Bwahahaaa..ukwel haubadiliki km kaalikwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..ila yeye asahau kualikwa gatundu...
Kwanza aalikwe kw lipi..wakati yeye ni zero brain[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha, nani amualike mvuta bangi huyo?, yeye mwenyewe alipiga Simu, Mara ya kwanza Magufuli alikausha hakupokea, Mara ya pili ndio akasema ngoja nimsikilize. Mazungumzo yakawa kama ifuatavyo;
Magu; Helo, nani anaongea?
Uhuru: Mimi Uhuru Kenyatta
Magu: Nikusaidie nini?
Uhuru: Ninataka kuja kukuona
Magu; Mimi nipo kijijini kwa mapumziko.
Uhuru; Tafadhali niruhusu nije hapo kijijini Nina shida ya kuzungumza na wewe.
Magu; Ongea tu hapa kwenye Simu nitakuelewa
Uhuru; Hapana ninaomba tu nije kupata baraka zako.
Magu: Unataka uje kukaa muda gani?
Uhuru; Siku Kumi au saba kama utaniruhusu
Magu ; Hapana sina huo muda
Uhuru ; Basi siku mbili
Magu; OK, harakisha kwasababu Museven pia ameomba kuja.
Uhuru; Asante sana, kesho nitakua hapo.
Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahaha