Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

I don't like Uhuru ila kwa move hii jamaa amecheza. Bila hata kujeruhi wananchi wake amefanikiwa kumtia Raila kambani.
Alitanda askari jana, kisha akawatoa na Raila akajaa na kujiona mjanja, kumbe kuna Strartegic Plan nyuma ya ile move.

Strategist wa Uhuru (kama sio Uhuru mwenyewe) ana akili sana. Hakika Kenya imebarikiwa...
 

Mwisho wa siku kauvaa mkenge wa kuvunja katiba ya nchi.
 
Rafiki wa Magufuli kwisha habari yake. Hata hapa Tanzania CCM itangazwe kuwa kundi la kigaidi sawa na Intarahamwe na PalepeHutu
Hii Kenya na makundi hayo ya kigaidi ndiyo mlituaminisha nyinyi watu was chadema kwamba wana demokrasia kuliko Tanzania na kwamba wao wana katiba mpya nzuri inawasaidia! Muliongopa.
 
Hiyo haya ya mwisho ndio majibu ya kwanini Tanganyika sio Tanzania haiwezekani kufanyika yaliyofanyika Kenya leo au yaliyofanyika mara ya mwisho Kibaki alipotangazwa kuwa raisi awamu ya pili.

Huku Tanganyika hakuna sana siasa za ukabila isipokuwa kuna kabila fulani chache zimeanza kuhamasisha siasa za kikabila na kikanda, na bahati mbaya hata ndani ya hizo kabila kuna busara ya Mungu miongoni mwao ambao hawashabikii sana siasa za namna hiyo. Maana napo wanajikuta wanabaguana sisi wakatoliki na wale walutheri n.k.

Bahati mbaya zaidi bado hizo kabila zilizojiunga zina watu wachache kwa ujumla wao hivyo kura hazitoshi.

Na huku Tanzania bado madaraja ya watu kutokana na kipato bado sio makubwa sana kama Kenya kwenye ubepari.

Huku hata masikini anamiliki aridhi na hakuna anae kosa mahali pa kulima sababu yeye masikini. Huku kama haulimi ni uvivu wako tu.

Huku tatizo la ukosefu wa ajira sio kubwa kama Kenya.

Huku ukifanya vurugu ukafungwa au kuumizwa au kuuwawa una cha kupoteza zaidi, lakini kule wengi wa vijana ambao ndio wafanya fujo na wanaojitoa muhanga hawana cha kupoteza wengi wamekata tamaa.

Babu Odinga hana cha kupoteza(umri haumruhusu kugombea uchaguzi ujao) kuliko mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka na ndio maana hakutokea kuapishwa kama Odinga.
 
SUNGU SUNGU nilijua tu.
 
Mwisho wa siku kauvaa mkenge wa kuvunja katiba ya nchi.
Ndiyo unsjidanfanya hivyo wewe mweupe kweli. Kwani Kalonzo alikuwepo? Na Mudavadi je! !alikuwepo? ? Kwani Raila ana la kupoteza. Raila katumwa kuchafua tu hali ya hewa kwani hagombei tokana na umri. Lakini anasafisha njia kwa kizazi cha hao majembe. Subiri uone kama watamgusa
 
Namlaumu na namshangaa sana Kenyatta na Ruto wake kwani Mtu kama Odinga alipashwa awe ' ameshapotezwa ' siku nyingi sana Kimafia / Kijasusi ili asiwasumbue na pia iwe sehemu ya ' kuwatisha ' na ' kuwanyamazisha ' wale wengine wote wenye viherehere ( Waganda wanasema wenye lugezigezi ) ili nchi ya Kenya iwe tulivu na waendelee kuijenga Kenya yao. Kwa kuchelewa Kwao huku ' Kummaliza ' sasa Odinga atawasumbua mno na kuharibu kila mara mipango yao ya Kiuongozi / Kiutawala.
 
 

Mbona povu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…