Baada ya Kenya kukosa pesa za kujenga reli sasa Uganda inakuja kivingine

Hapa sasa mmenza zile zenu za kawaida za kujitungia theory ambazo hazina sources. Eti umeshindwa kushawishi Uganda faida ya SGR. Soma ripoti ya Uganda Ministry of transport, utaona faida tele zimetajwa hapo..... Faida is not the issue..... money is the issue


This comes directly fom the Ugandn govt SGR team

SGR Uganda » Justification
Justification
Road transport dominates the Northern Corridor, accounting for over 95% of all the freight movement. Only 5% of fright is being handled by the existing dilapidated and inefficient meter gauge railway. But the combined road-railway capacity is highly inadequate. This situation has led to very high transport costs, rapid wear and tear of the road network, high transport energy consumption, high environmental pollution, frequent road accidents among others. As a result, the region has become very uncompetitive with the highest cost of doing business in the world. The outcome of this grim state of affairs is shifted industrial development and high unemployment especially of the youth. This therefore calls for an immediate intervention in Railway transport in order to boost the economic growth of the country and region as a whole.

Existing Situation

  • Over 100 years old
  • Dilapidated and out-dated technology
  • Unreliable services, unsafe, inefficient and VERY COSTLY
  • Only about 20% of existing railway system is operational (marginally)
  • Freight market share is 3%, down from 15% in 2004
  • 97% freight on roads with high total cost


Current Operational Status

  • RVR concession runs up to June 2032
  • RVR shareholders and lenders include AfDB, IFC, FMO, DEG, Equity Bank, EAIF among others
  • Conceded core URC assets include land, tracks, bridge and buildings
  • URC monitors RVR concession
Total international freight is 14.5 million tonnes per annum of which RVR is carrying only about 0.5 million (3.4%)
 
Haha, nyinyi bakini hapo hapo kusema theory. Wakati wenzako wamesha anza kufukuwa udongo Tanga Arusha on its way to Musoma. Huku meli na mabegewa ya mizigo zinajengwa Mwanza halafu unasema theory. Hiyo miradi unayosema inamanufaa kwa uganda ilikuwa wakati uleeee wa mapenzi ya "CoW" sasa hivi ukirudi ministry of transport or trade ya Uganda watakuwa na picha nyingine kabisa.
 
Hizi taarifa za kwamba Uganda haina pesa sio za kweli ni potofu, sijui zimetoka wapi, serikali ya Uganda bado inakopesheka sana tu na wala haiitaji kuonyesha kiasi chochote kile kama dhamana, nchi yenyewe ni dhamana, hata Tanzania au Kenya wanapoenda kukopa, kamwe hawaulizwi kuonyesha kiwango cha pesa kama dhamana, muhimu ni mradi unaotaka kuutekeleza kama unaonyesha utaweza kurudisha pesa, hapo ndipo Uganda anapokwama, hii ni kwasababu bila Kenya kuifikisha SGR hadi Malaba, reli ya Uganda haiwezi kuwa na economic impact kwa sababu dhumuni kubwa la SGR ya Uganda ni kusafirisha mizigo kupitia bandari ya Mombasa hadi Uganda, South Sudan na baadae hadi DRC na Rwanda

Kama Kenya leo hii watatoa hakikisho kwamba reli itafika Malaba, Exim Bank ya China ipo tayari kuikopesha Uganda na baadae South Sudan. Kuna kila dalili kwamba Kenya itaishia Kisumu badala ya Malaba kwa sababu zifuatazo
1) Kenya inajenga na kuipanua bandari ya Kisumu, na ili hii bandari iweze kuwa active na kukuza uchumi wa Kisumu, Mizigo ya reli toka Mombasa kuelekea nchi jirani ni muhimu sana, Kenya ikijenga reli hadi Malaba, ni suicide attempt kwa bandari ya Kisumu.
2)Kwa kuishia Kisumu, ni kupunguza gharama zisizokua na lazima za ujenzi wa reli kati ya Kisumu to Malaba.
 
Usijifanye kushangaa wakenya,hata sisi bongo ndo tunashangaza zaidi,kama tungetaka kuwa washindi maccm yangejenga sgr tanga musoma badala ya kuhangaika na sgr ya umeme ya matrion ili kubeba mawese na magunia ya dagaa,ujinga tu
 
Usijifanye kushangaa wakenya,hata sisi bongo ndo tunashangaza zaidi,kama tungetaka kuwa washindi maccm yangejenga sgr tanga musoma badala ya kuhangaika na sgr ya umeme ya matrion ili kubeba mawese na magunia ya dagaa,ujinga tu
Fikiria mbele miaka 100 kutoka sasa kuna nchi gani bado wanajenga treni za diesel? Wakenya wamebambikwa na Mchina bila wao kujuwa.
 
