Baada ya kauli ya Nape na Ng'umbi CCM waone aibu kujisifu kushinda kwa kishindo

Baada ya kauli ya Nape na Ng'umbi CCM waone aibu kujisifu kushinda kwa kishindo

Ni muda wa CCM kuchutama, taulo lishadondoka!!
 
Wanaccm wamekuwa wakijisifu sana eti ni chama kinakubalika na kinashinda uchaguzi kwa kishindo kwa sababu ya sera nzuri na kukubalika kwa wananchi kumbe ni waongo.

Kwa kauli alizotoa nape hivi karibuni na za huyu mheshimiwa wa sasa natamani ccm wajionee aibu maana ni kama wamevuliwa nguo

Nakumbuka makala alileta fix zake wakati anapangua hoja za nape lakini kabla hata hawajafika mbali wameanza kufunua rangi halisi ya ccm na serikali yake linapohusika suala la uchaguzi. Hawa kina mwashambwa wakome kabisa na blabla zao. Oo mara tutashinda kwa kishindo mara mama atosha

Unajisiaga kila siku kwamba nyumbani kwako huishiwagi chakula baadae unakamatwa na magunia ya wizi kwa mwenye akili hatakaa ajisifu tena mbele za watu

Pia soma:
Shetani hana aibu, kazi yake ni kuiba, kuua na kuharibu.
 
Back
Top Bottom