Unakataa ukweli, au! Unafikiri Lissu ni Rais wa viti maalum, au figure head wa kundi haram la wahuni!Maneno ya Rais Rais kuimbwa sio mageni maskioni mwa watu Rais ni Mama Samia hizo nyingine ni blaa blaaa nachoomba kama Mtanzania Lissu awe huru aendelee na majukumu yake
Kukaa kimya ni busara kama huna la kusema.Rais wa manzese kama Madee
Kesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho Septemba 9, 2025 baada ya kuomba muda zaidi kupitia nyaraka za committal proceedings.
Lissu aliwasilisha hoja kuwa nyaraka alizopewa akiwa gerezani zinatofautiana na zile alizokabidhiwa leo na Mahakama Kuu, akidai tofauti hizo zinaashiria “doctoring” na huenda ni kosa la jinai.
Kutokana na uzito wa madai hayo, aliomba muda wa usiku mzima kuzisoma nyaraka hizo kwa kina na kujiandaa na hoja zake. Ombi hilo limekubaliwa na Mahakama Kuu chini ya Jaji Dunstan Nduguru.
Kesi itaendelea kesho, ambapo Lissu anatarajiwa kuendeleza pingamizi lake kuhusu mamlaka (jurisdiction) ya Mahakama Kuu.
Labda rais wa jelaKesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho Septemba 9, 2025 baada ya kuomba muda zaidi kupitia nyaraka za committal proceedings.
Lissu aliwasilisha hoja kuwa nyaraka alizopewa akiwa gerezani zinatofautiana na zile alizokabidhiwa leo na Mahakama Kuu, akidai tofauti hizo zinaashiria “doctoring” na huenda ni kosa la jinai.
Kutokana na uzito wa madai hayo, aliomba muda wa usiku mzima kuzisoma nyaraka hizo kwa kina na kujiandaa na hoja zake. Ombi hilo limekubaliwa na Mahakama Kuu chini ya Jaji Dunstan Nduguru.
Kesi itaendelea kesho, ambapo Lissu anatarajiwa kuendeleza pingamizi lake kuhusu mamlaka (jurisdiction) ya Mahakama Kuu.
Huo urais Samia aliununua duka gani mkuu 'boaz'. Kwenye duka hilo ni yeye pekee mwenye uwezo wa kuununua u-rais?Maneno ya Rais Rais kuimbwa sio mageni maskioni mwa watu Rais ni Mama Samia hizo nyingine ni blaa blaaa nachoomba kama Mtanzania Lissu awe huru aendelee na majukumu yake
Samahani; lakini naona unayo matarajio hewa.Tanganyika inamuhitaji Lissu zaidi kwa sasa kuliko yeye anavyoihitaji.
Tutapata Tanganyika bora pamoja na uboreshaji wa muungano wetu na Wazanzibari.
Miujiz inaendeleaKughushi nyaraka kwao ni faida kwa kesi ya Tundu Lissu.
Kuhusu Lissu kesi hii ilitakiwa iishe ndani ya wiki ile ile. Ila kwa kuwa wameamua kutamba nayo Hata miaka 10 sawa tu at the end He is the Victor.Lissu aliwasilisha hoja kuwa nyaraka alizopewa akiwa gerezani zinatofautiana na zile alizokabidhiwa leo na Mahakama Kuu, akidai tofauti hizo zinaashiria “doctoring” na huenda ni kosa la jinai.
Taratibu, mwisho utazoea tu! Anza kujiandaa na lisilo zuilika.R
Labda rais wa jela
USSR
Nikikuoa nitakaa kimyaKukaa kimya ni busara kama huna la kusema.
Kukaa kimya kutakusaidia sana kwenye ndoa yako utakapo olewa.
Maneno ya Rais Rais kuimbwa sio mageni maskioni mwa watu Rais ni Mama Samia hizo nyingine ni blaa blaaa nachoomba kama Mtanzania Lissu awe huru aendelee na majukumu yake
Sahihi kabisa,lakini wanaoimba rais wasitekwe ama kudhuriwa kwa namna yoyote.Maneno ya Rais Rais kuimbwa sio mageni maskioni mwa watu Rais ni Mama Samia hizo nyingine ni blaa blaaa nachoomba kama Mtanzania Lissu awe huru aendelee na majukumu yake
Rais wa Tanzania Tundu Lissu Mungu akulinde wanakuogopa ndio maana wanakufunga ila watashindwa tu maana Mungu wetu ni mkuu kuliko wote
Hiyo mizuka ya vijana kuimba Rais Rais cha msingi Lissu anatakiwa kua huru aendelee na majukumu yake na chama chake basiKwani wamesema ni rais wa ss?
Utekaji ni ushamba na ni Uoga kwa wenye mamlakaSahihi kabisa,lakini wanaoimba rais wasitekwe ama kudhuriwa kwa namna yoyote.