Baada ya Kenya kuzuia gesi kutoka Tanzania, bei zapanda, wengi warudi kutumia mkaa na mafuta ya taa!

Tumieni njia za kisheria kuubariki uhuni kisa wananchi wanapata nafuu si sawa
 
Kwani hiyo gesi mnatupea bure, sisi ndio tunatumia hela zetu hivyo tuna mamlaka ya kuamua wapi tutanunua. Mkistaarabika na kuacha ujanja janja wa kutuletea gesi hatari, tutawaskliza.
Gesi hatari wapi Wewe mbona sisi tunatumia hizo hizo mnazozizuia na mbona hazilipuki nyie wakenya mnachuki tuu... Ewura na TBS ni bord zinazotambuliwa na EAC kama ISO ilivyo internationally ila mtanyooka tuu
 
Ndugu yangu sisi kununua gesi kwenu haimaanishi sisi hatuna gesi ya kututosha its just kuwa na balance ya biashara mbona China ananunua magari german na German ananunua magari China unaelewa nn hapo
 
Ubora kama wa slam za kenya
 
Slam na daraja lilovunjika siku chache baada ya viongozi wenu kulizidua Kenya banaa[emoji220] [emoji220]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…