Baada ya Kenya kuzuia gesi kutoka Tanzania, bei zapanda, wengi warudi kutumia mkaa na mafuta ya taa!

Baada ya Kenya kuzuia gesi kutoka Tanzania, bei zapanda, wengi warudi kutumia mkaa na mafuta ya taa!

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
The Government’s decision to block the entry of Liquefied Petroleum Gas (LPG) through the Namanga border point has weeded out unscrupulous suppliers, leading to tight supply and higher prices. The latest Petroleum Products Consumption Report covering three months to March shows consumption of cooking gas grew by just two per cent to 17,393 metric tonnes, as more consumers fell back on kerosene. The pace is slow compared to last year when in the nine months to September, consumption rose by 33 per cent as consumers warmed up to the decision by the Government to zero-rate the commodity.

During the quarter under review, average LPG price was Sh2,112 for a 13kg cylinder, but this has since jumped to Sh2,277.48, according to Kenya National Bureau of Statistics end of May data.

Speaking to The Standard yesterday, Petroleum Institute of East Africa (PIEA) Chairman Powell Maimba said the decision by the Government to close other border outlets had caused shortage in the market.

“The directive by Government that marketers cannot bring in gas through any other border apart from Mombasa meant that businesses had to restructure to see how to get products through Mombasa only,” he said. ALSO READ: Government to distribute gas cylinders to poor families in a multi-billion project Mr Maimba told The Standard on phone the decision also meant small distributors as well as illegal re-fillers who depended on borders like Namanga had to close shop.

The decision was taken to weed out traders who were evading import taxes and, therefore, pricing the commodity cheaply. “Quality checks were also not being observed and such players could easily sneak in substandard LPG,” said Mr Maimba.

“Only Mombasa Port offers quality checks on LPG.” He explained that the section of the market, which was benefiting from illegally refilled gas cylinders, had been affected and had, therefore, to fall back to using kerosene, whose consumption jumped by nine per cent to 142,646 cubic metres during the period under review.

Some vessels loaded with LPG could bypass Mombasa and discharge their cargo in Tanzania ports from where it was loaded to tracks and sneaked into Kenya via Namanga. palushula@standardmedia.co.ke
Read more at: Cooking gas consumption slows on tighter supply and high prices
 
Sioni haja ya kuleta tension na nchi jiran raisi wetu angalie tuna vingi vya kupoteza inawezekana ukawa hujui shida sababu unahudumiwa bure lkn waulize wanaothirika hasa watu wa mipakani
 
Yaani sisi tunapeleka gesi Kenya afu inauzwa 2227 Ksh ambayo ni sawa na 45000Tsh wakati huku kwetu ni 48000Tsh
Mimi nadhani 30kg inauzwa tzs 50,000 hapa bongo na chini yake labda kidogo umechanganya ujazo maana hapo naona wameongelea kg 13. Sijui lakini wewe umeelewaje maana hapa kwetu 13kg inauzwa tzs 21,000/= sijui wewe umeelewaje ndugu.
 
Ndio tatizo langu. mi nilikuwa najua kuwa ile kubwa ndio 13 kumbe ni 30kg..
Asante kwa taarifa nimefuta hapo juu
 
Hawa jamaa wanataka kutuletea ujuaji wa kipumbavu, wacha tuwanyooshe tu manina zao, au walidhani uncle atawanyenyekea?
 
Mimi nadhani 30kg inauzwa tzs 50,000 hapa bongo na chini yake labda kidogo umechanganya ujazo maana hapo naona wameongelea kg 13. Sijui lakini wewe umeelewaje maana hapa kwetu 13kg inauzwa tzs 21,000/= sijui wewe umeelewaje ndugu.
Na bei si imeshushwa juzi/ jana nimesoma humu JF. So itakuwa chini zaidi I think
 
Na bei si imeshushwa juzi/ jana nimesoma humu JF. So itakuwa chini zaidi I think
Ndio, mimi nimechukulia mwezi uliopita. Halafu nimegundua kenya vitu bei juu sana. Kale ka mtungi ka 13kg ni kadogo kweli lakini bei yao ikojuu sana. Halafu eti jamaa hawa wanaleta nyodo kweli.
 
Hawa jamaa wanataka kutuletea ujuaji wa kipumbavu, wacha tuwanyooshe tu manina zao, au walidhani uncle atawanyenyekea?

Tatizo lenu mnapenda kuishi kiujanjanja na ndio maana mnaliwa hata migodini, hamna siku mnakubali kufuata utaratibu uliowekwa. Juzi gesi ya kimagendo kutokea kwenu imelipuka ndani ya nyumba halafu tatizo uongozi kwenu hawajui kushinikiza ubora, sasa wanashangaa wakati sisi tukizingatia.

