Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

Kukomaa kwa Zelensky sio kukomaa kwa wananchi wa Ukraine,muhimu kuangalia hapo ni je,wananchi wake nao wanamuunga mkono,vita sio movie,ni kujitia kwenye umasikini wakutupwa kisa kupenda ligi...

Wananchi wa Ukraine wanapigana Vita ili kumzuia Putin wa Urusi asiteke Ardhi ya nchi yao, halafu Trump naye anapigana Vita na Rais wa Ukraine Bw. Zelensky ili naye aweze kuiteka nchi hiyo hiyo ya Ukraine kwa kupitia Mkataba wa Madini. Je, unafikiri Watu wa Ukraine watakuwa tayari kumkubalia Rais Trump aiteke Nchi hiyo wakati huo huo wanampiga Vita Putin kwa sababu hiyo kutaka kuiteka nchi??

Putin anapaswa azuiwe asiiteke Nchi hiyo ya Ukraine na Trump naye pia anapaswa azuiwe ili asiweze kuiteka nchi hiyo ya Ukraine. Putin na Trump wote kabisa wanapswa wazuiwe ili wasiiteke Ukraine.
Zelensky amefanya UAMUZI BORA KABISA kwa maslahi mapana zaidi ya umma wa Wananchi wa nchi yake ya Ukraine.
Zelensky amekataa kuwasaliti Wananchi wa nchi yake. Hongera kwake kwa Uzalendo Mkubwa Sana alioonyesha mbele ya Wababe wa dunia!
 
Mkuu watanzania wengi ni wajinga wasiopenda kuelewa maana ya haki. Hawahawa wanamlaumu kagame kuivamia Congo ila walamshabikia Urusi
Trump anataka ukraine itoe ardhi yake kwa urussi alafu itoe madini kwa marekani ili iendelee kupata ulinzi ni mjinga au mwaafrika atakayekubali huu ujinga lakin sio mtu mweupe
 
Ulaya ni wajinga sana ... Wakati wa Nopeleon Bonaparte walishangazwa hivihivi ..akawagomgesha weeee..... Urusi ikawatetea.... Wakati wa Hitler naye alianza kiutani utani akapigaaaa weeee Soviet na allied forces wakamzuia Tena mostly ni Red Army... Hivyo wanajua mrusi ni kichwa kibovu ... Wao waache wacheke na kima .....
 
Russia haina capabilities wala nia ya kupigana na kuitawala Europe, hii ni propaganda kina Zelensky wanatumia kuendelea kujistify hiyo vita
Je, unajua ni kwa sababu gani hasa Nchi ya Shirikisho la Urusi ya zamani (USSR) ilisambaratishwa na kuzaliwa kwa nchi zingine nyingi sana zaidi ya 16? Unazijua sababu zake?

Je, Hivi unajua ni kwa nini hasa nchi ya Yugoslavia nayo ilisambaratishwa na Sasa haipo tena katika ramani ya uso wa dunia hii?? Unazijua sababu?
 
Je, unajua ni kwa sababu gani hasa Shirikisho la Urusi ya zamani (USSR) ilisambaratiahwa na kuzaliwa kwa nchi zingine nyingi sana zaidi ya 16? Unazijua sababu zake?

Je, Hivi unajua ni kwa nini hasa nchi ya Yugoslavia nayo ilisambaratishwa na Sasa haipo tena katika ramani ya uso wa dunia hii?? Unazijua sababu?
Hapana
 
Usalama wa Ukraine ndio Usalama wa bara lote la Ulaya, hususani Ulaya Magharibi.

Ukraine ikishindwa Vita maana yake ni kwamba Ulaya yote kabisa itakuwa imetekwa na Urusi. Hili litakuwa jambo baya sana tena ni jambo la hatari kubwa sana kupita kiasi kwa maisha ya Watu wote kabisa wa bara la Ulaya.

Kwa hali kama hiyo, ni Bora Watu wa Ulaya waingie katika Vita ya Tatu ya dunia kuliko kuruhusu Urusi ishinde Vita hiyo.

