Baada ya kauli ya Nape na Ng'umbi CCM waone aibu kujisifu kushinda kwa kishindo

Pambana na walio hai acha woga marehemu hatusaidii
 
Kauli ya Nape na former DC Ng'humbi sio kauli za Chama; hawakutumwa na Chama kusema waliyoyasema. Chama kinapongeza hatua za haraka zilizochukuliwa dhidi ya wahusika. Bila CCM imara nchi itayumba.
Sio kauli ya chama lakini wanathibitisha kwamba kumbe chama kina mbinu chafu za hivyo.
Maana hizo ni Siri za ndani zimevuja
 
Ongeza na huyu hapa


View: https://vm.tiktok.com/ZMrKrdJKd/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok Lite - Save Data - Apps on Google Play
 
Kishindo kikuu ni 2025 jiandae jiandae
 
Your browser is not able to display this video.

 
Ushindi ni ushindi mraaa na kujisifu lazima tujisifu mkimaindi nendeni mkalie kwa wazungu
 
Ushindi ni ushindi mraaa na kujisifu lazima tujisifu mkimaindi nendeni mkalie kwa wazungu
Kwa wazungu we usipashobokee kabisa maana mama anashinda huko kuwapigia magoti we unafikiri wakimnunia nchi itaenda kweli!?
 
Ndugu zangu S/ gang tangu janaa wamepigwa baridi balaa.
Tuliwambia wakakaza fuvu.
 
Kwa wazungu we usipashobokee kabisa maana mama anashinda huko kuwapigia magoti we unafikiri wakimnunia nchi itaenda kweli!?
Hii ndo bongo wataalam wa kula na vipofu.....hela zije tu ila use...e wao wabaki nao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…