Baada ya Katalonya, sasa ni Kisumu, Migori, Homabay na Siaya

nkobhe255

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
234
Reaction score
292
Kama tulivyo sikia siku ya Alhamis, raia wa jimbo la Catalonya wapiga kula ya kujitenga na Uhispania, sababu ziko nyingi.

Vuguvugu hili lilianzishwa na viongozi wa jimbo hilo akiwemo rais wa jimbo hilo Charles Puigdemont.

Viongozi wa juu wa Uhispania ametupilia mbali matokeo ya kura hiyo ya maoni na kutishia kuufutilia mbali uongozi mzima wa jimbo hilo pamoja na jimbo hilo kuongozwa directly from Madrid.

Waziri mkuu wa Uhispania, Mariano Rajoy amelitaka bunge la Senate la Uhispania kuidhinisha hatua hiyo na kuitisha uchaguzi wa jimbo hilo hapo Desemba 21 mwaka huu.

Kwa EA, nchi yenye utawala wa majimbo ni Kenya, baada ya sintofahamu ya uchaguzi wa marudio wa Kenya, baadhi ya Wabunge wa upinzani walitishia kuitisha mswada wa majimbo yao kujitenga na Kenya huku wakidai katiba yao inawaruhusu.

Kinachoshangaza zaidi, Kenya ina majimbo 47 lakini majimbo 4 yaliyotishia kujitenga hadi leo hayajafanya uchaguzi kutokana na vurugu za hapa na pale.

Je, kwa jinsi tulivyoona nguvu ya upinzani wa Kenya basi kama hili litakuwa agenda yao basi huenda majimbo ya magharibi mwa Kenya, Migori, Kisumu, HOMABAY na Isiaya ikiwemo na mkoa wa pwani wa mombasa zikafuata mkondo wa Jimbo la Katalonya ya Uhispania.
 
Uhuru Kenyatta atawakumbusha kitu baba yake Mzee Jomo Kenyatta aliwafanyia Waluo 25th October 1969.
 
Mwenye speech yoyote ya Jomo Kenyatta tafadhali
 
utamu wa kutawala Kenya kwa Raila sio kuelekea njia ya Catalonya...ni kutawala nchi nzima bila kuimega hata kipande maana ikishamegwa "utamu" unaisha...
 
Catalunya imeshadhibitiwa na serikali kuu kama ambavyo kisumu itadhibitiwa. Raila sio prezida material anaongea kama katoka usingizini !
 
Kama tulivyo sikia siku ya Alhamis, raia wa jimbo la Catalonya wapiga kula ya kujitenga na Uhispania, sababu ziko nyingi.
Vuguvugu hili lilianzishwa na viongozi wa jimbo hilo akiwemo rais wa jimbo hilo Charles Puigdemont.
Viongozi wa juu wa Uhispania ametupilia mbali matokeo ya kura hiyo ya maoni na kutishia kuufutilia mbali uongozi mzima wa jimbo hilo pamoja na jimbo hilo kuongozwa directly from Madrid. Waziri mkuu wa Uhispania, Mariano Rajoy amelitaka bunge la Senate la Uhispania kuidhinisha hatua hiyo na kuitisha uchaguzi wa jimbo hilo hapo Desemba 21 mwaka huu.

Kwa EA, nchi yenye utawala wa majimbo ni Kenya, baada ya sintofahamu ya uchaguzi wa marudio wa Kenya, baadhi ya Wabunge wa upinzani walitishia kuitisha mswada wa majimbo yao kujitenga na Kenya huku wakidai katiba yao inawaruhusu.
Kinachoshangaza zaidi, Kenya ina majimbo 47 lakini majimbo 4 yaliyotishia kujitenga hadi leo hayajafanya uchaguzi kutokana na vurugu za hapa na pale.
Je, kwa jinsi tulivyoona nguvu ya upinzani wa Kenya basi kama hili litakuwa agenda yao basi huenda majimbo ya magharibi mwa Kenya, Migori, Kisumu, HOMABAY na Isiaya ikiwemo na mkoa wa pwani wa mombasa zikafuata mkondo wa Jimbo la Katalonya ya Uhispania.

Usiseme majimbo ya Magharibi, sema majimbo wa kabila la Luo!! Nyanza. Kaweka ngome kama ya Joseph Kony wa Kabila la Luo kule Uganda ila wanajiita Acholi, inafanana ya ngome ya Wajaluo wa South Sudan chini ya General Riek Machar ila wanajiita Nuer!!!!ambaye amempa shida sana Rais wa Sudan Kusini General Salva Kirr na sasa kakimbilia (Machar) South Africa. Yaonekana Luos hawana huruma na raia wao wa kawaida katika Afrika Mashariki ila kwa Tanzania ni raha tu - hakuna ukabila wala majimbo yaliyotengwa kikabila kama majirani wao Kenya.
 
Wafanye hivyo haraka sana,maana hawana mchango katika uchumi wa Kenya.
 
Usiseme majimbo ya Magharibi, sema majimbo wa kabila la Luo!! Nyanza. Kaweka ngome kama ya Joseph Kony wa Kabila la Luo kule Uganda ila wanajiita Acholi, inafanana ya ngome ya Wajaluo wa South Sudan chini ya General Riek Machar ila wanajiita Nuer!!!!ambaye amempa shida sana Rais wa Sudan Kusini General Salva Kirr na sasa kakimbilia (Machar) South Africa. Yaonekana Luos hawana huruma na raia wao wa kawaida katika Afrika Mashariki ila kwa Tanzania ni raha tu - hakuna ukabila wala majimbo yaliyotengwa kikabila kama majirani wao Kenya.
Usidanganye umma, Zanzibar vugu vugu la maamlaka kamili lipo. Usione Wanzazibari kimya.
 
Je, kwa jinsi tulivyoona nguvu ya upinzani wa Kenya basi kama hili litakuwa agenda yao basi huenda majimbo ya magharibi mwa Kenya, Migori, Kisumu, HOMABAY na Isiaya ikiwemo na mkoa wa pwani wa mombasa zikafuata mkondo wa Jimbo la Katalonya ya Uhispania.
Wakifanya hivyo watatawaliwa moja kwa moja na serikali kuu ya Nairobi kama ilivyotokea kwa Katalonia kutawaliwa moja kwa moja toka Madrid.
 
Mkuu acha kupotosha, Luo's wapo zaidi ya 9 milion kenya nzima, halafu eti hawachangii lolote uchumi wa kenya? Rudi shule mkuu

We ndio huelewi na hata hujui unachokizungumzia,nani alikwambia eti luo ni zaidi ya 9 million??, kwa taarifa yako,Kikuyu ndio wengi na wapo 6 Million wakifwatwa na luhya ambao wapo 5.8 million ,then kalenjini ,kambas and luo in that order where do you get 9 million?? ,secondly tell me the contributions of kisumu,homabay ,siaya and migori counties in terms of GDP?
In addition tell me a luo company that pays tax equal to family bank?. jitafakari kabla upanue kinywa chako kipana kuropoka usioyajua.
 
Kwahiyo hizo county nne za wajaluo zikijitenga uchumi wa kenya hautaathirika kwa lolote?
 
Back
Top Bottom