Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gesi hatari wapi Wewe mbona sisi tunatumia hizo hizo mnazozizuia na mbona hazilipuki nyie wakenya mnachuki tuu... Ewura na TBS ni bord zinazotambuliwa na EAC kama ISO ilivyo internationally ila mtanyooka tuuKwani hiyo gesi mnatupea bure, sisi ndio tunatumia hela zetu hivyo tuna mamlaka ya kuamua wapi tutanunua. Mkistaarabika na kuacha ujanja janja wa kutuletea gesi hatari, tutawaskliza.
Ndugu yangu sisi kununua gesi kwenu haimaanishi sisi hatuna gesi ya kututosha its just kuwa na balance ya biashara mbona China ananunua magari german na German ananunua magari China unaelewa nn hapoUnasema nini wewe? Gas yenyewe bado mnaagiza kutoka nje, sisi kwa miaka nyingi tumekuwa tukirefine mafuta gafi pale Mombasa na kupata hiyo gas ma kuwauzia.
Gas hatupati Tanzania tu, tunaagiza kutoka nje, shida iko wapi? Hiyo ya kwenyu inayopita boda ya Namanga, sio eti tuna shida nanyi mandugu zetu, bali kuna taswishi kuhusu usalama wa gesi hiyo. Ngoja hadi serikali itatue hilo
Sent from my Noir- Z8 using JamiiForums mobile app
Ubora kama wa slam za kenyaTatizo lenu mnapenda kuishi kiujanjanja na ndio maana mnaliwa hata migodini, hamna siku mnakubali kufuata utaratibu uliowekwa. Juzi gesi ya kimagendo kutokea kwenu imelipuka ndani ya nyumba halafu tatizo uongozi kwenu hawajui kushinikiza ubora, sasa wanashangaa wakati sisi tukizingatia.
Bora tutumie mkaa na tuwe na uhakika wa usalama kuliko kuruhusu huo ukajanja wenu kutudhuru. Mkifuata taratibu na kuzingatia usalama kwa kuhakikisha ubora hatuna shida nanyi, tena sisi ni soko kubwa sana kwenu maana hela tunazo. La sivyo hiyo gesi mtaikula nyie.
Slam na daraja lilovunjika siku chache baada ya viongozi wenu kulizidua Kenya banaa[emoji220] [emoji220]Tatizo lenu mnapenda kuishi kiujanjanja na ndio maana mnaliwa hata migodini, hamna siku mnakubali kufuata utaratibu uliowekwa. Juzi gesi ya kimagendo kutokea kwenu imelipuka ndani ya nyumba halafu tatizo uongozi kwenu hawajui kushinikiza ubora, sasa wanashangaa wakati sisi tukizingatia.
Bora tutumie mkaa na tuwe na uhakika wa usalama kuliko kuruhusu huo ukajanja wenu kutudhuru. Mkifuata taratibu na kuzingatia usalama kwa kuhakikisha ubora hatuna shida nanyi, tena sisi ni soko kubwa sana kwenu maana hela tunazo. La sivyo hiyo gesi mtaikula nyie.