Baada ya kauli ya Nape na Ng'umbi CCM waone aibu kujisifu kushinda kwa kishindo

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Wanaccm wamekuwa wakijisifu sana eti ni chama kinakubalika na kinashinda uchaguzi kwa kishindo kwa sababu ya sera nzuri na kukubalika kwa wananchi kumbe ni waongo.

Kwa kauli alizotoa nape hivi karibuni na za huyu mheshimiwa wa sasa natamani ccm wajionee aibu maana ni kama wamevuliwa nguo

Nakumbuka makala alileta fix zake wakati anapangua hoja za nape lakini kabla hata hawajafika mbali wameanza kufunua rangi halisi ya ccm na serikali yake linapohusika suala la uchaguzi. Hawa kina mwashambwa wakome kabisa na blabla zao. Oo mara tutashinda kwa kishindo mara mama atosha

Unajisiaga kila siku kwamba nyumbani kwako huishiwagi chakula baadae unakamatwa na magunia ya wizi kwa mwenye akili hatakaa ajisifu tena mbele za watu

Pia soma:
 
Ukiona mtu anaitetea ccm ujue aidha ni chawa au ana mgao wake huko lakini ukweli wanaujua kuwa hawakubaiki wanajua watanzania ni wapole na wengi elimu hawana ndo maana wanafanya wanach0taka lakini ukweli ni kwamba kilichofanyika 2020 ulikuwa ni uchafusi wa kiwango cha kufuru ndo maana uchaguzi huo hautafutika kwenye kumbukumbu za watu! Na yeyote aliyefanya uchafu ule karma inafuata ndo maana wanaropoka wakijua kuwa wako peke yao kumbe hawajui kuwa sio wote wanaopenda uhuni wao huo! Ccm mnadharau sana wananchi maanake hamna haja ya uchaguzi ni kupoteza muda tu!
 
Kauli ya Nape na former DC Ng'humbi sio kauli za Chama; hawakutumwa na Chama kusema waliyoyasema. Chama kinapongeza hatua za haraka zilizochukuliwa dhidi ya wahusika. Bila CCM imara nchi itayumba.
 
Wanaccm wamekuwa wakijisifu sana eti ni chama kinakubalika na kinashinda uchaguzi kwa kishindo kwa sababu ya sera nzuri na kukubalika kwa wananchi kumbe ni waongo.

Kwa kauli alizotoa nape hivi karibuni na za huyu mheshimiwa wa sasa natamani ccm wajionee aibu maana ni kama wamevuliwa nguo

Nakumbuka makala alileta fix zake wakati anapangua hoja za nape lakini kabla hata hawajafika mbali wameanza kufunua rangi halisi ya ccm na serikali yake linapohusika suala la uchaguzi. Hawa kina mwashambwa wakome kabisa na blabla zao. Oo mara tutashinda kwa kishindo mara mama atosha

Unajisiaga kila siku kwamba nyumbani kwako huishiwagi chakula baadae unakamatwa na magunia ya wizi kwa mwenye akili hatakaa ajisifu tena mbele za watu

Pia soma:
Naupenda ule wimbo wa CCM ni ile ilee
 
Wa kulaumiwa ni yule Marehemu nashangaa wabongo tulivyo na akili za nzi kusahau mapema uhuni wake.Kafa leo mnamuona ni malaika na hata huyo MAKO ni mhuni ambae anacheza na media kuhadaa kuwa ni kiongozi safi wa kuigwa watanzania ni wepesi sana kusahau
 
Kauli ya Nape na former DC Ng'humbi sio kauli za Chama; hawakutumwa na Chama kusema waliyoyasema. Chama kinapongeza hatua za haraka zilizochukuliwa dhidi ya wahusika. Bila CCM imara nchi itayumba.
Pmbv
 
Wanaccm wamekuwa wakijisifu sana eti ni chama kinakubalika na kinashinda uchaguzi kwa kishindo kwa sababu ya sera nzuri na kukubalika kwa wananchi kumbe ni waongo.

Kwa kauli alizotoa nape hivi karibuni na za huyu mheshimiwa wa sasa natamani ccm wajionee aibu maana ni kama wamevuliwa nguo

Nakumbuka makala alileta fix zake wakati anapangua hoja za nape lakini kabla hata hawajafika mbali wameanza kufunua rangi halisi ya ccm na serikali yake linapohusika suala la uchaguzi. Hawa kina mwashambwa wakome kabisa na blabla zao. Oo mara tutashinda kwa kishindo mara mama atosha

Unajisiaga kila siku kwamba nyumbani kwako huishiwagi chakula baadae unakamatwa na magunia ya wizi kwa mwenye akili hatakaa ajisifu tena mbele za watu

Pia soma:
Sasa hivi wamejifungia wanaandaa mkakati wa kuiba tena mwezi huu

Sijui watakuja na mbinu Gani?
Tofauti na Ile ya kupora fomu za wapinzani na kukimbia ofisi wapinzani wakirejesha fomu

Nasikia mwaka huu wamejiandaa kuiba zaidi kuliko 2000 ili waaminishe watu kuwa mtu wao anakubalika sana

Wakati huo Wazalendo tunahoji kulikoni Sheria inasema uchaguzi utasimamiwa na tume,

lakini mchengerwa anatangaza uchaguzi atasimamia yeye??

Kipimo chengine kwa mahakama zetu dhaifu, tusubiri maamumuzi
 
Wanaccm wamekuwa wakijisifu sana eti ni chama kinakubalika na kinashinda uchaguzi kwa kishindo kwa sababu ya sera nzuri na kukubalika kwa wananchi kumbe ni waongo.

Kwa kauli alizotoa nape hivi karibuni na za huyu mheshimiwa wa sasa natamani ccm wajionee aibu maana ni kama wamevuliwa nguo

Nakumbuka makala alileta fix zake wakati anapangua hoja za nape lakini kabla hata hawajafika mbali wameanza kufunua rangi halisi ya ccm na serikali yake linapohusika suala la uchaguzi. Hawa kina mwashambwa wakome kabisa na blabla zao. Oo mara tutashinda kwa kishindo mara mama atosha

Unajisiaga kila siku kwamba nyumbani kwako huishiwagi chakula baadae unakamatwa na magunia ya wizi kwa mwenye akili hatakaa ajisifu tena mbele za watu

Pia soma:

View: https://x.com/nulphin/status/1830306886001770912?t=NGqfrJJv7P81empQfZHQ5Q&s=19
 
Back
Top Bottom