Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais wa mipasho badala ajibu hoja za mafisadi anajibu hoja nyepesi za malori kubeba wafuasi ,tukiwaambia yule bibi kichwani ni mweupe mnakasirikaManeno ya Rais Rais kuimbwa sio mageni maskioni mwa watu Rais ni Mama Samia hizo nyingine ni blaa blaaa nachoomba kama Mtanzania Lissu awe huru aendelee na majukumu yake
Usitake tuseme,Rais wa manzese kama Madee
Inakuuma kiasi gani ? Bado lisu ni raisi wa Chama au ulikuwa umeshampaa wa nchi shukrani umenena vemaManeno ya Rais Rais kuimbwa sio mageni maskioni mwa watu Rais ni Mama Samia hizo nyingine ni blaa blaaa nachoomba kama Mtanzania Lissu awe huru aendelee na majukumu yake
Tulia mama Samia dawa ikuingieManeno ya Rais Rais kuimbwa sio mageni maskioni mwa watu Rais ni Mama Samia hizo nyingine ni blaa blaaa nachoomba kama Mtanzania Lissu awe huru aendelee na majukumu yake
Watu wajinga aina ya Samia na wafuasi wake ni LAZIMA WAMCHUKIE LISSU Kwa Uwezo wake mkubwa wa Akili.
Huyu jamaa Brain yake ilipaswa Kufanyia kazi Mataifa ya Urusi, Marekan, China
Inaonekana una maumivu makali sana.Maneno ya Rais Rais kuimbwa sio mageni maskioni mwa watu Rais ni Mama Samia hizo nyingine ni blaa blaaa nachoomba kama Mtanzania Lissu awe huru aendelee na majukumu yake
Huku kanda ya ziwa tutamnyoosha, hatutaki hata kusikia jina lake.Rais wa mipasho badala ajibu hoja za mafisadi anajibu hoja nyepesi za malori kubeba wafuasi ,tukiwaambia yule bibi kichwani ni mweupe mnakasirika
Sawa Mazegenuka.Tumunyooshe getegeteHuku kanda ya ziwa tutamnyoosha, hatutaki hata kusikia jina lake.