Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

Namlaumu na namshangaa sana Kenyatta na Ruto wake kwani Mtu kama Odinga alipashwa awe ' ameshapotezwa ' siku nyingi sana Kimafia / Kijasusi ili asiwasumbue na pia iwe sehemu ya ' kuwatisha ' na ' kuwanyamazisha ' wale wengine wote wenye viherehere ( Waganda wanasema wenye lugezigezi ) ili nchi ya Kenya iwe tulivu na waendelee kuijenga Kenya yao. Kwa kuchelewa Kwao huku ' Kummaliza ' sasa Odinga atawasumbua mno na kuharibu kila mara mipango yao ya Kiuongozi / Kiutawala.
Usifikiri mlivompiga risasi Lisu linaweekana kila nchi, Kenya ni watu wengine aisee nchi itapotea kama wakijaribu hata kumvunja mguu, mara kumi sheria ifate mkondo wake kuliko utumbo ulioandika hapo juu.
 
Jamani kama kuna anayeweza kunikopesha 350,000 (tarehe 02/02/2018 nikamludishia tarehe 03/02/2018) naomba anisaidie tuongee kupitia +255764052457 ni kwa lengo zuri ti
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza
Baba yake raila ndio aliompa Nchi mzee kinyata.wakati huo akiwa gerezani
Akamwambia mzee kenyata nakukabidhi wewe nchi na nakuamini
Walikabidhiana kwa roho moja na kuaminiana saaana
Fatilia historia mkuu usipayuke tu

Duuh, hii historia yako, sijui inapatikana wapi.. Nadhani wewe ndio unahitaji kufuatilia historia ili ujue ukweli.. Nakusadia kwa link chini hapa..

Jaramogi Oginga Odinga - Wikipedia
 
Watu weupe wanatutia viburi weusi tupasuane daily.Ukichunguza vizuri utagundua kuna nguvu kubwa nyuma ya Odinga.Mtu huwezi kujirisk upambane na serikali kama huna msaada.Ona waasi Congo wapo mstuni lakini imara siku zote jiulize siraha wanapata wapi vyakula na madawa ndo utagundua wazungu wanatuchochea tuuane
 
Hiyo haya ya mwisho ndio majibu ya kwanini Tanganyika sio Tanzania haiwezekani kufanyika yaliyofanyika Kenya leo au yaliyofanyika mara ya mwisho Kibaki alipotangazwa kuwa raisi awamu ya pili.

Huku Tanganyika hakuna sana siasa za ukabila isipokuwa kuna kabila fulani chache zimeanza kuhamasisha siasa za kikabila na kikanda, na bahati mbaya hata ndani ya hizo kabila kuna busara ya Mungu miongoni mwao ambao hawashabikii sana siasa za namna hiyo. Maana napo wanajikuta wanabaguana sisi wakatoliki na wale walutheri n.k.

Bahati mbaya zaidi bado hizo kabila zilizojiunga zina watu wachache kwa ujumla wao hivyo kura hazitoshi.

Na huku Tanzania bado madaraja ya watu kutokana na kipato bado sio makubwa sana kama Kenya kwenye ubepari.

Huku hata masikini anamiliki aridhi na hakuna anae kosa mahali pa kulima sababu yeye masikini. Huku kama haulimi ni uvivu wako tu.

Huku tatizo la ukosefu wa ajira sio kubwa kama Kenya.

Huku ukifanya vurugu ukafungwa au kuumizwa au kuuwawa una cha kupoteza zaidi, lakini kule wengi wa vijana ambao ndio wafanya fujo na wanaojitoa muhanga hawana cha kupoteza wengi wamekata tamaa.

Babu Odinga hana cha kupoteza(umri haumruhusu kugombea uchaguzi ujao) kuliko mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka na ndio maana hakutokea kuapishwa kama Odinga.
Kweli huku kwetu wenye siasa za ukanda ni wachache na wako upande mmoja. Nilishtushwa kale ka Mb kadogo kaliposema ukanda ule ni bora wakajitenga. Wakianza kuwabagua watanzania wenzao bado hawatabaki salama maana bado watabaguana kwenye koo
 
Back
Top Bottom