Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

Kwa nini wasibomoe wajenge nyumba Nzuri na za kisasa!

Acha kutetea ujinga! Watu wa Mbeya badilikeni mtaendelea kuwa nyuma kila siku kwa u shamba wenu
We unadhani wanabomoa bila utaratibu mkuu.

Baadhi ya maeneo yameshaboreshwa na bado yanaendelea kuboreshwa. Kwa akili zako unadhani unaweza wakimbiza watu kwa siku moja tu.

Tatizo lako we jamaa ushakalili kua jiji ni maghorofa na majumba mazuri tu. Hayo mambo yanafanywa taratibu hapa jijini, ukienda leo mbeya ni tofauti na ile ya mwaka jana. We unabwabwaja wakati mbeya umeenda 2013 tena umepita tu na sio kuishi.

Usikalili mkuu za kuambiwa changanya na zako.
 
Mbeya nakuja sana! Mwaka huu nimekuja Mbeya zaidi ya mara 10 na Mara ya mwisho ilikuwa mwezi Novemba juzi tu
 
Mbeya nakuja sana! Mwaka huu nimekuja Mbeya zaidi ya mara 10 na Mara ya mwisho ilikuwa mwezi Novemba juzi tu
Sio kweli, kama unakuja mara nyingi nisingetemea povu lako hilo ilhali mbeya bado inaendelea kubadilika kila leo.

Sio mmoja kati ya miji inayojengeka kwa kasi, unajengeka taratibu tu ila mbeya ya mwaka jana si ya mwaka huu vivyo hivyo hadi mwakani mwezi kama huu mambo mengi yatakua yashabadilika.

Au unataka uamke kesho tu ukute kila unachokitaka kipo.??
 
Kujenga campus tu huwezi kuhitaji eneo lote hilo, labda wanataka kujenga University of Mbeya (UMB) badala ya UD......
 

Hujajibu hoja, tuache ushabiki wa ajabu na uzalendo fake!


Chuo hiki kikija mbeya kitaichangumusha mbeya kwa fursa mbali mbali
 
Kumbuka kuwa kitu kinachowekezwa ni kwa manufaaa ya jiji la mbeya, hapo inajengwa hospital ya kisasa humohumo chuon, mzunguko wa pesa utaongezeka, wawekezaji wataongezeka, harafu ni chuo cha serikali sasa nan aiuzie serikali ardhi?????... Mi nmchanaga live tulia ackson ig huko ni upuuz huo, watoe ardhi mbeya ipo waz saaana
 
Izo picha Mbona zinaweza tu kutengenezwa!

Kawafundisheni watu wenu namna gani ya kujenga bora na kupangilia miji yenu! Acheni pia ushirikina na kutopenda maendeleo ya wenzenu
Aiseee tunashukuru kwa kutuchana live πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini kwa saizi mji unakimbia saana kimaendeleo, kuhusu kuupamga mji, mji wa mbeya ulijengwa zamani saana kabla hata ya mipango miji kuwepo ndo maana n vigumu kuupangua lakini kwa sasa ukienda baadhi ya maeneo ambayo yanajengwa saiz kumepangwa vizuri tuu, mafano, Forest ya zaman, forest mpya, sae, isyesye, veta na kungineko, lakini pia serikali ilisha tia sign na kampun ya Urban solution ya Tanzania kwa ajili ya kuupanga upya mji wa mbeya nafikir wapo kwenye mchakato huo kwa sasa NB: viongozi mbeya wana uroho wa madaraka ko mmoja wao akishika madaraka bc wanafanya figusu ili tuu yule mwingine aferi,, huo ndo uchawi wa fikra wa viongozi wetu, miradi mingi saana wanakimbiza hapa mbeya, ukiwemo mradi wa Halmashauri wa ujenzi wa mbeya city mall,,na kuliendeleza eneo la bustani ya mkoa kujenga hotel ya kisasa na bustani ya kisasa na michezo ya watoto, lkn pia ujenzi wa Chuo kikuu tawi la udsm mpka saiz viongozi wetu hawaeleweki kama watatoa hizo ekar mia tano kwa ajili ya ujenzi huo,,, yaani hawaeleweki kbsaaa
 
Sio tuu kinajengwa chuo, I mean madarasa ya kusomea tuu, kulingana na speech ya kikwete ni kwamba anataka ajenge, chuo kikubwa cha afyae, hopital kubwa ya mafunzo Africa, mabweni ya wanafunzi, office za chuo na hospital pamoja na nyumba za wafanyakazi za kuishi... Kwa hekal hamsin ni ndogo saaana
 
Akili za kitoto na kindezi hizi! Kwa hiyo watu waathirike kwa manufaa ya umma! Hujawahi kusikia watu wanalipwa compensation na serikali inapochukuwa mali za watu?
 
Kwani wapi nimesema wachukue ardhi ya watu mimi, mm nmetoa hoja kuwa mbeya inamaeneo mengi saaana ya wazi ya kiserikali mfano, Tanganyika pekers kule karibu na uwanja wa songwe, kuna kilimo eneo kubwa sana lile wanalima tuu mahind na ngano na wakiwa wametenga eneo dogo saana kwa ajili ya utafit ambayo ni tari, CBE wamepewa huko milimani huko iganzo na wanabomoa milima chuo kinajengwa mpka saiz so kwa nini nao wasitafutiwe maeneo ka hayo???? Sio kukimbiza watu, hata kule mbele ya ituha ambako inatarajiwa kupita Barabara ya mchepuko wajenge tuu kwan shida iko wapi
Akili za kitoto na kindezi hizi! Kwa hiyo watu waathirike kwa manufaa ya umma! Hujawahi kusikia watu wanalipwa compensation na serikali inapochukuwa mali za watu?
 
Kwa masengenyo hayo, kamwe usingeweza kuwa Mbunge jimbo lolote mkoani humo.
 
Wasomi wao kama Prof. Mark Mwandosya alijikita kumsema Hayati Magufuli badala ya kutetea maendeleo ya mkoa wake. Mwisho wa siku anakuwa kama Prof. Maji Marefu tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…