Ulipoaza kusema Maccm na kutetea wakenya nikajuwa naongea na nani. Ningekushauri ufanye utafiti kwanza kabla kuanzisha mjadala. Hivi unajuwa hata miradi mikubwa inayoendelea kujengwa hapa Tanzania? Vitu vyote ulivyo vitaja bandari, barabara, umeme vyote vipo under construction hivi sasa, unatupa picha kuwa hujuwi unachokisema. Unag'ang'ania kwanini tunajenga treni ya umeme na tunapoteza pesa, nimekwambia wakenya wamebambikwa kwasababu ukiacha gharama za ujenzi ambazo kwao ni nyingi, angakia gharama za uendeshaji wa treni ya diesel na ya umeme. Treni ya diesel ina cost over $7 to run per mile vs $3 to run electric train. Unasema SGR ya Tanzania ita hudumia vinchi vidogo Burundi na Rwanda. Ukiachilia mbali DRC, Zambia, Zimbabwe, Uganda and beyond, Fanya utafiti uone hizo nchi ndogo zimekalia madini ya kiasi gani. Wakenya nasema hapa, they are stuck, SGR wasipo jipanga upya, itabaki kuhudumia ndani ya nchi tuu. Maana no one is warming up for them, sio South Sudan, ambao wanajipamga kupitia Djibouti, Ethiopia wao wameshanza, Uganda ndio hao wanafikiria mara mbili. Watu wanataka kuunganisha reli from Egypt to South Africa via Uganda-Tanzania, kwanini wahangaike na Kenya. Halafu unasema 100 from now hii SGR itamsaidia nani. SMH.
Henry Ford alipotengeneza gari la kwanza la mafuta, watu waliokuwa wanatumia farasi walikuwa na fikra kama zako. Leo hii 100 years later nani bado anapanda farasi kuenda kazini.