MSIRUDIE KUCHAGUA RAIS MASKINI, WANA ROHO MBAYA SANA WATU WALIOTOKEA KWENYE UMASKINI KISHA WAKAKAMATA VITENGO. MTASOTA.Mshahara kuongezwa mwaka huu ni lazima. Alafu baada ya uchaguzi watasota kwa mwendo uleule.
Wagomee nyongeza ya mshahara?Watumishi wooooote Kwa umoja wenu kada zoooote gomeni
Swali zuri sana. Yaweza kuwa increament. Wengine wapo kwenye bar hadi mshahara upandeNyongeza au INCRIMENTS?
Swali zuri sana. Yaweza kuwa increament. Wengine wapo kwenye bar hadi mshahara upande
Hata lissu wamemlipa stahiki zake japo kikimya kimya,nadhani waliona aibu kwa michango watu wanayojifunga kumchangia,Baada ya kelele za akina Sugu na wabunge wenzake wa upinzani kuhusu nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi wa uma hatimae JIWE amekubali kubadili "gea" angani...Ikumbukwe kuwa hakukuwa na fungu au nyongeza ya mishahara ya watumishi wa serikali katika bajeti inayojadiliwa kwa sasa huko dodoma lakini kotokana na kelele za wadau wengi zikichagizwa na kelele za baadhi ya wabunge wa upinzani hatimae Jamaa kakubali yaishe na alipanga iwe "surprise" ila sio tena....
Kwani hao wafanyakazi wako wako wangapi kwani hata akiogezwa mshahara ndio nn kuwa watampigia kura yy. Hamkubuki Jk mwaka.ule alikataa kuongeza mshahara akasema kura zenu za wafanyakazi.mpeni huyo mnae ona ataongeza huo mshara mbona walitulia.tena akasema.wafanyakazi hawazidi laki sita kipindi cha jk. Alafu wametawanyika nchi nzima.sio Leo mseme et kisa uchanguzi. Jpm alishasema.kama ukiona mshahara ndogo ndogo ache Kazi hataki kusikia kelele apige Kazi walizoea kula pesa hawafanyi Kazi.siku hizi tasisi zote malipo kwa mtandoa kwa hiyo hawashiki pesa maana zamani walifanya zao. Sasa Leo mshahara hadi mshahara. Ukiona haitoshi kaanzishe Kazi yako yenye kipato.Acheni polojo watu wanapiga Kazi nyie siasa oooh uchanguzi nio nn.pigeni Kazi ukiona hautoshi kafanye Kazi yako ujilipe upendavyo. Yangu hayo.Unafikili ni kwa sababu ya kelele au ni kwa sababu ya uchaguzi ujao ili kuwapumbaza wafanyakazi kwa ajili ya mwakani au umesahai Sera ya serikali uchaguzi ukikalibia
Kama ni kweli umeishaharibu kick ya jiwe meimos hivyo hawez kuongeza so far kwa uchumi mkuu?Jamaa kaharibu uchumi wa nchi kwa fiscal policy mbovu sambamba na kufanya mambo bila vipaumbele!!Baada ya kelele za akina Sugu na wabunge wenzake wa upinzani kuhusu nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi wa uma hatimae JIWE amekubali kubadili "gea" angani...Ikumbukwe kuwa hakukuwa na fungu au nyongeza ya mishahara ya watumishi wa serikali katika bajeti inayojadiliwa kwa sasa huko dodoma lakini kotokana na kelele za wadau wengi zikichagizwa na kelele za baadhi ya wabunge wa upinzani hatimae Jamaa kakubali yaishe na alipanga iwe "surprise" ila sio tena....