Tetesi: Baada ya Kenyatta, Museveni naye yupo safarini Kwenda Chato

Acha kuabudu wazungu nyie.
 
Hata Mimi nimeshangaa sana, ila sio Mara ya kwanza vitu kama hivi kunitokea, watu ninaoishi nao wananifahamu vizuri sana, endelea kufuatilia mijadala yangu utagundua.
 
Hivi wewe ulijuaje kwamba M7 Atayanukuu maneno yako asilimia 100%??
Nimeshangaa sana aisee, labda museveni yupo na watu wake wa usalama wa Taifa wanao peruzi nyuzi hapa JF na kumpasha Habari Musevni.πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Hivi wewe ulijuaje kwamba M7 Atayanukuu maneno yako asilimia 100%??
Nimeshangaa sana aisee, labda museveni yupo na watu wake wa usalama wa Taifa wanao peruzi nyuzi hapa JF na kumpasha Habari Musevni.[emoji122][emoji122][emoji122]
Hahahaha, Mimi Niko hivyo Mara nyingi katika maisha yangu, huwa hapa kijijini Kwangu wananiita Nabii, wengine wananiita " Mchawi/ Mwanga", Endelea kufiatilia post zangu utagundua hilo.
 
Dah!!!
 
Hivi wewe ulijuaje kwamba M7 Atayanukuu maneno yako asilimia 100%??
Nimeshangaa sana aisee, labda museveni yupo na watu wake wa usalama wa Taifa wanao peruzi nyuzi hapa JF na kumpasha Habari Musevni.πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Mwandishi wa Habari wa Tanzania digital ameongeza maneno yake unless there is video evidence showing otherwise.
 
Hata Mimi nimeshangaa sana, ila sio Mara ya kwanza vitu kama hivi kunitokea, watu ninaoishi nao wananifahamu vizuri sana, endelea kufuatilia mijadala yangu utagundua.
You got my golden buzzer mheshimiwa Rais M7 Kagutta wa Uganda πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰

Nakuhaidi kukufuatilia kwa moyo mkunjufu na ukaribu uliotukuka.

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘πŸ‘
 
Hivi wewe ulijuaje kwamba M7 Atayanukuu maneno yako asilimia 100%??
Nimeshangaa sana aisee, labda museveni yupo na watu wake wa usalama wa Taifa wanao peruzi nyuzi hapa JF na kumpasha Habari Musevni.πŸ‘πŸ‘πŸ‘
😁😁😁 Huyu ni Muheshimiwa Rais M7 Kagutta wa Uganda kabisa, mimi kwa kweli mtaniua tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haiwezekani hii itukee coincidentally.
 
Hahahaha, hapana MKUU, Mimi ni mkulima kapuku sina lolote, nipo huku kijijini mwakaleli- Tukuyu, ninalima na kufuga Manguruwe na samaki.
Sawa Muheshimiwa Rais M7 Kagutta wa Uganda nimekuelewa. πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘
 
Mimi ni mtanzania nime "endorse" kuwa hii ni takataka umeandika hapa.

Haya Waterloo, leo M7 karudia kila kitu alichosema mkuu joto la jiwe toka koma hadi nukta...njoo hapa umtake radhi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…