Aisee, kila mtu na saizi yake bana. Kenya wamezuru marais kama Erdogan wa Uturuki, PM Theresa May wa U.K, Benjamin Netanyahu wa Israel, Nicholas Sarkozy wa Ufaransa. Leo rais Museveni na rais Uhuru kutua Chato imekuwa ni breaking news? Hizi ligi zenu ni za kienyeji sanaaa!
Rais wa Ufaransa alipozuru Kenya. M7, 'Kachapin' akielekea Chato. [emoji1]
Spot the difference.