Baada ya Kenya kukosa pesa za kujenga reli sasa Uganda inakuja kivingine

Ulipoaza kusema Maccm na kutetea wakenya nikajuwa naongea na nani. Ningekushauri ufanye utafiti kwanza kabla kuanzisha mjadala. Hivi unajuwa hata miradi mikubwa inayoendelea kujengwa hapa Tanzania? Vitu vyote ulivyo vitaja bandari, barabara, umeme vyote vipo under construction hivi sasa, unatupa picha kuwa hujuwi unachokisema. Unag'ang'ania kwanini tunajenga treni ya umeme na tunapoteza pesa, nimekwambia wakenya wamebambikwa kwasababu ukiacha gharama za ujenzi ambazo kwao ni nyingi, angakia gharama za uendeshaji wa treni ya diesel na ya umeme. Treni ya diesel ina cost over $7 to run per mile vs $3 to run electric train. Unasema SGR ya Tanzania ita hudumia vinchi vidogo Burundi na Rwanda. Ukiachilia mbali DRC, Zambia, Zimbabwe, Uganda and beyond, Fanya utafiti uone hizo nchi ndogo zimekalia madini ya kiasi gani. Wakenya nasema hapa, they are stuck, SGR wasipo jipanga upya, itabaki kuhudumia ndani ya nchi tuu. Maana no one is warming up for them, sio South Sudan, ambao wanajipamga kupitia Djibouti, Ethiopia wao wameshanza, Uganda ndio hao wanafikiria mara mbili. Watu wanataka kuunganisha reli from Egypt to South Africa via Uganda-Tanzania, kwanini wahangaike na Kenya. Halafu unasema 100 from now hii SGR itamsaidia nani. SMH.

Henry Ford alipotengeneza gari la kwanza la mafuta, watu waliokuwa wanatumia farasi walikuwa na fikra kama zako. Leo hii 100 years later nani bado anapanda farasi kuenda kazini.
 
Hizo ni wishful thinking tu,sgr ya Tazara kipi imefanya na upande huo ndio kuna nzigo,hizo ndogo za huko mtajakujuta,mm siringanishi na kenya kwa gharama nataka mnambie kulikuwa na haja gani ya kutumia matrion kwa akili ya mradi wa kudhania eti xjui Kongo xjui wapi,ukanda huo kuna nn cha maana kitarudisha hiyo pesa? Ujinga tuu,hiyo pesa ingewekwa kwenye mtandao wa roads nchi nzima,Leo hii kutokana na ufinyu na ubovu plus poor design dar imeparalize kwa tumvua kidogo tu,,ndo maana hata zito alipinga hiyo sgr tembo mweupe,,robo tatu ya nzigo unaenda nchi za Sadc,hapo unajenga sgr ya umeme kwa ajili gani?
 

Kwa kurukaruka tu hujambo, mara kwanini tunajena reli ya umeme, mara tumekopa hela nyingi tutalipaje, mara tujenge barabara. Mara hivyo vinchi havina mali yoyote, What is going on...?

Nimekuambia hapo juu, fanya utafiti japo kidogo tuu kabla ya kuingia kwenye mjadala. Hivi Tazara haija weka saini na mchina kuifanyia ukarabati au hata nahiyo unatala sisi ndio tukufanyie utafiti? Hivi hatujawahi kupokea treni kutoka South Africa kuja Dar?. Huwezi kutegemea usafiri wa aina moja tuu ukategema utafanikiwa. Barabara peke yake ina limitation zake kulinganisha na reli.

Yani umifanya ni cheke unasema kuna nini ukanda huu kuweza kurudisha hii pesa, ungefanya utafiti kidogo tuu ungejuwa kama 25% of Global Mineral Deposits ziko kwenye ukanda huu, halafu unasema kuna nini ...really?. If Tanzania will not facilitate transport corridor to all these countries then what will be the point of us being in this location. Hii ni pesa za nje nje tukishindwa tukishindwa kuzichangamkia sijuwi tutamlaumu nani. Tuna pakana na nchi 8, kati ya hizo 6 hazina mlango wa bahari, uwezo wa kwenda kwenye nchi nyingine 14 tunao, sana sijuwi unalalamika nini wakati bidhaa zetu kwa miundo mbinu ya leo huu tuu zinafika kwenye hayo masoko. Cha ajabu unataja wanasiasa ambao wepesi kupiga kelele miundombinu ukipelekwa kwenye mikoa mingine lakini wanachekelea na kufurahi miundo mbinu ikipelekwa kwenye mikoa yao.
 
M
Maneno mengi sipendi,time will tell,,nimeshatoa mfano hai wa Tazara sgr ilivyo tembo mweupe,sasa unajifariji na sgr ya umeme,eti unataka tuamini kwamba Tazara imefeli kisa sio electric,let us wait hiyo 25% deposits
 
Ngong Race course.
 
Tanzanian’s will not be a bullet train, rather it will go at an average speed of 160km//h. The same speed was reached in 1934 by a steam train in UK known as the Mallard, acha urongo kama mungu wenu!!!
 
M

Maneno mengi sipendi,time will tell,,nimeshatoa mfano hai wa Tazara sgr ilivyo tembo mweupe,sasa unajifariji na sgr ya umeme,eti unataka tuamini kwamba Tazara imefeli kisa sio electric,let us wait hiyo 25% deposits

Haha, kumbe una bangaiza tuu hapa. kwanza Tazara sio SGR inaonyesha hulijuwa hilo. Pili mwaka 2016 Tazara ilipata faida ya $13 million, hesabu za 2017 hazijatoka. Sasa sijuwi huyo tembo mweupe unamuona wewe tuu au kuna mwingine,

TAZARA Profit Reach USD13.5m Thanks to Improved Freight Traffic - TanzaniaInvest
 
Profit sio sawa na Ku operate at full capacity,imepata hasara na faida toka lini? Je tokea imeanza kazi imesharudisha pesa ya investment?
Kama sio sgr ni nn basi?
 
Bado tunasubiri any positive news kutoka Kenya, 2018 imekuwa dry sana.
SGR yenu ilikwama eeeh? picha hivi ama vyuma vimekaza? JPM katoa only Tshs 290 billion($125 million) na hazitoshi mradi wa $1.2 b ama mtakopa Mchina?
 
Jitahidi basi kuandika vizuri.
 
M

Maneno mengi sipendi,time will tell,,nimeshatoa mfano hai wa Tazara sgr ilivyo tembo mweupe,sasa unajifariji na sgr ya umeme,eti unataka tuamini kwamba Tazara imefeli kisa sio electric,let us wait hiyo 25% deposits
Nadhani na naomba unisamehe.. hauna uwezo mkubwa wa kufikiria.

Kwa maana, naona umejiingiza kwenye mjadala wa SGR wakati hufahamu hata maana ya SGR ni nini. Na ndio maana unaiita reli ya TAZARA SGR.

Nafikiri nyie ndo wale wa vijiweni mnaookoteza hapa na pale halafu mnakuja huku kufanya majadiliano na wabobezi. Na ndio maana hata hoja zako hazina mtiririko na zimejaa malalamiko na suggestions zisizo tekelezeka.

Nisamehe lakini. Rudi tena shule.
 
Profit sio sawa na Ku operate at full capacity,imepata hasara na faida toka lini? Je tokea imeanza kazi imesharudisha pesa ya investment?
Kama sio sgr ni nn basi?
Duh, uzugaji of the highest order. Umeshindwa kujitafutia haya majibu. OK good luck.
 
Huenda akili yako ni tembo mweupe kwa wazazi wako sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…