Baada ya Kenya kuzuia gesi kutoka Tanzania, bei zapanda, wengi warudi kutumia mkaa na mafuta ya taa!

Kinachoendelea ni protectionism as EWURA n TBC, TFDA r legal approved entities recognised by EAC.
 
Tatizo lenu mnapenda kuishi kiujanjanja na ndio maana mnaliwa hata migodini, hamna siku mnakubali kufuata utaratibu uliowekwa. Juzi gesi ya kimagendo kutokea kwenu imelipuka ndani ya nyumba halafu tatizo uongozi kwenu hawajui kushinikiza ubora, sasa wanashangaa wakati sisi tukizingatia.

Bora tutumie mkaa na tuwe na uhakika wa usalama kuliko kuruhusu huo ukajanja wenu kutudhuru. Mkifuata taratibu na kuzingatia usalama kwa kuhakikisha ubora hatuna shida nanyi, tena sisi ni soko kubwa sana kwenu maana hela tunazo. La sivyo hiyo gesi mtaikula nyie.
Mtakula jeuri yenu mungiki
 
Mtakula jeuri yenu mungiki

Nchi yenu makajanja watupu halafu hampendi kushauriwa au kukosolewa. Mkitajiwa, mnakuwa wakali hadi basi....
Ndio maana Nay wa Mitego anawasema sana kwenye wimbo wake japo mlimkamata

Wee nyang'au soko la gesi kwa matumiz ya majumbani tu Tz sasa linakua kwa kasi ya ajabu acha ujinga . sisi hatuna cha kupoteza hapo isipokuwa nyie ndiyo mtaumia zaid maana hata hata misitu ya kuvuna huo mkaa hamna . na very soon hata kuvusha mkaa kuja kwenu serikal itazuia .

Najua moyon unaumia kweli kweli magufuli hecheki na kima yoyote.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnaleta kiburi wakat hauna jeuri ya kupata sehemu kwa bei poa kama Gesi kutoka Tanzania
 
Hawa watu hawasaidiki.
 
Nchi yenu makajanja watupu halafu hampendi kushauriwa au kukosolewa. Mkitajiwa, mnakuwa wakali hadi basi....
Ndio maana Nay wa Mitego anawasema sana kwenye wimbo wake japo mlimkamata

d3d64e24a586329aaf0069e8ac86e636.jpg
 
Wee nyang'au soko la gesi kwa matumiz ya majumbani tu Tz sasa linakua kwa kasi ya ajabu acha ujinga . sisi hatuna cha kupoteza hapo isipokuwa nyie ndiyo mtaumia zaid maana hata hata misitu ya kuvuna huo mkaa hamna . na very soon hata kuvusha mkaa kuja kwenu serikal itazuia .

Najua moyon unaumia kweli kweli magufuli hecheki na kima yoyote.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnaleta kiburi wakat hauna jeuri ya kupata sehemu kwa bei poa kama Gesi kutoka Tanzania

Kwani hiyo gesi mnatupea bure, sisi ndio tunatumia hela zetu hivyo tuna mamlaka ya kuamua wapi tutanunua. Mkistaarabika na kuacha ujanja janja wa kutuletea gesi hatari, tutawaskliza.
 
Unasema nini wewe? Gas yenyewe bado mnaagiza kutoka nje, sisi kwa miaka nyingi tumekuwa tukirefine mafuta gafi pale Mombasa na kupata hiyo gas ma kuwauzia.

Gas hatupati Tanzania tu, tunaagiza kutoka nje, shida iko wapi? Hiyo ya kwenyu inayopita boda ya Namanga, sio eti tuna shida nanyi mandugu zetu, bali kuna taswishi kuhusu usalama wa gesi hiyo. Ngoja hadi serikali itatue hilo

Sent from my Noir- Z8 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lenu mnapenda kuishi kiujanjanja na ndio maana mnaliwa hata migodini, hamna siku mnakubali kufuata utaratibu uliowekwa. Juzi gesi ya kimagendo kutokea kwenu imelipuka ndani ya nyumba halafu tatizo uongozi kwenu hawajui kushinikiza ubora, sasa wanashangaa wakati sisi tukizingatia.

Bora tutumie mkaa na tuwe na uhakika wa usalama kuliko kuruhusu huo ukajanja wenu kutudhuru. Mkifuata taratibu na kuzingatia usalama kwa kuhakikisha ubora hatuna shida nanyi, tena sisi ni soko kubwa sana kwenu maana hela tunazo. La sivyo hiyo gesi mtaikula nyie.
Tulieni sindano iwaingie vizuri
 
Kwani hiyo gesi mnatupea bure, sisi ndio tunatumia hela zetu hivyo tuna mamlaka ya kuamua wapi tutanunua. Mkistaarabika na kuacha ujanja janja wa kutuletea gesi hatari, tutawaskliza.
Nakinachofata sasa tunafungia bidhaa zenu zilizoexpire kuja tz, mmetufanya jalala mkome
 
Bila bidhaa zetu na za Wachina mtaishi vipi nyie makanjanja wa Dar.
 
Tatizo la wengi hapa ni kuwa hamjui kusoma ujumbe na kuelewa kilichoandikwa. Hamjui tofauti kati you reporting na analysis.

1. Tunaambiwa kuwa bei ya 13KG gas imepanda kutoka KES 2,112 hadi KES 2,227. Sasa mtu mwenye anaweza kuafford 13KG gas atashindwa kweli kulipa an extra 100 shillings. Ukiwauliza watu wa nairobi watakuambi 100 bob ndio increase in fare wakati ambampo kuna mvua au foleni. Sasa ni upumbavu mtupu kusema kuwa huyu mtu ataelekea kutumia mafuta ya taa au makaa kwasababu 13KG gas imepanda kiasi hiki.

