PostGE2025 Baada ya kelele nyingi mtandaoni, Jeshi la Polisi lamwachia Fortunatus Buyobe kwa dhamana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Wakuu, baada ya kelele nyingi mtandaoni, Jeshi la Polisi Ofisi ya Chang'ombe limemwachia Fortunatus Buyobe kwa dhamana.

Enyi jeshi la Polisi msiosikia, mbona mmegoma kuwa wastaarabu na kufuata PGO?

Kwanini mnakamata watu kimyakimya, hamtoi taarifa na hamtoi haki ya dhamana kwa wakati?

Utaratibu huu upo siku utatumika dhidi yenu, dhidi ya watoto wenu na watu wenu wa muhimu, ndipo mtalia na kusaga meno.

Muulizeni Mwambe ambaye hakushikika wakati wa Magufuli, leo kiko wapi?

1000543133.jpg

Pia soma >> Buyobe yupo wapi? Nini kimempata toka achukuliwe na watu waliodaiwa kujitambulisha kuwa polisi?
 
Huyo jamaa alikua na "ABC" kadhaa kumhusu balozi aliyetekwa.

Sasa itakua vilaza wamemalizana nae kww kumpiga mkwara asiongee zaidi au kuna vitu watamuwekea kama masharti.
 
Hivi Mchungaji Malisa alitekwa au alikamatwa na yupo wapi sasahivi,? Maana kuna kipindi kilikuwa na tetesi za kutekwa akiwa kwake
 
Wakuu, baada ya kelele nyingi mtandaoni, Jeshi la Polisi Ofisi ya Chang'ombe limemwachia Fortunatus Buyobe kwa dhamana.

Enyi jeshi la Polisi msiosikia, mbona mmegoma kuwa wastaarabu na kufuata PGO?

Kwanini mnakamata watu kimyakimya, hamtoi taarifa na hamtoi haki ya dhamana kwa wakati?

Utaratibu huu upo siku utatumika dhidi yenu, dhidi ya watoto wenu na watu wenu wa muhimu, ndipo mtalia na kusaga meno.

Muulizeni Mwambe ambaye hakushikika wakati wa Magufuli, leo kiko wapi?

View attachment 3516278

Pia soma >> Buyobe yupo wapi? Nini kimempata toka achukuliwe na watu waliodaiwa kujitambulisha kuwa polisi?
Sinema zetu
 
Back
Top Bottom