Fikiria mbele miaka 100 kutoka sasa kuna nchi gani bado wanajenga treni za diesel? Wakenya wamebambikwa na Mchina bila wao kujuwa.
Suala LA wao kubambikiwa halibadili kitu kuwa na sie tumejiingiza mkenge,kama unategemea faida miaka 100 ijayo tunajenga Leo ili kumfurahisha nani? Wakati tunasubir faida baada ya mkaka mia sgr inazidi kuchakaa,narudia sgr ya bongo ni mradi wa kihinga sana kwa sasa.imagine multiplier effects ya hayo matrion endapo yangewekezwa kwenye bandari,barabara, umeme na sgr ya tanga musoma
 
Ndii ni waziri, ni engineer, ni mtaalamu wa maswala ya uchumi au ni nani? Sasa unataka tuige tz kwenye meter gauge, wakati tz ni maskini wa kutupwa? Sisi huwa tunaiga nchi kama S.A au hata Misri. Yaani tunajaribu kusonga mbele wala si nyuma.
Mbona reli ya kikoroni mliiga wapi nyie wakenya?
 
Tatizo nchi haziendeshwi kama unavyo fikiria wewe. Kila kitu unacho faidika nacho leo, kilifikiriwa na viongozi wa miaka 30 iliyopita. Matunda ya nchi kubwa kama Marekani au bara la Ulaya haya china yalifanyiwa uamuzi miaka ya 1930s. Hata hiyo miradi unayosema wangeweka hela, umeme badari nk (jabo miradi hiyo hela ilisha wekwa) matunada yake labda usinge yaona leo wala kesho. Ukitaka kujuwa kwanini Kenya wamebambikwa, tafuta gharama walio tumia kujenga KM 1 kulinganisha na Tanzania na yao sio ya kiwango cha umeme.
 
Mimi bado ninashindwa kupata mantinki pale unaposema reli ya Tanga Arusha ni much more economic viable kuliko hii reli ya kati, sijakuelewa kabisa, Tanga Arusha inahudumia nchi zipi na mikoa ipi kiasi cha kuishinda hii ya reli ya kati?
 
Mimi bado ninashindwa kupata mantinki pale unaposema reli ya Tanga Arusha ni much more economic viable kuliko hii reli ya kati, sijakuelewa kabisa, Tanga Arusha inahudumia nchi zipi na mikoa ipi kiasi cha kuishinda hii ya reli ya kati?
Mikoa yote ya kanda ya ziwa,na kaskazini,,plus nchi za Uganda na sehm south sudani na partly nothen eastern DRC,,as hiyo yenu eti itahudumia vinchi vya burund na Rwanda,eaten DRC na Uganda na ssudan kidogo sana,kiasi kwamb sgr ya Kenya ikifika kisumu u wll end up losing lake zone,Uganda,s Sudan ,,sasa sio hasara hiyo,kama unabisha kwa wishful thinking tusubir ikamilike
 
Usikomae na gharama za ujenzi kwao,komaa na sustainability ya reli in economic terms in comparison with capital investment,,wazungu walijenga hizo route kwa manufaa ya kipindi kile sio kwa habar xjui ya kusema mkaka ijayo hakuna,,reli ya kigoma ililengs zaidi kubeba manamba na tumbaku etc,ya mpanda shaba,bdy ya mwanza pamba etc,hizo zenu za umeme mnazojenga eti kwa ajili ya miaka 100 ijayo mtakuwa mnabebea nn,narudia hii ni hasara kubwa,bora pesa yenyew ingekuwa mkopo then hizo za ndani zitunike kwenye miyndombinu mingine,multiplier effects ya barabara ni kubwa zaidi kwenye uchumi kuliko reli,afu kama unategemea faida baadae n rational kutumia loan it makes sense
 
Ndii ni waziri, ni engineer, ni mtaalamu wa maswala ya uchumi au ni nani? Sasa unataka tuige tz kwenye meter gauge, wakati tz ni maskini wa kutupwa? Sisi huwa tunaiga nchi kama S.A au hata Misri. Yaani tunajaribu kusonga mbele wala si nyuma.
Wewe hivi unaweza kulinganisha umasikini wa Kenya na Tanzania? Kenya naijua vilivyo ardhi yote ni mali ya mabwenyenye wakenya waliowengi ni masikini wa kutupa. Kenya haina tofauti na Zimbambwe. Kumbuka Tanzania ardhi yote inamilikiwa na wananchi wenyewe tena kwa usawa.
 
