Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

Uhuru is too smart huyu mbulula alitegemea yatapita tu
Wajinga ndio waliwao
I knew this was coming
 
Ingekuwa Bongo, siku hii ingetangazwa kwamba polisi watafanya mazoezi ya wazi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi katika mitaa yote ya Dar, hivyo Wananchi wabakie majumbani mwao
Hatupend ujinga .
 
NaOmba kufahamu kuhusu jeshi la Mzee MK254
 
Uzi mzima unajitapatapa kama chura kwenye maji ya moto..
Kwa akili gani mlizonazo nyie manyangau
 
Uzi mzima unajitapatapa kama chura kwenye maji ya moto..
Kwa akili gani mlizonazo nyie manyangau
Mbona ukarupuka hivyo wewe ?
Au na wewe unataka Kenyatta amuue Raila kimafia kama anavyosema Gentamycine ?
Lazima utakuwa na matatizo mkuu wangu.....
Teh teh teh teh teh teh teh......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We jasiri au
 
Railla kajiapisha bila makamu wake hahaha.makamu wake alimpiga chenga ya mwili
 
Kwetu hatuwezi kufanya upuuzi huu kwa sababu serikali ni strong na inasimamia katiba.
Huu upuuzi aliofanya Odinga hata UK na US angekamatwa kabla ya kuapa.
Mwaka Jana Spain ilitokea.
Ni dharau na uhaini kwa serikali ya Kenya, jeshi MTU kujitangazia na kuapa bila tume ya uchaguzi kukutangaza
 
Wakati mwingine mpe mpumbavu muda wa kufanya upumbavu wake ili uone mwisho wake utakavyokuwa ili mradi usiwe na madhara kwa watu wengine! Raila kutumia muda na gharama kwa jambo ambalo anafahamu vyema kuwa haliswihi ni aina ya upumbavu wa kipekee usisimulika!
Hata hivyo ngoja tuone mwisho wa usanii huu utakavyokuwa na utaleta funzo gani kwa wenye kutafuta madaraka ya kuwazika!
 
sio kila wakati/nchi njia ya kunyamazisha watu inafaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…