Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

I don't like Uhuru ila kwa move hii jamaa amecheza. Bila hata kujeruhi wananchi wake amefanikiwa kumtia Raila kambani.
Alitanda askari jana, kisha akawatoa na Raila akajaa na kujiona mjanja, kumbe kuna Strartegic Plan nyuma ya ile move.

Strategist wa Uhuru (kama sio Uhuru mwenyewe) ana akili sana. Hakika Kenya imebarikiwa...
 
Mwisho wa siku kauvaa mkenge wa kuvunja katiba ya nchi.
 
Rafiki wa Magufuli kwisha habari yake. Hata hapa Tanzania CCM itangazwe kuwa kundi la kigaidi sawa na Intarahamwe na PalepeHutu
Hii Kenya na makundi hayo ya kigaidi ndiyo mlituaminisha nyinyi watu was chadema kwamba wana demokrasia kuliko Tanzania na kwamba wao wana katiba mpya nzuri inawasaidia! Muliongopa.
 
Sizonje anafanya yale siyo kwasababu ni mbabe lah hasha,
Kwasababu anajua Watanganyika ni waoga na rahisi sana kuwanunua na kuwagawa.
Nakuhakikishia Sizonje angekuwa ni Raisi wa nchi kama Kenya hivi asingefanya haya anayofanya hapa Tanzania.
Huu ni ukweli mchungu, Watanzania utawanyanyasa watalalamika lakini Watanyamaza wakidai wanatunza amani.

Leo Wakikuyu wakihisi Mjaluo anasahau sehemu yake katika siasa za Kenya,
Lazima damu itamwagika, yaani ni sisi wajaluo na wao Wakikuyu.
Michezo yake isingefanikiwa kabisaaa!
Hiyo haya ya mwisho ndio majibu ya kwanini Tanganyika sio Tanzania haiwezekani kufanyika yaliyofanyika Kenya leo au yaliyofanyika mara ya mwisho Kibaki alipotangazwa kuwa raisi awamu ya pili.

Huku Tanganyika hakuna sana siasa za ukabila isipokuwa kuna kabila fulani chache zimeanza kuhamasisha siasa za kikabila na kikanda, na bahati mbaya hata ndani ya hizo kabila kuna busara ya Mungu miongoni mwao ambao hawashabikii sana siasa za namna hiyo. Maana napo wanajikuta wanabaguana sisi wakatoliki na wale walutheri n.k.

Bahati mbaya zaidi bado hizo kabila zilizojiunga zina watu wachache kwa ujumla wao hivyo kura hazitoshi.

Na huku Tanzania bado madaraja ya watu kutokana na kipato bado sio makubwa sana kama Kenya kwenye ubepari.

Huku hata masikini anamiliki aridhi na hakuna anae kosa mahali pa kulima sababu yeye masikini. Huku kama haulimi ni uvivu wako tu.

Huku tatizo la ukosefu wa ajira sio kubwa kama Kenya.

Huku ukifanya vurugu ukafungwa au kuumizwa au kuuwawa una cha kupoteza zaidi, lakini kule wengi wa vijana ambao ndio wafanya fujo na wanaojitoa muhanga hawana cha kupoteza wengi wamekata tamaa.

Babu Odinga hana cha kupoteza(umri haumruhusu kugombea uchaguzi ujao) kuliko mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka na ndio maana hakutokea kuapishwa kama Odinga.
 
View attachment 687717
Raila Odinga akiwa kwenye Viwanja vya Uhuru Park

KENYA: Serikali kupitia Waziri wa Usalama, Dkt Fred Matiang’i amepinga marufuku kundi la na National Resistance Movement (NRM) lililopo chini ya Muungano wa wa Upinzani (NASA)

Kundi hilo limekuwa liliundwa baada ya Raila Odinga kususia uchaguzi wa marudio na limekuwa katika harakati za kutaka mabadiliko katika uchaguzi na wananchi kusuia bidhaa za makampuni ambayo yanadiwa kuwa upande wa serikali

Waziri huyo wa Usalama ameliweka kundi la NRM kwenye ordha moja na makundi ya kigaidi kama Al Shabaab na Al Qaeda

Hatua hii imekuja ikiwa ni baada ya Raila Odinga kujiapisha kama Rais wa Watu nchi Kenya

=======

The Kenyan Government declares Raila Odinga's National Resistance Movement (NRM) as an organized criminal group in a Gazette Notice from the Cabinet Secretary of Interior C.S Fred Matiangi!
bb7e61ba5c17a18c40e5fe41e1920288.jpg

Interior CS Fred Matiang'i lists NRM as an outlawed group

National Resistance Movement, an arm of opposition Nasa has been declared an organised criminal group, after its officials sworn-in Raila Odinga as the peoples’ president.

Interior Cabinet Secretary Fred Matiang’i, in making the declaration, cited Prevention of Organised Crimes Act 2010.

“In exercise of the powers conferred by section 22 of the Act, the Cabinet Secretary, Ministry of Interior and Co-ordination of National Government declares National Resistance Movement (NRM) to be organised criminal group for the purposes of the Act,” according to a gazette notice dated January 30.