Kaka umetetereka sana tena sana, utalinganishaje reli inayopita ndani ya takriban mikoa nane ya Tanzania na ile inayopitia mikoa minne tu ya nchi?. Reli ya kati ikikamilika itabeba mzigo wa zaidi ya lori 500 kwa siku ambayo yote yangekuwa barabarani toka Dar hadi Mwanza na nchi za jirani, hivyo kuilinda barabara, lakini pia kuzuia ajali nyingi na kuokoa maisha.

Train hii itaweza kubeba zaidi ya 80% ya abiria toka Dar, Morogoro, Dodoma, Singida(watashukia Dom), Tabora, Shinyanga, Geita, Mwanza na Kigoma, zaidi ya mabasi 600 yatatoka barabarani(muda, gharama, ajali vitapungua sana).

Reli hii itakuwa ni kiunganishi kati ya Dar es Salaam na Dodoma, wafanyabiashara na Diplomats watakaoendelea kuishi Dar, wataweza kwenda Dodoma na kurudi the same day, hivyo kurahisisha sana shughuli za biashara na maisha kwa ujumla.
Reli hii itakuwa inafikisha mizigo hadi bandari ya Mwanza, hivyo kuweza kuhudumia soko la Uganda kupitia bandari ya bell huko Uganda, kama ilivyo bandari ya Kisumu nchini Kenya

Reli hii inategemewa kufika Kigali, ambapo mizigo ya Rwanda na North Kivu DRC itapokelewa hapo, na Bujumbura, ambako mizigo ya Burundi na South east mwa DRC itapokelewa hapo.

Naomba wewe kwa undani uainishe ni maeneo gani na nchi zipi zitakazohudumiwa na reli ya Tanga Arusha hata kudhani kwamba ni bora kuliko hii.
Mimi bado ninashindwa kupata mantinki pale unaposema reli ya Tanga Arusha ni much more economic viable kuliko hii reli ya kati, sijakuelewa kabisa, Tanga Arusha inahudumia nchi zipi na mikoa ipi kiasi cha kuishinda hii ya reli ya kati?
 
Hizo ardi ambazo hamjui kuzitumia mnakaa kitako mngoje msimu wa miembe, minazi na miparachichi ya asili ifike ndo matunda yakidondoka hela zifike mfukoni? Unajua ni asilimia ngapi ya ardhi Kenya ambayo ni jangwa? Fanya kautafiti jombaa. Yaani hata mkenya mwenye ardhi hekari nusu anapiga hela ambazo mtz mwenye hekari ishirini hazifikii. Nasikia mna azimio la kujinasua kutoka orodha ya nchi masikini LDC mwaka wa 2030. Sisi tulishatoka huko mwaka wa sijui ni 2010! Changamkeni majirani mnatutia aibu wanaE.A.
 
Alafu tatizo lengine ni kwamba mjii mkuu wa mwisho kenya ni Kisumu, baada ya hapo hakuna mji mkuu mwengine, kuna zaidi ya Kilomita 130 kutoka kisumu hadi border ya malaba. That means Kenya itabidi kugaramia kama $1.3B kutoa reli from kisumu to malaba ili tu ikonect na reli ya Uganda. Uganda wange offer angalau kutoa pesa ili watukute katikati ya malaba na kisumu ndani ya kenya, lakini hao wanatungojea kwa border. Tukijenga hio reli badi malaba tutagaramia $1.3B extra ili Uganda ipate mizigo directly... Ni miaka mingapi ya ku charge transit fee itatuchukua ili kuregesha hio $1.3b ? I guess hizo ndo calculation zinafanywa sahii ili tuamue kama itakua faida tukijenga au tukikwamia kisumu. Ningependekeza Uganda igarimie angalau 35% ya ujenzi kutoka kisumu hadi malaba, hio section iwe joint ownership. Ug wakifanya hivyo itaregesha trust.. Sahii hakuna cha goodwill tena, fool me once.....
 
Wakenya kwa porojo hamjambo sana, Unaposema Kenya ni tajiti na wewe huna huo utajiri ni ufinyu wa fikra, wewe pambana na hali yako, utajiri wa Nchi yako haumsaidii chochote nyanya yako anaefia kijijini kwa njaa na kukosa huduma za afya.
Pesa ya Ruto na Kenyatta na wenzao wachache sio yako.

Ukishakua na yako njoo upige domo huku

Ova
 
We umetaja mzimu gani tena hapo tanzania haichanganyi uchumi na siasa?hebu nipe mfano wa huo utengano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…