Baada ya kauli ya Rais, nawasikitikia sana waliochukua fremu za biashara kwenye ya stendi kuu ya mabasi Mbezi

Baada ya kauli ya Rais, nawasikitikia sana waliochukua fremu za biashara kwenye ya stendi kuu ya mabasi Mbezi

Kuwawahi inabd mwenye fremu uweke vitu vyako hadi barazani nje utandaze kote mapema kbs
 
Waliochukua frmu humo ndani nu matajiri tayari,,wawaache na machinga pia,wafaidi matunda ya uhuru..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hatari Sana,

Umelipa frem la m-pesa million 3 kw mwezi,

machinga anakuja na benchi lake na bango lake anakaa kwenye kibaraza chako na kufanya miamala ile Ile ya pesa.

Na Mwisho wa mwezi kamisheni amekuzidi

[emoji16][emoji16]Apo ndo utajua kwanini mlevi maji huwa anaita "mma"
Nji rahisi,wewe mwenye flame,tafuta machinga wako,uweke mbele,,mmoja arushe miziki,mwingine asonge ugali,,mwingine auze nguo za ndani,etc
 
Ujaziona stationary za kariakoo?
Mtaa wa uhuru Machinga chini ya turubai wamemwaga vitabu,kalamu, daftar,mafaili n.k

Ujaziona m-pesa za kariakoo,
Vijana wamekaa kwenye vibaraza njiani kabisa na bango la m-pesa wakifanya miamala Kama kawaida?
Mkuu mbona umetumia wino mwingi kuelezea jambo moja tu?
Sisi waumini atujaelewa kuhusu stationary, hiyo inakuwaje mkuu
 
Ujaziona stationary za kariakoo?
Mtaa wa uhuru Machinga chini ya turubai wamemwaga vitabu,kalamu, daftar,mafaili n.k

Ujaziona m-pesa za kariakoo,
Vijana wamekaa kwenye vibaraza njiani kabisa na bango la m-pesa wakifanya miamala Kama kawaida?
Unabishana na mtoto wa mama ambae ata nauli ya dala dala haijui.
 
Fremu kwa mwezi ni million Tatu,au unamaanisha laki tatu
Fremu ya Bei CHINI ni million 1,
nacho Ni kichochoro kilichowekewa mlango Kama zile kuta za nje za kariakoo soko la shimo
 
Mheshimiwa kasema waandaliwe utaratibu sio kuuia kwenye vibaraza acha upotoshaji.ILe stand bado haijaisha kujengwa na plan hao baba na mama lishe watajengewa sehemu zao .Pia na wafanya biashara ndogo ndogo.
 
Tuliwaambia humu thread zilizopita...zile square meter za mamilioni kulipa ni kazi sana.. Nature ya stand ni mabasi yanaanza safari MTU anatoka mbio huko kuwahi basi lisimwache MTU wa kwanza kuumuzia ni mmachinga...Angalia watumiaji wa kituo cha ubungo ukienda usiku maelfu wamelala ndani na nje ya jengo LA kupumzikia abiria wengi ni vipato vya chini wanategemea sana msosi wa bei cheap au ale mkate na soda...wamachinga watafanya biashara kubwa mle ndani kwa ushuru mdogo kuliko we we mwenye frem ya square meter tena zingine ziko first flour....
 
We unafikiri kila mtu anaweza kula kwa mama ntilie? Ingekuwa hivyo mlimani city ingeshakufa kila kitu, maana hadi maji ya jero mule yanauzwa buku 2 na watu wanaenda hivyo hivyo, jiulize why? Au why mtu apande uber wakati daladala za jero zipo, why?
 
KWA KAULI YA JPM,

Nawaskitikia sana Waliochukua fremu za biashara ndani ya stend kwa gharama kubwa IMEKULA KWAO.

Machinga na Mama lishe watauza bidhaa ile Ile kwenye kibaraza cha fremu uliolipia mwenyewe kwa pesa zako,

Wateja hawataona umuhimu wa kuingia ndani ya frem lako,Na watauziwa biadhaa ile ile kwa Bei ya chini zaidi,

Ukitaka kushindana nao, labda ukauze Bei sawa na wao.

Hapo bado tozo za manispaa,leseni,tra n.k utalipa WEWE.

Machinga na mama lishe watakua pembeni TU wanakusanifu kwa kitambulisho chao Cha elfu 20[emoji16].

na huna Cha kuwafanya kwasababu mweshimiwa tayari keshasema[emoji1]

Aisee,

Mliochukua zile frem mjiandae kisaikolojia.
Una frem ndani unauza?
 
KWA KAULI YA JPM,

Nawaskitikia sana Waliochukua fremu za biashara ndani ya stend kwa gharama kubwa IMEKULA KWAO.

Machinga na Mama lishe watauza bidhaa ile Ile kwenye kibaraza cha fremu uliolipia mwenyewe kwa pesa zako,

Wateja hawataona umuhimu wa kuingia ndani ya frem lako,Na watauziwa biadhaa ile ile kwa Bei ya chini zaidi.

Ukitaka kushindana nao, labda ukauze Bei sawa na wao.

Hapo bado tozo za manispaa, leseni, TRA n.k utalipa WEWE.

Machinga na mama lishe watakua pembeni tu wanakusanifu kwa kitambulisho chao cha elfu 20[emoji16].

Na huna cha kuwafanya kwasababu mweshimiwa tayari keshasema[emoji1]

Aisee

Mliochukua zile frem mjiandae kisaikolojia.
Ndugu yangu pale hakuna biashara kwa bei za pango (rent) walizopanga. Tazama hiyo attachment ya mchanganuo wa bei kutoka kwa Paper ya G. Kombe "
MAGUFULI BUS TERMINAL - DAR ES SALAAM:
FIRE AND FROZEN RENTS ABOUT THE ILLUSORY
PROJECT THAT WILL NEVER PERFORM"

MIRACULOUS RENTS AT MAGUFULI BUS TERMINAL.jpg
 
Ndugu yangu pale hakuna biashara kwa bei za pango (rent) walizopanga. Tazama hiyo attachment ya mchanganuo wa bei kutoka kwa Paper ya G. Kombe "
MAGUFULI BUS TERMINAL - DAR ES SALAAM:
FIRE AND FROZEN RENTS ABOUT THE ILLUSORY
PROJECT THAT WILL NEVER PERFORM"

View attachment 1756544
Ni biashara kichaa.

Uchukue frem, ulipe Kodi zaidi ya mil.36+ kwa mwezi
Ukae usubiri mteja aje kununua mirinda nyeusi ya jero kwako,

Wakati
Kuna machinga ana kitambulisho Cha elfu 20,
Kabeba vinywaji vyake kwenye beseni

Anaderiver moja kwa moja mirinda nyeusi kwa mteja alie kwenye BUS.
 
Back
Top Bottom