Maneno ya Kitila Mkumbo yamewakilisha comment yanguKinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania.
Tukumbuke watu hawa wawili (mmoja akiwa ni kipenzi cha baba huku mwingine ni "outcast") wanatajwa kuwania jimbo moja la ubunge huko mkoani Singida.
Movie imefika patamu, baki hapo hapo usiondoke kwenye screen.
Hayo ni maneno yako, Mwigulu hajasema hivyonadhani mwigulu hajaeleweka ila ana hoja nzuri,nilichomuelewa ni kwamba anahisi walioambukizwa ni wengi hivo anaona ni bora tutangaze vifo na waliopona kutokana na kwamba hatupimi watu wote
naweza nisiwe sahihi lakini kwa nilichoelewq
Hii ndio PhD ya ukweli bhana!Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania.
Tukumbuke watu hawa wawili (mmoja akiwa ni kipenzi cha baba huku mwingine ni "outcast") wanatajwa kuwania jimbo moja la ubunge huko mkoani Singida.
Movie imefika patamu, baki hapo hapo usiondoke kwenye screen.
Acha kupiga ramli hata ingekua hivyo bado ni ujinga mtupunadhani mwigulu hajaeleweka ila ana hoja nzuri,nilichomuelewa ni kwamba anahisi walioambukizwa ni wengi hivo anaona ni bora tutangaze vifo na waliopona kutokana na kwamba hatupimi watu wote
naweza nisiwe sahihi lakini kwa nilichoelewq
mkuu hata umenielewa nilichoongea boss ? mimi nimesema kabisa kwenye comment yangu jinsi nilivomuelewa jamaa that means hayo ni maneno yangu sasa unaniambia tena ni maneno yangu wakati najua ni maneno yanguHayo ni maneno yako, Mwigulu hajasema hivyo
Kama ni mtihani na anayesahihisha ni huyo huyo Mchemba PhD basi atakupa " ziro" yenye masikio!nadhani mwigulu hajaeleweka ila ana hoja nzuri,nilichomuelewa ni kwamba anahisi walioambukizwa ni wengi hivo anaona ni bora tutangaze vifo na waliopona kutokana na kwamba hatupimi watu wote
naweza nisiwe sahihi lakini kwa nilichoelewq
Kwa kauli hiyo pia Mkumbo ana ujinga wa aina fulani. Hajitambui kwa nafasi yake ni nani ktk serikali: mtendaji wa wizara yeoyote wa kiwango hicho na nafasi hiyo hawezi kimbilia twitter kuandika maneno kama hayo ambayo ni ya binafsi kabisa!Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania.
Tukumbuke watu hawa wawili (mmoja akiwa ni kipenzi cha baba huku mwingine ni "outcast") wanatajwa kuwania jimbo moja la ubunge huko mkoani Singida.
Movie imefika patamu, baki hapo hapo usiondoke kwenye screen.
kwanini usiandike hoja yako kama ni kueleweshana tueleweshane ? tatizo la members wengi humu hamjui kujenga hoja,jf ipo kwa ajili ya watu kutoa mijadala na kuelimishana na kukosoanaKama ni mtihani na anayesahihisha ni huyo huyo Mchemba PhD basi atakupa " ziro" yenye masikio!