Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Kwa thinking hii ya kumuunga mkono dikteta museveni kuwa eti atakuwa anakuja Tanzania kuhiji huna cha kunisamehe brother. Bado kipimo chako cha uelewa ni ndogo sana kulinganisha na mimi.Msamehe bure kwasababu ninajua tunatofautiana sana katika " thinking capacity ".