Bora tutumie mkaa na tuwe na uhakika wa usalama kuliko kuruhusu huo ukajanja wenu kutudhuru. Mkifuata taratibu na kuzingatia usalama kwa kuhakikisha ubora hatuna shida nanyi, tena sisi ni soko kubwa sana kwenu maana hela tunazo. La sivyo hiyo gesi mtaikula nyie.
 
JF sijaelewa ni kwa nini wamegomea gas yetu. Kuna sababu yeyote wametoa?
 
mbona chakula cha makaa kitamu sana....yaani gesi huwa natumia tu kwasababu ya usafi wake pamja na kupika kwa haraka...alafu gesi za tz hazijapigwa marufuku...kilicho pigwa marufuku ni kupitisha gesi kwa mpaka...serikali yataka mambo yafanywe kwa utaratibu...yaani gesi zipitie bandarini kama imports zingine...it is in the port where the quality of the same can be determined...facets of consumer protection...si nilidhani uncle Magu anapenda mambo yakifanywa kwa utaratibu...nakumbuka alipoenda kukutana na contractor flani alimwita bogus na kuamrisha passport zake zichukuliwe mara moja...'I am not playing'..duh! mna rais mkali..tena akafika benki kuu na kuamrisha kikao na wafanyikazi...ungedhani ni mwalimu mkuu na wanafunzi wake...
 
Tatizo la wengi hapa ni kuwa hamjui kusoma ujumbe na kuelewa kilichoandikwa. Hamjui tofauti kati you reporting na analysis.

1. Tunaambiwa kuwa bei ya 13KG gas imepanda kutoka KES 2,112 hadi KES 2,227. Sasa mtu mwenye anaweza kuafford 13KG gas atashindwa kweli kulipa an extra 100 shillings. Ukiwauliza watu wa nairobi watakuambi 100 bob ndio increase in fare wakati ambampo kuna mvua au foleni. Sasa ni upumbavu mtupu kusema kuwa huyu mtu ataelekea kutumia mafuta ya taa au makaa kwasababu 13KG gas imepanda kiasi hiki.

2. Consumption increase ya 33% ilitokana na removal of VAT kwasababu ya govt policy wala si uagizaji kutoka TZ.

3. Matumizi ya gesi iliongezeka kwa kiwango cha asilimia mbili. Kwa hivyo, haiwezi ikawa kuwa wata wanrudi kutumia makaa ilhali consumtion inaongezeka.

JF sijaelewa ni kwa nini wamegomea gas yetu. Kuna sababu yeyote wametoa?

Kile kinachopigwa vita na serikali ya Kenya si uagizaji wa gesi kutoka TZ, bali wizi unaofanywa na wafanyibiashara waovu wanaopenda kufaidika kupitia short cut. Tatizo ni kuwa Namanga border post hakuna facilities za kuinspect quality inayoagizwa.

Ninavyosoma mitandaoni ni kuwa Tanzania pia inaimport Gas. Sijui ni kwanini sasa tuimport kutoka TZ gas ilhali wao wenyewe wanaimport. Kwa wale wenye uelewa zaidi kuhusu jambo hili, mnifahamishe.
 
Wewe hujatumia hata akili kidogo tu kwamba kwanini Tanzania ni very cheaper than Kenya!?
 
Tuambie sababu ewe unayejua . Ningependa kuelimishwa
Kama huna uwezo wa kutumia akili hiyo ndogo sina uhakika kama unaweza kwenda toilet pekee yako. May be is true common sense is not common.
 
Tatizo lenu mnapenda kuishi kiujanjanja na ndio maana mnaliwa hata migodini, hamna siku mnakubali kufuata utaratibu uliowekwa. Juzi gesi ya kimagendo kutokea kwenu imelipuka ndani ya nyumba halafu tatizo uongozi kwenu hawajui kushinikiza ubora, sasa wanashangaa wakati sisi tukizingatia.

Bora tutumie mkaa na tuwe na uhakika wa usalama kuliko kuruhusu huo ukajanja wenu kutudhuru. Mkifuata taratibu na kuzingatia usalama kwa kuhakikisha ubora hatuna shida nanyi, tena sisi ni soko kubwa sana kwenu maana hela tunazo. La sivyo hiyo gesi mtaikula nyie.
Wewe pumbavu migodini kwenu kuna tofauti gani? Unajua chochote kuhusu Kwale titanium na mgogoro wa mafuta unaofukuta Lokichar?
 
East African protocols does not allow double taxation as a matter of fact facilities for gas and oil measurement at Dar port n those at the Songosongo r way advanced than in Mombasa.
 
Back
Top Bottom