zelensky kwa namna Ukraine ilivyokuwa nzuri, viwanda vizuri, wananchi wasomi na wanaojituma alafu akaingiza nchi vitani dhidi ya Urusi ambayo mataifa zaidi ya 30 yenye viwanda vizito vya kijeshi yameungana kuikabili miongo mingi na bado inabaki imara huoni Zelensky anapaswa kunyongwa sio tu kudharauliwa?
Alichofanya zelensky ni kuitoa sadaka nchi na wananchi wake sababu.
Inajulikana hata waliomshauri aichokoze Urusi wenyewe wanaiogopa ndio maana waliitumia Ukraine wakijua asili ya waUkraine ni Urusi, hivyo Urusi ingetetereka kwa kupambana na ndugu yake..
Jitahidini msome kwa kuelewa sio kwa kushabikia.
You can't be serious dude... yaani wewe hapo Sengerema ndani ndani ujue mifumo ya dunia halafu Rais wa Marekani awe haijui... Daaah😃😃...Trump atakuja kufa vibaya sana hajui mifumo mingi ya Dunia kumbe kweli Kuna wazungu wajinga sana.
Tafuta habari kuhusu mikataba ya NATO na Urusi, Ukraine na Urusi na kilichokuwa kinafanya na serikali ya Zelensky kwenye mipaka ya Urusi.Hivi Ukraine aliichokoza vipi Urusi?
Hiya haipo,Trump atalazimika kuisaidia Ukraine ikiwa Ulaya watakuwa upende wa Ukraine.Trump anaweza kuungana na URUSI kwa mlango wa nyuma kuwakomoa ulaya
ni mawazo yangu lakini
NopeMkuu unajua makubaliano waliyoingia Marekani, Urusi pamoja na Ufaranza katika mkataba wa Budapest?
Nimetafuta, sasa wewe ongezea hapaTafuta habari kuhusu mikataba ya NATO na Urusi, Ukraine na Urusi na kilichokuwa kinafanya na serikali ya Zelensky kwenye mipaka ya Urusi.
Tafuta historia ya vita baridi mpaka kipindi Ukraine ilipomeguka toka USSR, masharti yaliyowekwa na Urusi dhidi ya Marekani/mikataba kati yao.Nimetafuta, sasa wewe ongezea hapa
The question of whether Ukraine "provoked" Russia is deeply contentious and often framed by geopolitical narratives. Russia has justified its aggression—including the 2014 annexation of Crimea, support for separatists in eastern Ukraine, and the 2022 full-scale invasion—by claiming Ukraine "provoked" it. Below, I outline Russia’s stated grievances and the broader context, while emphasizing that these claims are widely rejected by Ukraine, independent experts, and the international community as unjustified pretexts for violating Ukrainian sovereignty.
---
### Russia’s Alleged Grievances (Claims of "Provocation")
1. NATO Expansion:
- Russia claims Ukraine’s pursuit of NATO membership (formalized in Ukraine’s 2019 constitution) threatens its security. Russia frames NATO’s eastward expansion since the 1990s as encroachment on its sphere of influence.
- Rebuttal: Ukraine, as a sovereign state, has the right to choose alliances. NATO membership requires unanimous consent from existing members, and no formal invitation was ever extended to Ukraine. Russia’s demand for a "neutral" Ukraine is seen as an attempt to control its foreign policy.
2. Euromaidan Revolution (2014):
- Russia labeled Ukraine’s pro-EU protests (2013–2014) and the ousting of pro-Russian President Yanukovych as a "Western-backed coup," alleging it undermined Russian interests.
- Rebuttal: The revolution was a grassroots movement against corruption and Yanukovych’s violent crackdown on protesters. Yanukovych fled to Russia after abandoning his duties, and subsequent elections were internationally recognized.
3. Treatment of Russian Speakers:
- Russia claims Ukraine discriminates against Russian-speaking populations (e.g., language laws, alleged suppression of Russian culture).
- Rebuttal: Ukraine has a large Russian-speaking population, and accusations of systemic oppression are exaggerated. Post-2014 laws promoting Ukrainian language (e.g., in education/media) aim to strengthen national identity after years of Russian hybrid warfare.
