ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mpuuzi ni ww ambaye ambaye hujui mahitaji ya wakati na sababu za kujenga,,walijenga kwa mahitaji yao kipindi husika na sio kuifaidisha Tanganyika,thus why baada ya mahitaji yao kukoma na kupata return waliokusudia in commercial terms, hiyo reli haikuwa na maana tena kibiashara ikabaki kuwa non profit generating enterprise,ushahidi ni kuwa haikuchochea maendeleo yeyote katika maeneo husika hadi barabara zilivyoanza kujengwa.Wewe ni mpuuzi sana, wakoloni waliojenga miaka hiyo ya zamani ambako wala hapakuwa na biashara na watu wengi kama sasa unadhani hawakuwa na akili?, sasa hivi idadi ya watu na biashara imeongezeka zaidi ya mara 50 bado unasema hainafaida katika kipindi hiki kweli?, tena hiyo ya zamani haikuwa inaunganisha nchi za jirani, hii inayokwenda hadi nchi tatu za jirani kubeba abiria na mizigo ya Tanzania, Rwanda, Uganda, Burundi na DRC, unahisi haina faida, akili zako unazijua mwenyewe wewe
Sasa kama mumeona huu ni wakati wa kujenga sgr kwa matrion ya shilling ili kujifurahisha basi akili hamna thus why u will swim in LDC dam until masihi comes to rescue you