Kwanza kabisa, lengo Kuu mojawapo la kuanzishwa kwa NATO ilikuwa ni kupambana na Udikteta wa Watawala wababe wa Urusi.

Urusi ikishinda Vita hii, bado ataendelea kuteka maeneo mengine zaidi na zaidi hadi Ulaya yote kabisa iwe chini ya Utawala wa Urusi, Putin hataishia kuiteka Ukraine peke yake.
Tuambie pia usalama wa Urusi basi!
Mbona hii issue kama inajirudia? Maana Adolf Hitler naye alianza kama ulaya inavyoanza kuishambulia USSR kupitia Poland hii ilikuwa June 22, 1941 (Operesheni Barbarossa).

Malengo ya Adolf Hitler kuanzisha vita dhidi ya USSR.

1. Chuki dhidi ya Ukomonisti.
2. Kuiangamiza Urusi kama Taifa lenye nguvu

Manazi wengi walipokimbia Ujerumani waliingia nchi za Magharibi na USSR, Walioingia USSR walitengwa sana ila waliongia nchi za magharibi walipewa kipaumbele na mmoja tulimuona kwenye bunge la Canada mwakajana akipewa heshima.
Screenshot_2025-03-01-12-10-01-82_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Unaweza kutumbia kwanini nchi za Magharibi zimekuwa zikimfuata sana Urusi ila Urusi anapojaribu kureact kujilinda anaonekana mkorofi?
 
Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House

Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa Ulaya baada ya mzozo wake wa ajabu na kiongozi wa Marekani Donald Trump, wakimwambia: "Kamwe hauko peke yako." "Iweni hodari, kuwa jasiri, msiwe na woga," wameandika tume ya Ulaya na marais wa baraza katika taarifa ya pamoja kwenye mitandao ya kijamii, wakimwambia Zelensky: "Tutaendelea kufanya kazi nanyi kwa ajili ya amani ya haki na ya kudumu."

you’ll never walk alone.”
February 28, 2025

EU chiefs tell Zelensky ‘you are never alone’ after he is berated by Trump at White House

EU chiefs Ursula von der Leyen and Antonio Costa assure Ukrainian leader Volodymyr Zelensky of Europe’s unwavering support after his extraordinary clash with US leader Donald Trump, telling him: “You are never alone.”

“Be strong, be brave, be fearless,” write the European commission and council presidents in a joint statement on social media, telling Zelensky: “We will continue working with you for a just and lasting peace.”
Zelensky THE CLOWN
 
Kama wanampenda kweli wangeingia vitani na Urusi ana kwa ana bila kificho.Hapo wangekuwa wameonesha kuguswa na mateso ya Ukraine.

Sio mwenzio anagombana unamsogezea mawe huku ukimwambia usikubali kumaliza ugomvi nipo pamoja na wewe.Huo ni ujinga.
 
Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House

Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa Ulaya baada ya mzozo wake wa ajabu na kiongozi wa Marekani Donald Trump, wakimwambia: "Kamwe hauko peke yako." "Iweni hodari, kuwa jasiri, msiwe na woga," wameandika tume ya Ulaya na marais wa baraza katika taarifa ya pamoja kwenye mitandao ya kijamii, wakimwambia Zelensky: "Tutaendelea kufanya kazi nanyi kwa ajili ya amani ya haki na ya kudumu."

you’ll never walk alone.”
February 28, 2025

EU chiefs tell Zelensky ‘you are never alone’ after he is berated by Trump at White House

EU chiefs Ursula von der Leyen and Antonio Costa assure Ukrainian leader Volodymyr Zelensky of Europe’s unwavering support after his extraordinary clash with US leader Donald Trump, telling him: “You are never alone.”

“Be strong, be brave, be fearless,” write the European commission and council presidents in a joint statement on social media, telling Zelensky: “We will continue working with you for a just and lasting peace.”
Kansela mpya wa Ujerumani moja ya taifa lenye nguvu EU naye hataki vita ya Ukraine na Russia, labda UK na France. France mwenyewe hali yake ya kiuchumi ipo hovyo na Makoloni yake aliyo zoea kuyaibia wamemkataa.
 
