Tetesi: Baada ya Kenyatta, Museveni naye yupo safarini Kwenda Chato

Tetesi: Baada ya Kenyatta, Museveni naye yupo safarini Kwenda Chato

Aisee, kila mtu na saizi yake bana. Kenya wamezuru marais kama Erdogan wa Uturuki, PM Theresa May wa U.K, Benjamin Netanyahu wa Israel, Nicholas Sarkozy wa Ufaransa. Leo rais Museveni na rais Uhuru kutua Chato imekuwa ni breaking news? Hizi ligi zenu ni za kienyeji sanaaa!
mrojylwfs49rcdmzsx5c8a02d223553.jpg
Rais wa Ufaransa alipozuru Kenya. M7, 'Kachapin' akielekea Chato. [emoji1]
DWBLMr4WsAE_GC8.jpg
Spot the difference.
Acha kuabudu wazungu nyie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Muheshimiwa Rais M7 kwanini unajiita "joto la jiwe"? Baada ya kukusikia ukisema hivi leo pale Chato humu ndani ulikuwa offline na haya maneno uliyaweka huku jana copyright [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Asante Muheshimiwa Rais M7 wa Uganda [emoji16][emoji16][emoji16]

Hata Mimi nimeshangaa sana, ila sio Mara ya kwanza vitu kama hivi kunitokea, watu ninaoishi nao wananifahamu vizuri sana, endelea kufuatilia mijadala yangu utagundua.
 
Tanzania ni Mecca/Jerusalem ya Africa tangu enzi za ukombozi, huyo Museven watoto wake wote aliwazaa akiwa Tanzania. Nchi pekee iliyokua ikipingana na ukweli ilikua ni Kenya, lakini kama ujuavyo huwezi kuzuia mvua, hatimae Uhuru Kenyatta amekubaliana na ukweli, ameamua kuja kuhufhuria hijja katika ardhi takatifu, kuanzia sasa Kenya itaanza kuwa na baraka za Mungu, karibu Museven na wewe upate baraka za Bwana. Tanzania Hoyeeeeeeeeee. No Tanzania, No East Africa, No SADC.
Hivi wewe ulijuaje kwamba M7 Atayanukuu maneno yako asilimia 100%??
Nimeshangaa sana aisee, labda museveni yupo na watu wake wa usalama wa Taifa wanao peruzi nyuzi hapa JF na kumpasha Habari Musevni.👏👏👏
 
Hivi wewe ulijuaje kwamba M7 Atayanukuu maneno yako asilimia 100%??
Nimeshangaa sana aisee, labda museveni yupo na watu wake wa usalama wa Taifa wanao peruzi nyuzi hapa JF na kumpasha Habari Musevni.[emoji122][emoji122][emoji122]
Hahahaha, Mimi Niko hivyo Mara nyingi katika maisha yangu, huwa hapa kijijini Kwangu wananiita Nabii, wengine wananiita " Mchawi/ Mwanga", Endelea kufiatilia post zangu utagundua hilo.
 
😂😂😂😂 Muheshimiwa Rais M7 kwanini unajiita "joto la jiwe"? Baada ya kukusikia ukisema hivi leo pale Chato humu ndani ulikuwa offline na haya maneno uliyaweka huku jana copyright 😁😁😁😁

Asante Muheshimiwa Rais M7 wa Uganda 😁😁😁

Dah!!!
 
Hivi wewe ulijuaje kwamba M7 Atayanukuu maneno yako asilimia 100%??
Nimeshangaa sana aisee, labda museveni yupo na watu wake wa usalama wa Taifa wanao peruzi nyuzi hapa JF na kumpasha Habari Musevni.👏👏👏
Mwandishi wa Habari wa Tanzania digital ameongeza maneno yake unless there is video evidence showing otherwise.
 
Hata Mimi nimeshangaa sana, ila sio Mara ya kwanza vitu kama hivi kunitokea, watu ninaoishi nao wananifahamu vizuri sana, endelea kufuatilia mijadala yangu utagundua.
You got my golden buzzer mheshimiwa Rais M7 Kagutta wa Uganda 🎉🎉🎉🎉

Nakuhaidi kukufuatilia kwa moyo mkunjufu na ukaribu uliotukuka.

😁😁😁👐👐
 
Hivi wewe ulijuaje kwamba M7 Atayanukuu maneno yako asilimia 100%??
Nimeshangaa sana aisee, labda museveni yupo na watu wake wa usalama wa Taifa wanao peruzi nyuzi hapa JF na kumpasha Habari Musevni.👏👏👏
😁😁😁 Huyu ni Muheshimiwa Rais M7 Kagutta wa Uganda kabisa, mimi kwa kweli mtaniua tu 😂😂😂😂 haiwezekani hii itukee coincidentally.
 
Joto la Jiwe said:
Tanzania ni Mecca/Jerusalem ya Africa tangu enzi za ukombozi, huyo Museven watoto wake wote aliwazaa akiwa Tanzania. Nchi pekee iliyokua ikipingana na ukweli ilikua ni Kenya, lakini kama ujuavyo huwezi kuzuia mvua, hatimae Uhuru Kenyatta amekubaliana na ukweli, ameamua kuja kuhufhuria hijja katika ardhi takatifu, kuanzia sasa Kenya itaanza kuwa na baraka za Mungu, karibu Museven na wewe upate baraka za Bwana. Tanzania Hoyeeeeeeeeee. No Tanzania, No East Africa, No SADC.
Mimi ni mtanzania nime "endorse" kuwa hii ni takataka umeandika hapa.

Haya Waterloo, leo M7 karudia kila kitu alichosema mkuu joto la jiwe toka koma hadi nukta...njoo hapa umtake radhi.....
 
Back
Top Bottom