4. Crimea and Sevastopol:
- Russia claims Crimea’s annexation was a response to the "threat" of NATO basing in Sevastopol (home to Russia’s Black Sea Fleet) and to protect Russian speakers.
- Rebuttal: Crimea’s annexation violated international law. No evidence of NATO plans to seize the region existed, and the "referendum" was conducted under Russian occupation.
5. Donbas Conflict:
- Russia frames its support for separatists in Donetsk and Luhansk as protecting ethnic Russians from a "genocidal" Ukrainian government.
- Rebuttal: The UN and OSCE found no evidence of genocide. The conflict began when Russia-backed militants seized territory after Crimea’s annexation.
---
### Ukraine’s Perspective
Ukraine views itself as a victim of unprovoked Russian aggression. Key points:
- Sovereignty: Ukraine asserts its right to self-determination, including EU/NATO aspirations.
- Hybrid Warfare: Since 2014, Russia has destabilized Ukraine via cyberattacks, disinformation, and military intervention.
- Territorial Integrity: Ukraine rejects Russia’s claims to Crimea and Donbas, citing international law (UN Charter, Budapest Memorandum).
---
### International Consensus
- UN Resolutions: Multiple resolutions (e.g., UNGA Resolution 68/262) condemn Russia’s actions in Crimea and eastern Ukraine.
- Sanctions: The EU, U.S., and others imposed sanctions on Russia for violating Ukrainian sovereignty.
- ICJ Ruling (2017): The International Court of Justice rejected Russia’s claims of discrimination against Russian speakers in Ukraine.
---
### Conclusion
The narrative of Ukrainian "provocation" is a cornerstone of Russian propaganda to justify its imperialist ambitions. Ukraine’s choices—whether pursuing democracy, closer EU ties, or self-defense—are exercises of sovereignty, not acts of aggression. The international community overwhelmingly rejects Russia’s claims, viewing its actions as violations of international law and post-WWII norms. The root of the conflict lies in Russia’s refusal to accept Ukraine’s independence and its desire to dominate the region.
Mzee umenichekesha Sanaa 🤣 kwamba jamaa ana exposure kubwa kuliko Trump? Na ana accurate information about system kuliko Trump aiseee 😂mkuu kwamba wewe uijue mifumo ila trump asiifahamu acha porojo bas
Zelensky ndiye aliyefanya hayo since alipoingia madarakani? Naona unazidi kurudi nyuma katika historia mambo ya vita baridi huko, USSR.Tafuta historia ya vita baridi mpaka kipindi Ukraine ilipomeguka toka USSR, masharti yaliyowekwa na Urusi dhidi ya Marekani/mikataba kati yao.
karogwa huyoMzee umenichekesha Sanaa 🤣 kwamba jamaa ana exposure kubwa kuliko Trump? Na ana accurate information about system kuliko Trump aiseee 😂
Kukomaa kwa Zelensky sio kukomaa kwa wananchi wa Ukraine,muhimu kuangalia hapo ni je,wananchi wake nao wanamuunga mkono,vita sio movie,ni kujitia kwenye umasikini wakutupwa kisa kupenda ligi...Usalama wa Ukraine ndio Usalama wa bara lote la Ulaya, hususani Ulaya Magharibi.
Ukraine ikishindwa Vita maana yake ni kwamba Ulaya yote kabisa itakuwa imetekwa na Urusi. Hili litakuwa jambo baya sana tena ni jambo la hatari kubwa sana kupita kiasi kwa maisha ya Watu wote kabisa wa bara la Ulaya.
Kwa hali kama hiyo, ni Bora Watu wa Ulaya waingie katika Vita ya Tatu ya dunia kuliko kuruhusu Urusi ishinde Vita hiyo.
Kwanza kabisa, lengo Kuu mojawapo la kuanzishwa kwa NATO ilikuwa ni kupambana na Udikteta wa Watawala wababe wa Urusi.
Urusi ikishinda Vita hii, bado ataendelea kuteka maeneo mengine zaidi na zaidi hadi Ulaya yote kabisa iwe chini ya Utawala wa Urusi, Putin hataishia kuiteka Ukraine peke yake.