In doing so, the CS placed NRM on a list that also includes terrorists groups like Al-Shabaab and Al-Qaeda.

Other groups like Mungiki, which is involved in murders and kidnappings are also in the list.

NRM agitates for electoral reforms and boycott of products and services provided by companies deemed to be pro-government.

Members of the public are usually warned against getting involved in activities of proscribed groups.

Harsh penalties, including life imprisonment and hefty fines of up to Sh1 million are imposed on those who do.

Previous ministers in charge of Security have on occasions proscribed various groups.

Other groups in the outlawed list are:

1. Al-Shabaab

2. Amachuma

3. Angola Msumbiji

4. Banyamulenge

5. Baghdad Boys

6. Charo Shutu

7. Chinkororo

8. Coast Housing Land Network

9. Congo by Force

10. Dallas Muslim Youth

11. Forty Brothers

12. Forty-two Brothers

13. Jeshi la Embakasi

14. Jeshi la Mzee

15. Jeshi la King’ole

16. Japo Group

17. Kamjesh

18. Kamukunji Youth Group

19. Kaya Bombo Youth

20. Kenya Youth Alliance

21. Kosovo Boys

22. Kuzacha

23. Makande Army

24. Mombasa Republican Council

25. Mungiki Movement, Mungiki Organisation, Mungiki Sect

28. Republican Revolutionary Council

29. Sabaot Land Defence Force

30. Sakina Youth

31. Sungu Sungu

32. Siafu

33. Taliban

Matiang'i declares NRM criminal group
SUNGU SUNGU nilijua tu.
 
Mwisho wa siku kauvaa mkenge wa kuvunja katiba ya nchi.
Ndiyo unsjidanfanya hivyo wewe mweupe kweli. Kwani Kalonzo alikuwepo? Na Mudavadi je! !alikuwepo? ? Kwani Raila ana la kupoteza. Raila katumwa kuchafua tu hali ya hewa kwani hagombei tokana na umri. Lakini anasafisha njia kwa kizazi cha hao majembe. Subiri uone kama watamgusa
 
Namlaumu na namshangaa sana Kenyatta na Ruto wake kwani Mtu kama Odinga alipashwa awe ' ameshapotezwa ' siku nyingi sana Kimafia / Kijasusi ili asiwasumbue na pia iwe sehemu ya ' kuwatisha ' na ' kuwanyamazisha ' wale wengine wote wenye viherehere ( Waganda wanasema wenye lugezigezi ) ili nchi ya Kenya iwe tulivu na waendelee kuijenga Kenya yao. Kwa kuchelewa Kwao huku ' Kummaliza ' sasa Odinga atawasumbua mno na kuharibu kila mara mipango yao ya Kiuongozi / Kiutawala.
 
Hiyo haya ya mwisho ndio majibu ya kwanini Tanganyika sio Tanzania haiwezekani kufanyika yaliyofanyika Kenya leo au yaliyofanyika mara ya mwisho Kibaki alipotangazwa kuwa raisi awamu ya pili.

Huku Tanganyika hakuna sana siasa za ukabila isipokuwa kuna kabila fulani chache zimeanza kuhamasisha siasa za kikabila na kikanda, na bahati mbaya hata ndani ya hizo kabila kuna busara ya Mungu miongoni mwao ambao hawaahabikii sana siasa za namna hiyo. Maana napo wanajikuta wanabaguana sisi wakatoliki na wale walutheri n.k.

Bahati mbaya zaidi bado hizo kabila zilizojiunga zina watu wachache kwa ujumla wao hivyo kura hazitoshi.

Na huku Tanzania bado madaraja ya watu kutokana na kipato bado sio makubwa sana kama Kenya kwenye ubepari.
Huku hata masikini anamiliki aridhi na hakuna anae kosa mahali pa kulima sababu yeye masikini. Huku kama haulimi ni uvivu wako tu.

Huku tatizo la ukosefu wa ajira sio kubwa kama Kenya. Huku ukifanya vurugu ukafungwa au kuumizwa au kuuwawa una cha kupoteza zaidi, lakini kule wengi wa vijana ambao ndio wafanya fujo na wanaojitoa muhanga hawana cha kupoteza wengi wamekata tamaa.

Babu Odinga hana cha kupoteza(umri haumruhusu kugombea uchaguzi ujao) kuliko mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka na ndio maana hakutokea kuapishwa kama Odinga.[/QUOT
Tatizo la ajira sio kubwa Tanzania?? Ukikula mandondo ukashiba ni tatizo.
 
Ndiyo unsjidanfanya hivyo wewe mweupe kweli. Kwani Kalonzo alikuwepo? Na Mudavadi je! !alikuwepo? ? Kwani Raila ana la kupoteza. Raila katumwa kuchafua tu hali ya hewa kwani hagombei tokana na umri. Lakini anasafisha njia kwa kizazi cha hao majembe. Subiri uone kama watamgusa

Mbona povu!
 
Back
Top Bottom