Tuambie pia usalama wa Urusi basi!
Mbona hii issue kama inajirudia? Maana Adolf Hitler naye alianza kama ulaya inavyoanza kuishambulia USSR kupitia Poland hii ilikuwa June 22, 1941 (Operesheni Barbarossa).

Malengo ya Adolf Hitler kuanzisha vita dhidi ya USSR.

1. Chuki dhidi ya Ukomonisti.
2. Kuiangamiza Urusi kama Taifa lenye nguvu

Manazi wengi walipokimbia Ujerumani waliingia nchi za Magharibi na USSR, Walioingia USSR walitengwa sana ila waliongia nchi za magharibi walipewa kipaumbele na mmoja tulimuona kwenye bunge la Canada mwakajana akipewa heshima.
View attachment 3254515
Unaweza kutumbia kwanini nchi za Magharibi zimekuwa zikimfuata sana Urusi ila Urusi anapojaribu kureact kujilinda anaonekana mkorofi?
Unatakiwa kufahamu kwamba Watawala wengi sana wa Urusi ni kama vile Mashetani, wana Itikadi kali Sana za Ufashiati, kuua Watu kwao hawaoni kuwa ni tatizo. Kama umeshawahi kufika nchini Urusi au hata kuwahi kuishi na jamii za Watu kutoka Urusi nafikiri utakuwa unanielewa vizuri Sana.
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wengi Sana wa nchi hiyo ya Urusi wengi wao hawaridhiki kabisa na hali ya mambo jinsi yalivyo nchini mwao kutokana na kuwepo kwa Mazingira ya Utawala wa Kidikteta uliojikita mizizi katika nyanja zote kabisa za maisha ya Watu katika nchi hiyo. Hakuna kabisa Mazingira huru na ya Kidemokrasia, Wananchi wengi Sana wa Nchi hiyo wenye Vipato vya kutosha wamekuwa wakihama na kwenda kuishi katika nchi zingine, hususani kwenda katika nchi za Ulaya Magharibi.
Rejea kisa Cha Rais wa nchi hiyo ya Urusi ya zamani (USSR) Mikhail Gorbachev kufanya Uamuzi mgumu Sana wa kuisambaratisha nchi hiyo ya USSR ili kuwapunguzia Watu/Wananchi wengi zaidi kutoka kwenye janga kubwa sana la mateso kutoka kwa Utawala dhalimu chini ya KGB.
 
Oohh unataka kuniambia ao marais wa Urusi ni wauaji kuzidi Adolf Hitler?

2. Ao wananchi wa Urusi kama hawalidhiki na kinachoendelea ndani ya Taifa kwaiyo Ulaya na Marekani ndiyo wana mmlaka ya kupanga njama za kuisambalatisha Urusi?

3. Wewe Serikali ya nchi unalidhika na inachofanya kwa raia wake? Uko tayari kukaribusha mgeni aje kuindoa serikali na nchi yako?
 
Trump atakuja kufa vibaya sana hajui mifumo mingi ya Dunia kumbe kweli Kuna wazungu wajinga sana.
Hata wakati Marekani na ulaya wanaivamia Iraki mlitoa kauli kama hizi mpaka leo Bush Jr na wenzie wanadunda tu. Kauli hizi huwa hazina maana yoyote zaidi ni kuchukua hatua
 
Unapoongelea Ulaya, wapo Germany, France na EU, wangine wapiga tarumbeta.
Ishu hata hao wanaomwambia wako pamoja pia walienda kuomba msaada wa Ulinzi U.S kama watapeleka walinda amani huko Ukraine, baadhi yao (France na U.K) walifokewa japo sio kama yeye. Baada ya kurudi majumbani kwao hawajaonvelea suala la kuleleka peace keeping force.

Za kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom