Baada ya kauli ya Dk Slaa: Serikali ianzishe uchunguzi dhidi ya Chadema kabla hawajamalizana wao kwa wao

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
 
Mashitaka ya mbowe yalikuwa sahihi , walimtoa kiungwana Ila sio kwamba alikuwa ana haki ya kutoka
 
...
Hili zee litakua linavuta bange.
Lishazoea ujinga ule wa lile jini likilokua linamkumbatia bado linataka kuuendeleza.
Hovyoo....!!
... linavizia teuzi kwa kuichafua Chadema! Lilishapotea kwenye media the only option ilikuwa kuitaja Chadema ili lisikike tena na kweli limesikika! Ha ha ha!
 
Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
Usiwebm una kurupuka meku.
Leo umesikia kauli yake kwamba mllimsikia vibaya??
 
Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
Wooi, huo wimbo ni zilipendwa! Mbona Mbowe, serikali ‘ilikua na ushaidi’ wa kutosha (kwa kauli ya Ziro), kuwa ni gaidi, lakini kipindi cha pili wakaweka mpira kwapani?! Wewe na dr. Miogo ni bure kabisa!
 
Aisee! Unataka kumuua huyu mzee nini? Akisoma hiyo komenti yako!
Namuona wiki nzima hii analopoka kila siku.wenzie wanahangaikia watanzania kukaa pamoja na kurudisha matumaini ya kisiasa,yeye kila kukicha anaongea upuuzi.
Anachotaka yeye ni nini hasa!
Kama sio bange nini mkuu!!
 
Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
Nadhani una maana ya "serikali" kupitia jeshi la Polisi, au siyo..?

Unadhani watawezaje?

Maana kumbe ile kesi ya M/Kiti wa CHADEMA (w) anayesemwa na Dr Slaa kuwa alitekwa na "Red 🍒🍒 Brigade" mmoja wa "anayesemekana" ni mlinzi wa CHADEMA iliripotiwa huko huko POLISI unaotaka wachunguze...

Unfortunately, wakashindwa kuitumia fursa hiyo wakati huo kui - incriminate CHADEMA..!!

Lakini kwa zaidi ya miaka 15 polisi hawakuwahi kuchunguza wala kusema lolote. Leo wataanzia wapi kwa mfano..???

Dr Slaa amejichanganya na kuufelisha big time mkakati wa waliomtuma..!

Sasa na wewe chinembe sijui ni kwanini unakosa akili na ufahamu kidogo tu wa kuchakata mambo kuyaelewa kabla ya kuandika..!!???
 
...

... linavizia teuzi kwa kuichafua Chadema! Lilishapotea kwenye media the only option ilikuwa kuitaja Chadema ili lisikike tena na kweli limesikika! Ha ha ha!
Kiki anazoendanazo haziendani na wanavyotaka akina kinana.hivyo asifikili atapata teuzi kwa kuchonganisha watu.hizi sio zama za yule misifa.
Misifa keshajiendea huko aliko.hivyo anatakiwa aendane na upepo wa sasa na sio kushawishi tahaluki na kutaka kugombanisha watu.
 
Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
Hivi ni miaka mingapi imepita tangia Ben apotee au Tundu Lissu apigwe risasa ni muda gani umepita? Ungeshauri wachunguzi wa kimataifa ingekuwa vizuri.
 
Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
RIP Chacha Wangwe.
 
Nadhani una maana ya "serikali" kupitia jeshi la Polisi, au siyo..?

Unadhani watawezaje?

Maana kumbe ile kesi ya M/Kiti wa CHADEMA (w) anayesemwa na Dr Slaa kuwa alitekwa na "Red 🍒🍒 Brigade" mmoja wa "anayesemekana" ni mlinzi wa CHADEMA iliripotiwa huko huko POLISI unaotaka wachunguze...

Unfortunately, wakashindwa kuitumia fursa hiyo wakati huo kui - incriminate CHADEMA..!!

Lakini kwa zaidi ya miaka 15 polisi hawakuwahi kuchunguza wala kusema lolote. Leo wataanzia wapi kwa mfano..???

Dr Slaa amejichanganya na kuufelisha big time mkakati wa waliomtuma..!

Sasa na wewe chinembe sijui ni kwanini unakosa akili na ufahamu kidogo tu wa kuchakata mambo kuyaelewa kabla ya kuandika..!!???
Tunakumbushana, maana Sasa kaongea kiongozi wao wa ngazi ya Katibu Mkuu
 
Back
Top Bottom