2. Consumption increase ya 33% ilitokana na removal of VAT kwasababu ya govt policy wala si uagizaji kutoka TZ.

3. Matumizi ya gesi iliongezeka kwa kiwango cha asilimia mbili. Kwa hivyo, haiwezi ikawa kuwa wata wanrudi kutumia makaa ilhali consumtion inaongezeka.

Kile kinachopigwa vita na serikali ya Kenya si uagizaji wa gesi kutoka TZ, bali wizi unaofanywa na wafanyibiashara waovu wanaopenda kufaidika kupitia short cut. Tatizo ni kuwa Namanga border post hakuna facilities za kuinspect quality inayoagizwa.

Ninavyosoma mitandaoni ni kuwa Tanzania pia inaimport Gas. Sijui ni kwanini sasa tuimport kutoka TZ gas ilhali wao wenyewe wanaimport. Kwa wale wenye uelewa zaidi kuhusu jambo hili, mnifahamishe.
Lakini ujue gas mnayonunua 45000 Tanzania inauzwa 21000
 
Unasema nini wewe? Gas yenyewe bado mnaagiza kutoka nje, sisi kwa miaka nyingi tumekuwa tukirefine mafuta gafi pale Mombasa na kupata hiyo gas ma kuwauzia.

Gas hatupati Tanzania tu, tunaagiza kutoka nje, shida iko wapi? Hiyo ya kwenyu inayopita boda ya Namanga, sio eti tuna shida nanyi mandugu zetu, bali kuna taswishi kuhusu usalama wa gesi hiyo. Ngoja hadi serikali itatue hilo

Sent from my Noir- Z8 using JamiiForums mobile app
Wewe acha porojo my friend kwenye budget juzi serikali imetenga fedha kugharamia usambazaji wa gas majumbani kwenye mikoa kama mitatu.

Yaani gas inasambazwa kwenye mindombinu kama ya maji hauhitaji gas cylinders kama kibebeo ni kwamba kunajengwa gas pipes around the streets inakua plugged in your inlet yako unafungiwa na meter so unakua unalipia gas kwa mwezi kama maji.

Hiyo itakua ni pilot program lakini lengo ni kufanya hivyo nchi nzima so usifananishe gas manufacturing ya Tanzania na Kenyan
 
Bila bidhaa zetu na za Wachina mtaishi vipi nyie makanjanja wa Dar.
Naomba unitajie kitu cha maana kinachozalishwa Kenya, Tanzania needs it badly

Sera yetu mpya saivi ni kwamba hakuna mahindi yatakayovuka kenya tena bali tutawauzia unga Zaid ya malori 110 yameshakamatwa Tarakea mpakani mahindi yote yameshataifishwa pamoja na malori yenyewe kwa kukaidi Sera mpya.

Big concept ni Tanzania ya viwanda and not raw materials
 
Wewe acha porojo my friend kwenye budget juzi serikali imetenga fedha kugharamia usambazaji wa gas majumbani kwenye mikoa kama mitatu.

Yaani gas inasambazwa kwenye mindombinu kama ya maji hauhitaji gas cylinders kama kibebeo ni kwamba kunajengwa gas pipes around the streets inakua plugged in your inlet yako unafungiwa na meter so unakua unalipia gas kwa mwezi kama maji.

Hiyo itakua ni pilot program lakini lengo ni kufanya hivyo nchi nzima so usifananishe gas manufacturing ya Tanzania na Kenyan
Preach my brother preach!
Tayari kuna nyumba na viwanda hapa Dar na Pwani zinasambaziwa gesi for a pilot program. Saiv nasikia feasibility studies za kusambaza gesi to the whole city zimeshakamilika TPDC wanasubiri tu kutangaza tender.
 
Nchi yenu makajanja watupu halafu hampendi kushauriwa au kukosolewa. Mkitajiwa, mnakuwa wakali hadi basi....
Ndio maana Nay wa Mitego anawasema sana kwenye wimbo wake japo mlimkamata

We jamaa kumbe hujielewi! Nyie hapo kwenu mnashaurika? Mbona hamtaki kuwasikiliza wale watu wa bunge la wananchi na sasa mmewakamata watu 10 mnataka kuwanyonga kwa kumkosoa uhuru?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ona aibu!

10 members of Bunge La Wananchi arrested for plotting a coup against Uhuru's Government
 
Mimi nadhani 30kg inauzwa tzs 50,000 hapa bongo na chini yake labda kidogo umechanganya ujazo maana hapo naona wameongelea kg 13. Sijui lakini wewe umeelewaje maana hapa kwetu 13kg inauzwa tzs 21,000/= sijui wewe umeelewaje ndugu.

Nadhani umechanganya ujazo. Gas cylinder ya 30 Kg huwezi kuitumia nyumbani, hizo wanazitumia kukaanga samaki pale Kawe Beach. 🙂

13kg kwa Tanzania inauzwa TZS 45,000 - 50,000. Kenya wanaununua kwa KES 2330 - 2450. Cylinder yenye Ujazo wa 6Kg Tanzania unauzwa Tzs 21,000 kama ulivyosema na Kenya KES 1,000 - 1130. Sijaona tofauti kati ya bei hizi labda mwingine anielekeze...

Mitungi hio hapo chini, Hass 13Kg, K-Gas 6Kg.
National Oil 6Kg.jpg
Hass 13kg.jpg
 
Bila bidhaa zetu na za Wachina mtaishi vipi nyie makanjanja wa Dar.
Hapo kwenu bidhaa za kichina zimejaa, na sasa mmesaini EPA ili zijazane bidhaa za ulaya, china na mitumba ya marekani!

Viwanda vyenu vitakufa kifo cha mende msipoangalia
 
Back
Top Bottom